Tangopori
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 1,628
- 1,290
Napenda kujua FIFA wanatumia vigezo gani kuchagua idadi ya timu kwa kila bara!
Ukiangalia Africa kuna nchi zaidi ya 50 ila zinachaguliwa timu tano!
Ulaya sina uhakika na idadi yao ila zinachaguliwa 12 teams America Asia na kwingineko as well!
My question is wanatumiaga vigezo gani? Kwa nini ulaya ziwe 12 na Africa ziwe tano?