Kwenye Blender nimefikia hapa

Kwenye Blender nimefikia hapa

vllage.jpg
village1.jpg
village2.jpg

Blender kwa sasa imeisha kuwa shangazi yangu nimeizoea hamna kitu cha kunishinda tena
 
sasa naweza sema kwenye blender nipo 85% katika kuwa pro na sio learner tena
 
Mkuu, hata mimi nilikuwa nafanya hii kitu kabla ya wahuni kupita na pc yangu. Unaweza kupitia huu uzi kuona kazi zangu na kazi za baadhi ya wanachama.

 
Mkuu, hata mimi nilikuwa nafanya hii kitu kabla ya wahuni kupita na pc yangu. Unaweza kupitia huu uzi kuona kazi zangu na kazi za baadhi ya wanachama.

mkuu hebu nicheck PM me nimejarib nimeshindwa
 
Fursa zake zipo vipi, yaani unaingizaje pesa kwenye hii kitu
Ingawa bado sijaanza kuingiz fedha kupitia hii ila soko lake la ajila ni kubwa sana maana uhitaji wake ni mkubwa na wajuz ni wachache makampuni yanayohusika na uchoraji wa raman, cartoon, animation movies, movie(siku hizi 3d haiepukiki kwenye movies za aina yoyte maana husaidia kupunguza badget na kuna sehem huwez kupata kitu halisia lazima 3d ihusike), Medias(tv stations) makampuni kama kama mbalimbali(hapa naongelea kuwatengenezea ads kulingana na bidhaa zao).nk mbali na hapo bado unaweza kuuza mtandaoni product zako kama model au kutengeneza animation movies zako na kuweka mtandaon kama youtube .nk na mengine mengi zaidi yapo kwenye 3d
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom