Eumed15
Senior Member
- Nov 17, 2016
- 190
- 289
Natumia Toshiba c50 Ina processor 2.4 GHz na ram 4gb.. hivyo Kuna baadhi ya vitu inazingua inakua slow sana.Inavutia mkuu unatumia pc gannat
Naweza kujifunza kwako 3d animation kaka taratibu zikoje
Asante kwa ku share.