Kwenye Blender nimefikia hapa

Kwenye Blender nimefikia hapa

Ingawa bado sijaanza kuingiz fedha kupitia hii ila soko lake la ajila ni kubwa sana maana uhitaji wake ni mkubwa na wajuz ni wachache makampuni yanayohusika na uchoraji wa raman, cartoon, animation movies, movie(siku hizi 3d haiepukiki kwenye movies za aina yoyte maana husaidia kupunguza badget na kuna sehem huwez kupata kitu halisia lazima 3d ihusike), Medias(tv stations) makampuni kama kama mbalimbali(hapa naongelea kuwatengenezea ads kulingana na bidhaa zao).nk mbali na hapo bado unaweza kuuza mtandaoni product zako kama model au kutengeneza animation movies zako na kuweka mtandaon kama youtube .nk na mengine mengi zaidi yapo kwenye 3d
Safi japo hayo mambo magumu kujifunza minajitahidi kukomaa na Product Design naamini siku nitaanzisha Software Company yangu.
 
Safi japo hayo mambo magumu kujifunza minajitahidi kukomaa na Product Design naamini siku nitaanzisha Software Company yangu.
. Yeah ni great Idea sio lazima wote tuwe wanaume wa mbasa kuchimba visima na mitaro ni lazima tujigawe
 
3d haiepukiki katika ulimwengu wa leo, japo haijawahi kuwa rahisi ukizingatia iko pana sana na ni ngumu kwa mtu mmoja ku master kila kitu kwa usahihi zaidi naweza sema ni more of a team based , inahitaji dedication ya muda mwingi sana ku produce hata kujifunza pia especially on YouTube na places tofauti tofauti mtandaoni. Hardware ni kikwazo kikubwa sometimes katika hizi low specs computers unaweza ishia kumodel tu hata usimalize ku animate japo kwa alie serious ni changamoto tu na si kikwako coz kuna issues kama scene optimization, kuna mengi sana yakujifunza and So far ni miongoni mwa industries ambazo hazijawa expolored enough katika hii nchi yetu na kuna opportunities nyingi sana huku ...All in all Keep up the good work and determination and have a nice journey
 
Yes na sion ninacho daiwa kwenye blender na kumwaminisha mtu ni lazima niwe na machine inayoweza kurender na ndo kitu nacho pambania kwasasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom