Kwa mtu mwenye kipaji cha kuchora kipaji chake kinaweza kumsaidia na hizi ishu za annimation ?Naipata vizuri maana nilisoma kozi yake semester nzima, hizi project za animation zinataka collaboration, yani muwe atleast watu watatu hivi, nikitulia itabidi nianze kujikumbusha
Mkuu mtu anayejua kuchora kuchora kwake kunaweza kumpa wepesi katika hii ishu ?View attachment 2193550View attachment 2193551View attachment 2193552Hii nayo ni ramani ya mjengo ninapoishi hii imeleta utata wengi wanasema nimepiga picha nyumba za majirani nikazikata
Nakumbuka nilikuwa amazing sana hata sasa hivi nikichora kitu kwa mkono watu wanashangaa nilivyokuwa naweza kubuni.sana tu mi mwenyewe kidogo uchoraji umo kichwani
ukiwa na jicho la uchoraji itakusaidia kwenye Idea creative ingawa 3d na uchoraji havipo karibu sanaNakumbuka nilikuwa amazing sana hata sasa hivi nikichora kitu kwa mkono watu wanashangaa nilivyokuwa naweza kubuni.
Nitaanza kujifunza hizi mambo
Katika High Paid Skills ipo ??Hizi vitu ingawa bado sijaanza kuzivutia mpunga ila naimani zinapesa mingi
UX/UIskills ipi hyo mkuu
Umeimprove sana. Endelea hivo hivo👏👏.View attachment 2193547
View attachment 2193548hiyo render ya juu hapo nilijaribu kuangalizia kutoka kwenye hii ya googleView attachment 2193549
Animation software zote ni ngumu tena afadhali blendee. Watu mara nyingi wanajifunzia shuleni. Mtandaoni ni ngumu lakini inawezekana kujifunza.Blender ni ngumu, probably kwakua najifunza online.
We jamaa upo njema hapo ulipo.