Joachim Alexander Nangale
Member
- Nov 25, 2020
- 34
- 26
Bei vipi mkuu?Mafuta ya tisin elfu unatoka tanga unafika chuga na kugeukat probox ni habari ingine ikikolea mwendo nikama tiara mwaka wa 4 huu nimebadili tairi na oil kila ikiisha tu,na ripea za kawaidatu
Siti zake za Kati ziko vizuri tofauti na pro box za kawaida pia stability yake iko vizuri Sana na limekaa kisasa zaidiShukrani Chief..
sifa zake ni zipi zaidi kamanda!
Ni Kweli Kigoma Kwenda Manyovu, Kasulu Kwenda Manyovu, Kasulu Kwenda MakeleGari zina kula shuruba Kigoma hizo wao wanazitumia kama daladala zina roho ya paka hizo gari kwa jinsi njia za Kg zilivyo wenyewe wanaziita mchomoko.
kabisaa wakati najichangachanga hasa hako ka 4WDNikae nipate moja mbili tatu
🔨🔨kabisaa wakati najichangachanga hasa hako ka 4WD
aaaaah.mbona unanivunja moyo mkuu,na u tall huu katanifaa kwelProbox kalivyo kadogo kuosha unachanganya na vyombo!
Halafu kubadili tairi unafanya kunyanyua na mkono mmoja unapachika tairi, unapoendesha vile kibini ilivyo fupi ukiwa mrefu sana inabidi upinde shingo au utoe kichwa nje ili kisiguse kibin,
Kiufupi probox haina stress ingawa taili na rim zake ni nyembamba sana kama za spea taili!
NI GARI NZURI ACTUALLY