Msaada; namna ya kupata trekta za mtumba aina ya Massey Ferguson 165.

dimaa

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
4,019
5,436
Salamu kwenu,

Kwa wataalamu wa matrekta, tusaidizane namna ya kupata trekta ya mtumba aina ya Massey Ferguson 165, bei yake kwa hapa nchini tanzania, ikiwa na mpini wake. Ili nianze kuseti mipango ya kuipata pesa.

Shukrani kwenu.
 
Tafuta wakulima wazoevu maana ukiingia kichwa kichwa utaliwa.
Kama unaweza agiza Ulaya kule angalau Wana uaminifu Tena agiza shambani kabisa au agents wa kule.
Au mchek Kriss Lukosi akutafutie UK japo nae ni mswahili na mswahili rule no moja aaminiki.
Au nenda South Africa kwa wakulima unachukua kitu used safi unapakia kwenye meli ndani ya wiki unapokea Hapo DP world kwenye maji.
 
Si lazima uanze na treka kama mfuko unaruhusu gari kama landarover, land cruiser au yeyeto yenye four wheele drive inalima vizuri TU kwa kutumia majembe ya mfumo wa hydroliki KAZI ya gari kuvuta jembe kama tela then KAZI ya hdyroliki ni kupush jembe lizame chini kwa level uitakayo iwe ni kulima au kupalilia.
 
Hebu ongeza nyama Zaidi hapa mkuu hayo majembe yenye hydroric ni yapi
 
Si lazima uanze na treka kama mfuko unaruhusu gari kama landarover, land cruiser au yeyeto yenye four wheele drive inalima vizuri TU kwa kutumia majembe ya mfumo wa hydroliki KAZI ya gari kuvuta jembe kama tela then KAZI ya hdyroliki ni kupush jembe lizame chini kwa level uitakayo iwe ni kulima au kupalilia.
Mkuu ufafanuzi zaidi, bei ya gari ikoje?
 
Gari za kizaman Bei ni maelewano mengi watu wameyapaki.
Mfumo wa trela zenye majembe hydroliki mafundi watundu wanakutengenezea TU.
Majembe ya disc sahani naona kama ni WA kizamani zamani na kazi mara mbili ulime then uje upige harrow wakati upo mfumo unapita mara Moja tu urudii
 
Tafuta wakulima wazoevu maana ukiingia kichwa kichwa utaliwa.
Kama unaweza agiza Ulaya kule angalau Wana uaminifu Tena agiza shambani kabisa au agents wa kule.
Au mchek Kriss Lukosi akutafutie UK japo nae ni mswahili na mswahili rule no moja aaminiki.
Au nenda South Africa kwa wakulima unachukua kitu used safi unapakia kwenye meli ndani ya wiki unapokea Hapo DP world kwenye maji.
Huyo mwamba ni nani na , nampataje?
 
Hongera mkuu kwa kuwaza uwekezaji mkubwa
Tanzania kunawauzaji wa matrekta toka uk ila bei inakuwa juu kidogo tofaut na ukiagiza mwenyewe nje hasa Uk.
165 ni kifaa sana mkuu.

Unaweza onana na nawakala waaminifu wakuagizie japo kwangu sina uzoefu sana ila miaka ya nyuma kodogo ilikuwa m25 unapata 165 au 185 ilosimama bila jembe.

Kwasasa sipo karibu na hizo mambo sana ila jembe zuri ni toka huko huko haya ya pakistan si kitu yanapinda yakigonga kitu kigumu

Angalizo kama umeamua kuchukua mashine ya kazi achana na hizo massey za pakistani

Nakutakia kila la heri
 
Vip na Massey za dubai na oman?
 
Mitaa gani?, na nawezaje pata mawasiliano yao?
Riverside ubungo wamejaa dealers WA used,na Massey za Pakistan,ilala boma yupo dealer WA used.
New na mkopo nenda Nyerere Rd kuanzia vigunguti hadi kabla ya Jet kushoto Pana ajent wa treka za Case,
Massey,new Holland, John Deere za India,vingunguti jipange kuanzia milioni 30.
Kubota wapo kamata,
Swaraj, Mahindra vingunguti jengo la blue Sapphire.
Mo vingunguti ana trekta za TAFE ya India na Chinese tractors.
Zaidi google Tanzania tractor dealers utapata contact zao.
 
Si lazima uanze na treka kama mfuko unaruhusu gari kama landarover, land cruiser au yeyeto yenye four wheele drive inalima vizuri TU kwa kutumia majembe ya mfumo wa hydroliki KAZI ya gari kuvuta jembe kama tela then KAZI ya hdyroliki ni kupush jembe lizame chini kwa level uitakayo iwe ni kulima au kupalilia.
Hujafikiria vzuri, trekta ni multi purpose sio kulima tu, kuna kuvuruga, kumwaga dawa, kumwaga mbolea kimwagilia maji, kuzungusha mashine. Zote hizo kazi trekta inafanyq
 
Hata gari vyote hivyo inafanya.
Ni utundu wako.
Kinachotoa nguvu ni injini
 
New holland 75hp za suma jkt zinachangamoto gani mwenye kuzijua?Nampango wa kuichukua.
 
Back
Top Bottom