KingPower
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 1,099
- 1,747
Mkuu hii ulitakiwa uifungulie uzi wake haipaswi kua comment
Kiukweli nimemfukuza mke wangu Kama miezi miwili iliyopita kutokana na tabia ya kuchepuka.
Nesi siyo mwanamke wa kuoa.
Nimereview miaka yote 10 ya ndoa nimegundua Hawa watu husahau haraka Sana kuliko hata simu inapodelete picha au meseji!
Tena anatangazia umma kuwa Mimi na yeye hatuendani sababu tu kapata hawala mwanajeshi ananizidi kipato!
Hakuangalia familia ya watoto wawili tuliowapata kwa kusafiri zaid ya KM 900 kwenda muhimbili kulazwa zaid ya Mara 4.
Ameachisha mtoto wa miezi 8 kunnyonya maziwa ya mama na kumpeleka kwa bibi yake na kumnywesha maziwa ya makopo ili tu asimbuguzi anapoliwa na huyo mwanajeshi.
Nimepoteza zaid ya 7.5kg kwa hili tukio.
Nasema ni heri ya mbwa ana shukurani kwa bwana wake anayempa chakula akimuona anatikisa mkia kuliko Hawa MANESI!
Kama umeoa nesi Kila la heri.
Sijaona wanawake wapumbavu Kama kada hii!
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app