Kwenu waoaji 2021

Kiukweli nimemfukuza mke wangu Kama miezi miwili iliyopita kutokana na tabia ya kuchepuka.
Nesi siyo mwanamke wa kuoa.
Nimereview miaka yote 10 ya ndoa nimegundua Hawa watu husahau haraka Sana kuliko hata simu inapodelete picha au meseji!
Tena anatangazia umma kuwa Mimi na yeye hatuendani sababu tu kapata hawala mwanajeshi ananizidi kipato!
Hakuangalia familia ya watoto wawili tuliowapata kwa kusafiri zaid ya KM 900 kwenda muhimbili kulazwa zaid ya Mara 4.
Ameachisha mtoto wa miezi 8 kunnyonya maziwa ya mama na kumpeleka kwa bibi yake na kumnywesha maziwa ya makopo ili tu asimbuguzi anapoliwa na huyo mwanajeshi.
Nimepoteza zaid ya 7.5kg kwa hili tukio.
Nasema ni heri ya mbwa ana shukurani kwa bwana wake anayempa chakula akimuona anatikisa mkia kuliko Hawa MANESI!
Kama umeoa nesi Kila la heri.
Sijaona wanawake wapumbavu Kama kada hii!

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Pole sana bro

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Unajua unapoamua kufunga ndoa na mwanamke maana yake Kuna uwezekano ukaishi nae muda mrefu kushinda hata wazazi wako waliokuzaa.
Nilimuamini.
Sikutaka kubugudhi ingawa alikuwa na changamoto za uzazi nilimvumilia nikijua mengine nimuachie mungu tu.
Imagine unaenda kazin kwake unakuta katambulisha hawala Kama mume wake.
Hapohapo anarudi nyumbani kulala kitanda kimoja na wewe.
Msishangae ukiona mtu kapiga mke wake shoka la kichwa

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Kaka usiongee mengi.....

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
- Mwanamke alokuzidi kipato USIOE huyu matumizi yake ni makubwa kutokana na kipato chake usipomtimizia matumizi yake kwa kumpa hela kiasi kidogo atakudharau tu

- Mwanamke alokuzidi elimu USIOE hasa hawa wa degree,masters,PhD hawa ni wanaharakati wa majukwaani hawa ndio wanaohubiri wao ni sawa na wanaume 50/50 hawa hudhani kwakua wamesoma km wanaume wanadhani wao ni sawa na wanaume hawapendi kusimama kwenye nafasi zao

- Mwanamke alokuzidi umri kuanzia miaka 10 USIOE huyu atakuchukulia ww km mtoto tu hutawezana nae oa umri wako au chini yako

  • Mwanamke ambaye anavaa vinguo vifupi na vya kubana halafu akawa na ujasiri wa kutoka barabarani USIOE hao ni watu wa biashara zaidi
  • Mwanamke unayemtumia vocha halafu akakubipu USIOE huyu yupo kimaslahi zaidi

- Mwanamke mrembo sana kila mtu anamwongelea USIOE hawa huwa na kiburi kutokana na uzuri wao na matajiri watakuchapia maana kila ndoto ya tajiri kuwa na mchepuko mzuri.

Ongeza nyingine kama zipo
Kila mtu abaki na msimamo wake tu we kama hutaki kuoa wa hivo sisi tunaoa wa hivo kikubwa heshima na upendo we vunga tu shauri yako.
 
Back
Top Bottom