Kwenu waoaji 2021

Upofu wa mapenzi 75%
Naumia kwa sababu nilimpenda kweli huyu mwanamke

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Mkuu nionavyo unapitia stage za majonzi (grief) ukizimaliza utajioma mpya zipo tano tu.

1.Denial
2.Anger
3.Bargaining
4.Depression
5.Acceptance

Naona upo stage ya pili , kwa jinsi utakavyozidi kujipa muda uyajikuta mwenyewe unazipitia bila hata kujua na baada ya hapo ndipo utarudi kawaida.
 
Kiukweli nimemfukuza mke wangu Kama miezi miwili iliyopita kutokana na tabia ya kuchepuka.
Nesi siyo mwanamke wa kuoa.
Nimereview miaka yote 10 ya ndoa nimegundua Hawa watu husahau haraka Sana kuliko hata simu inapodelete picha au meseji!
Tena anatangazia umma kuwa Mimi na yeye hatuendani sababu tu kapata hawala mwanajeshi ananizidi kipato!
Hakuangalia familia ya watoto wawili tuliowapata kwa kusafiri zaid ya KM 900 kwenda muhimbili kulazwa zaid ya Mara 4.
Ameachisha mtoto wa miezi 8 kunnyonya maziwa ya mama na kumpeleka kwa bibi yake na kumnywesha maziwa ya makopo ili tu asimbuguzi anapoliwa na huyo mwanajeshi.
Nimepoteza zaid ya 7.5kg kwa hili tukio.
Nasema ni heri ya mbwa ana shukurani kwa bwana wake anayempa chakula akimuona anatikisa mkia kuliko Hawa MANESI!
Kama umeoa nesi Kila la heri.
Sijaona wanawake wapumbavu Kama kada hii!

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Pole bro
 
Kwa kesi yako hata mimi nakushauri usioe kwanza/kabisaaa .Jipe kama atleast 5 years ndio uanze kuwaza kutafuta single maza mmoja kama co partner mlee watoto kama bado wadogo.
Hata kuzaa achana tena na mpango huo.
Hao watoto wawil kama kwel ni wako basi concerntrate hapo kuwatengenezea future.
 
Kiukweli nimemfukuza mke wangu Kama miezi miwili iliyopita kutokana na tabia ya kuchepuka.
Nesi siyo mwanamke wa kuoa.
Nimereview miaka yote 10 ya ndoa nimegundua Hawa watu husahau haraka Sana kuliko hata simu inapodelete picha au meseji!
Tena anatangazia umma kuwa Mimi na yeye hatuendani sababu tu kapata hawala mwanajeshi ananizidi kipato!
Hakuangalia familia ya watoto wawili tuliowapata kwa kusafiri zaid ya KM 900 kwenda muhimbili kulazwa zaid ya Mara 4.
Ameachisha mtoto wa miezi 8 kunnyonya maziwa ya mama na kumpeleka kwa bibi yake na kumnywesha maziwa ya makopo ili tu asimbuguzi anapoliwa na huyo mwanajeshi.
Nimepoteza zaid ya 7.5kg kwa hili tukio.
Nasema ni heri ya mbwa ana shukurani kwa bwana wake anayempa chakula akimuona anatikisa mkia kuliko Hawa MANESI!
Kama umeoa nesi Kila la heri.
Sijaona wanawake wapumbavu Kama kada hii!

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app

Pole sana Mkuu ndiyo maisha japo usaliti unaumiza sana
 
Syo nesi tu mimi niachiwa watoto 2 miaka mi 3 ilyopita lakini , maisha yanaendelea , ndgu wewe songa mbele huyo ana papuchi mwache aende zake, ila ipo siku atarudi kukupigia goti
 
Duuuuuude!!! Tatizo sio kuoa NESI.....ni kuoa mwanamke uliyemuoa.

Man up!!!Maaana inaonekana kabisa anakuchukulia poa sana. Yani umejiweka kinyonge mpaka mwenyewe unaniboa. MAN UP!!!
Tatizo ni nesi,nina ushuhuda mdogo angu aliowa nesi mbwa yule anadanganya ana shift ya usiku anaenda kukesha bar na gesti,dogo amekaa mpaka jela kwa ajili yake.

Malaya sana hawa,kwa ufupi mwanamke asifanye kazi za usiku kama hayupo understanding atatembea ananuka shahawa za mahawara,kama unae wako usijifariji wote sawa hao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom