Kwenu waoaji 2021

toka umuoe haukuwa kutoka nje ila kabla ya kumuoa ulikuwa unapiga tu wengine fresh , sasa hauoni kuwa umeoa wa kuendana na wewe?

Yeye mwenyewe unakuta alikuwa anaficha mambo yake tu , sasa ndo ukaja kuona hadharani.
Ila yeye nilimkuta bikra kabisaa!!
 
.....................Dogo nakuhakikishia,binuka inama jiviringishe yaani we piga sarakasi zooote unazozijua wewe ila kama mwanamke unaetaka kumuweka ndani ana moja wapo wa sifa zilizotajwa pale main post,kaa chini tumia hiko kichwa vizuri,na kinachowaumiza vijana wa kileo ni hii kitu so called “mwanamke mwenye akili ya maisha”,unaowa mwanamke aje kukusaidia maisha?nani amekudanganya?

Hii ni wide forum hatujuani so sina haja wala nia ya kukutisha we soma shuhuda za wenzako humu ukiweza kuelewa elewa kama hukuelewa leta ubishi wa kenge kukataa kuumia mpaka damu zimtoke masikioni uone utakavyopoteana.

Mwanamke akikubadilkia hapa boxer utavaa kichwani acha masihara!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaoa mwanamke mwenye akili ya maisha ili akusaidie kukumotivate kuendeleza mola alichokujaalia hapa duniani. Akili ya life ndio kila kitu.Alafu mkuu umeongea kwa hisia sana mwanamke anakubadilikiaje wakati wewe ndio baba utakuwa ulikuwa humkazi vizuri unatakiwa usugue hadi usikie haruf kama ya nyama kuungua just kiding... Maisha ndiyo haya haya naoa hili toto la kichaga soon mkuu imeisha hiyoo!
 
Attachments

  • Screenshot_2020-12-30-07-16-30.png
    Screenshot_2020-12-30-07-16-30.png
    67.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_2020-12-30-07-16-00.png
    Screenshot_2020-12-30-07-16-00.png
    36.9 KB · Views: 2
Unaambiwa watu waombeee sanaaa hiyo product wasichana na wanawake single wengi wasiijue bongo hapa 😂😂😂😂
 
Sijui mkuu!! kiweke ktk lugha rahisi!!
Nimeweka picha hapo juu hiyo ni vidonge viwili pamoja na jell yake ambayo wanawake ambao wanataka kuonekana wao wana bikra huwa wanaitumia kutengeneza bikra feki na pia jell yake inafanya uke ubane kwa muda fulani nadhani ni dk 30 hadi lisaa.

Na hapo ndipo wengi huchapwa .
 
Mkuu naona mengine ni yandani mno!! uyalete pm!
 
Kiukweli nimemfukuza mke wangu Kama miezi miwili iliyopita kutokana na tabia ya kuchepuka.
Nesi siyo mwanamke wa kuoa.
Nimereview miaka yote 10 ya ndoa nimegundua Hawa watu husahau haraka Sana kuliko hata simu inapodelete picha au meseji!
Tena anatangazia umma kuwa Mimi na yeye hatuendani sababu tu kapata hawala mwanajeshi ananizidi kipato!
Hakuangalia familia ya watoto wawili tuliowapata kwa kusafiri zaid ya KM 900 kwenda muhimbili kulazwa zaid ya Mara 4.
Ameachisha mtoto wa miezi 8 kunnyonya maziwa ya mama na kumpeleka kwa bibi yake na kumnywesha maziwa ya makopo ili tu asimbuguzi anapoliwa na huyo mwanajeshi.
Nimepoteza zaid ya 7.5kg kwa hili tukio.
Nasema ni heri ya mbwa ana shukurani kwa bwana wake anayempa chakula akimuona anatikisa mkia kuliko Hawa MANESI!
Kama umeoa nesi Kila la heri.
Sijaona wanawake wapumbavu Kama kada hii!

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Upo sawa kabisa. Yaani ni fact 100%
 
Mkuu unaoa mwanamke mwenye akili ya maisha ili akusaidie kukumotivate kuendeleza mola alichokujaalia hapa duniani. Akili ya life ndio kila kitu.Alafu mkuu umeongea kwa hisia sana mwanamke anakubadilikiaje wakati wewe ndio baba utakuwa ulikuwa humkazi vizuri unatakiwa usugue hadi usikie haruf kama ya nyama kuungua just kiding... Maisha ndiyo haya haya naoa hili toto la kichaga soon mkuu imeisha hiyoo!
Subiri uje kutia huruma hapa JF. Mke mwema anatoka kwa Mungu. Angalia tu usije kujuta. Mifano ni mingi sana ila nakuona kama hujali maonyo ya wadau.
 
Kiukweli nimemfukuza mke wangu Kama miezi miwili iliyopita kutokana na tabia ya kuchepuka.
Nesi siyo mwanamke wa kuoa.
Nimereview miaka yote 10 ya ndoa nimegundua Hawa watu husahau haraka Sana kuliko hata simu inapodelete picha au meseji!
Tena anatangazia umma kuwa Mimi na yeye hatuendani sababu tu kapata hawala mwanajeshi ananizidi kipato!
Hakuangalia familia ya watoto wawili tuliowapata kwa kusafiri zaid ya KM 900 kwenda muhimbili kulazwa zaid ya Mara 4.
Ameachisha mtoto wa miezi 8 kunnyonya maziwa ya mama na kumpeleka kwa bibi yake na kumnywesha maziwa ya makopo ili tu asimbuguzi anapoliwa na huyo mwanajeshi.
Nimepoteza zaid ya 7.5kg kwa hili tukio.
Nasema ni heri ya mbwa ana shukurani kwa bwana wake anayempa chakula akimuona anatikisa mkia kuliko Hawa MANESI!
Kama umeoa nesi Kila la heri.
Sijaona wanawake wapumbavu Kama kada hii!

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app

Mkuu mkeo ni Nurse wa Hosp gan?
Na Hiyo ni hulka na tabia yake binafsi sio ya Nurses wapo Nurses wengine ukioa utafurahi tu mwenyewe
 
Mtoa post mm nakupa pole kwa uliyokutana nayo, pia nakupa pole sana kwa kupotezewa muda wako mwingi,,binafsi nakubaliana na wewe 100% kwa ulichokiandika juu ya hawa manesi,tena ukianza nao hujifanya wema sana na wanaojali sana ,utasikia ooh mpaka tupime,kumbe wao ndio hovyo kabisa
 
Kama ulikuwepo vile. Wanajifanya wanajari lakin ukikaa nae muda wa kutosha ndio utajua kuwa MANESI ni version nyingine ya mabaa maid tu!
Kulala na mteja kwake ni Kama sehemu ya kazi

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unaoa mwanamke mwenye akili ya maisha ili akusaidie kukumotivate kuendeleza mola alichokujaalia hapa duniani. Akili ya life ndio kila kitu.Alafu mkuu umeongea kwa hisia sana
emoji23.png
emoji23.png
mwanamke anakubadilikiaje wakati wewe ndio baba utakuwa ulikuwa humkazi vizuri unatakiwa usugue hadi usikie haruf kama ya nyama kuungua
emoji23.png
just kiding... Maisha ndiyo haya haya naoa hili toto la kichaga soon mkuu imeisha hiyoo!
Subiri uje kutia huruma hapa JF. Mke mwema anatoka kwa Mungu. Angalia tu usije kujuta. Mifano ni mingi sana ila nakuona kama hujali maonyo ya wadau
 
Back
Top Bottom