Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 51,236
- 123,786
Baada ya muda gn ndo tuiombe?Nyie mbwa mkijibiwa ndio saa 2 saa sita mnaitaka hapana aisee! Bora nivute hisia kwanza namimi mambo ya kunyweshana hansons choice muda wa mechi!😏
Baada ya muda gn ndo tuiombe?Nyie mbwa mkijibiwa ndio saa 2 saa sita mnaitaka hapana aisee! Bora nivute hisia kwanza namimi mambo ya kunyweshana hansons choice muda wa mechi!😏
Na vile unapenda pombe, utanyweshwa sana tu.😅Nyie mbwa mkijibiwa ndio saa 2 saa sita mnaitaka hapana aisee! Bora nivute hisia kwanza namimi mambo ya kunyweshana hansons choice muda wa mechi!😏
Unaona wee kuweza??saaa sita mbali saa nne
Hata miezi miwili jamani, yani masaa🥹Baada ya muda gn ndo tuiombe?
Pombe nakunywa mwenyewe ndani kwangu! Sina haja ya kunyweshwa mataptap na mbwa!Na vile unapenda pombe, utanyweshwa sana tu.😅
Mambo ni mengi, kubali nijue nimepata mpenzi au kataa niendelee kutafuta mwingine. Siwezi kuishi bila kipapa.
Mwanamke ni mwanmke tu anahitaji support ya kiume tulia zamu yako yaja ni mapigo na mwendoBasi mnawaigizia madirector labda mkatafute underground huko!
Saa nne ya nn mbali huko, mm nataka jibu langu unipe tukiwa uchi kitandani, kwan mpaka nakuja kukutongoza hujui nataka nn kutoka kwako?saaa sita mbali saa nne
Hapana, labla kwa bikraHata miezi miwili jamani, yani masaa🥹
Inategemea na ukubwa wa support ila sio kwa hizo story za paka na panya! Mwanaume aliyenyooka kwanza hana huo muda wa kusubiri ombi au kutuma maombi! Kuna namna anakuja bwana!Mwanamke ni mwanmke tu anahitaji support ya kiume tulia zamu yako yaja ni mapigo na mwendo
Sasa si ukanunue tu malaya! Kutongozana ndio tuwe kitandani? Mmbwaaa!!🙄Saa nne ya nn mbali huko, mm nataka jibu langu unipe tukiwa uchi kitandani, kwan mpaka nakuja kukutongoza hujui nataka nn kutoka kwako?
Pombe ya offer si mnasema tam sana, leo unayaita mataptap kweli?Pombe nakunywa mwenyewe ndani kwangu! Sina haja ya kunyweshwa mataptap na mbwa!
Kwani we huwezi kuishi bila jibu langu? Fanya mambo mengine takujibu nikitaka!
Bikra ndio miezi? Si miaka kabisa! Mbona kuna wanaume wanavumilia miaka nyie mloshindikana bwana!Hapana, labla kwa bikra
Kunywa bia nyamaza tu binti gari za miradi ni nyingi sana kwa sasa na hivi kuna zaidi ya T moja imetengwa kwaajiri ya safari za wakuuuuInategemea na ukubwa wa support ila sio kwa hizo story za paka na panya! Mwanaume aliyenyooka kwanza hana huo muda wa kusubiri ombi au kutuma maombi! Kuna namna anakuja bwana!
Pombe za offer ndio zikoje hizo? Siko katika level chafuchafu hizo mkuu!Pombe ya offer si mnasema tam sana, leo unayaita mataptap kweli?
Jibu lipatikane ili mtu ajue asepe au akae. Sio kuwekeana usiku.
Kama unataka tuongelee upande wa T ntakuja kivingine ila sio hizo habari za ombi langu lini, ombi langu the fvck!!Kunywa bia nyamaza tu binti gari za miradi ni nyingi sana kwa sasa na hivi kuna zaidi ya T moja imetengwa kwaajiri ya safari za wakuuuu
Kwa hiyo lazima umzungushe ili kumchunguza, noma!!Pombe za offer ndio zikoje hizo? Siko katika level chafuchafu hizo mkuu!
Jibu langu sio pumzi kwako, fanya mambo mengine au nawe piga kimya. Simple!
Oooooh ngoja nipambane nipate japo gari moja wizarani pale niifunge bendera ya nchi pembeni ntakua nakufata huko bonyokwa usiwazeKama unataka tuongelee upande wa T ntakuja kivingine ila sio hizo habari za ombi langu lini, ombi langu the fvck!!
Kwahiyo nitamchunguzaje muda alotuma maombi? Hujui kuna watu wanatumia kigezo hichocho kulomba wanawake?Kwa hiyo lazima umzungushe ili kumchunguza, noma!!
Karibu sana huku amshenzini jirani yanguOooooh ngoja nipambane nipate japo gari moja wizarani pale niifunge bendera ya nchi pembeni ntakua nakufata huko bonyokwa usiwaze
Tunabadili nyamaSasa si ukanunue tu malaya! Kutongozana ndio tuwe kitandani? Mmbwaaa!!🙄