ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,286
- 31,675
Mdomo wenu ndio umewaponza wakifungwa wengine ni wabovu, wamehongwa sasa tumewapiga nyie dunia ijue domokaya kapigwaAngalia
Yanga ameifunga timu ngapi mabao 5?
Ameifunga Simba mpaka mabango, wanapost picha na video kwenye mabango kwa maana yake ni kuwa timu ya Yanga ni timu changa kisoka japo imeanzishwa siku nyingi.
