Ongeza japo to 5.5mil nikupenahitaji cresta used hapa Tanzania lakini isiwe used kama tax 3.0-4.5 iwe katika khali nzuri na tuwasiliane 0752092886,regard
Ongeza japo to 5.5mil nikupe
Mimi ninayo kwa Million 9...
Kama 6m unazo nakuachia, iko hali nzuri sana, service TOYOTA only kila baada ya 5000 km, white Cresta exceed vvti engine 2.5mkuu nitumie picha na picha tuongee biasharaa
Kama 6m unazo nakuachia, iko hali nzuri sana, service TOYOTA only kila baada ya 5000 km, white Cresta exceed vvti engine 2.5
gud imetumika kama text au..........,mafuta inakula sawa na 2000 cc mkuuu,kama vp nikuwekee my nomber
Haijawahi kutumika kama taxi, naitumia mwenyewe, inaenda 9km per liter
Vpi umeshafanya biashara, kama bado mimi ninayo cresta 1g(BTS) 8.0-7.5