Kigoma Messenger Services

Kigoma Messenger Services

Exformer

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2018
Posts
856
Reaction score
989
Ndugu zanguni nawasalimu kwa jina La Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kuna jambo hapa nataka kulifanya ila ushauri wenu ni muhimu pia.

"Kigoma messenger service" Nimeipa jina hii hiyo huduma inayotaka kuja na kuifanya mimi.

Binafsi, ni mzaliwa wa kigoma na ninaoafaham vyema kwa sababu ndipo nilipozaliwa na kukulia na masomo ninesomea hapa hapa kwa ufupi NI MZAWA WA KIGOMA. Nilipita mahaki nikakuta idea nikasem labda niifanye kwa namna yangu.

NAMNA YA KUFANYA KAZI, Mathalani haupo mkoa wa Kigoma, lakini kuna shughuli zako unahitaji zikamilike haraka mkoani kigoma pengine huna muda na unataka kuokoa gharama zaidi.

Basi usiwe na shaka, nimekuanzishia KIGOMA MESSENGER SERVICE. Yaan wasiliana na mimi na nitafanya hayo yote kwa maelekezo yako kama wewe unavyotaka iwe.

Nitafatilia kile ambacho unahitaj kukifanya mkoani KIGOMA.
Iwe
Maofisini
Shuleni
Hospital
Biashara
N.k
Mimi ni messenger , yaan ninafanya on behalf ya wewe kwa maelekezo yako kabisa.
Gharama zinazungumzika
+255765743803 WhatsApp only
+255628849189 calls and Sms
Email:hamicomaryrajabu993@gmail.com

Je, nini mnanishauri wana JF!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata connection za waganga konki kabisa nakutuma wewe "kigoma messenger service"?
 
ila nakushauri kabla hujaanza huduma.

Badilisha jina la kampuni..

Sio kila mtu mwingereza, jiite tu ~Niagize kigoma~ au vyovyote itakavyitamkika vizuri kwa lugha ya makabila yote (kiswahili)
 
Alichokushauri hapo juu, ni kitu muhim sana, mimi kwa haraka haraka nilipata tafsiri ya kigoma masaji services, yaan huduma ya masaji, baada ya kusoma maelezo zaidi ndo nikapata kujua ulichomaanisha.
 
Creativity nzuri sana. Lakini kwa nini usijiite "Kigoma Agent" au "Your Kigoma Agent" hio messanger hapo itachanganya watu utapata wateja walio na shida zingine tofauti na unazotatua
 
Back
Top Bottom