kwenu wana forum nahitaji cresta gx 100 used hapa tanzania

quresma

Member
Feb 8, 2012
32
2
nahitaji cresta used hapa Tanzania lakini isiwe used kama tax 3.0-4.5 iwe katika khali nzuri na tuwasiliane 0752092886,regard
 
Kama 6m unazo nakuachia, iko hali nzuri sana, service TOYOTA only kila baada ya 5000 km, white Cresta exceed vvti engine 2.5

gud imetumika kama text au..........,mafuta inakula sawa na 2000 cc mkuuu,kama vp nikuwekee my nomber
 
Hiyo gx100 iko vizuri sana kwa mtu unaye jua magari huulizi!!! Full leather!! Engine iko vizuri sanaaa!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom