Kwenu wadada wenzangu

Mimi huwa nawashauri wakina dada...kama kuna kitu wangefanya kwa maisha yao...ni kuipa thamani kubwa PAPUCHI zao...sema wengi wanaziachia mno....wanajirahisiha sana...sana yaani.....

Unalosema ni kweli kabisa Mkuu ila tukirudi nyuma hao akina dada wanajirahisisha na wakinadada wenzao? Shauri vijana jinsia zote maana wanaona kama kufungua zip ni fashion.
 
I know her personally

SO YOU KNOW HER TO THE EXTENT OF KNOWING WHAT IS IN HER SOUL??????????????

BTW 1st Things 1st! So u are a HOT SHOT over there ayeeeeee! Rollin wit them stars over there, livin the spotlight n baillin wit them big boys!!!!!!!! DID I MENTION BEFORE YOU ARE THE KIND MY DREAM MAN!!!!! How forgetful of me, Why havent i asked u for your number all this time! (DONT HESITATE ABOUT ALL CHARGES I CAN CALL EVEN ON MARS NEED I DO SO!) I LOVE ALL YOUR COMMENTS AND WE ARE COMPATIBLE!!!!!! Kama pipa n mfuniko (Uswahili nitaacha kabisaa)

DONT HATE ME PEOPLE! A SISTER IS JUST TRYIN TO GET A PEACE OF THE ACTION! After all we only live once! Batter try n fail than not try at all:hug:
 
Good advice to ladies and bintiiz ufanyieni kazi
 
Unalosema ni kweli kabisa Mkuu ila tukirudi nyuma hao akina dada wanajirahisisha na wakinadada wenzao? Shauri vijana jinsia zote maana wanaona kama kufungua zip ni fashion.
....sawa labda vijana wengine...lakini mi wakina dada naowaona kwenye cycle yangu wanasikitisha sana... awajali, hawajithamini....wengine wanadhani ni ujanja...kwa ujumla mimi kuna wakina dada wengi nakutana nao (hasa kwenye kazi yangu)...hawajithamini kabisa(hawathamini miili yao) wanampa kila mtu kwa sababu mbali mbali....sijui labda maisha yetu ya kitanzania yanafanya wawe wamekata tamaaa.
 

Na ndo maana mim nikimfuma mpenz wangu na mdada ambaye hazimtoshi...mawazo ya kimaisha hana...well and good....endelea nae tu...unaacha diamond for a stone???go ahead ujionee headache za wanawake wa mjin
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…