Kuna vitu UNACHANGANYA! SHULE SIO KIPATO ASILANIIIIIIIIIIIII!!!!!!!!!!
Kuna watu tunakaribia ku apply PHD ila ndo TUNASHNDA TUNAANGALI TELEMUNDO my heart beats for Lola, tunaishi mjini kwa MAHEABU MAKALI na HISANI NENE za wadau! Jitu lina MASTERS linaagiza hela NYUMBANI KWA DADY NA MAMY!
Ila kuna ma FIGHTER STD 7 unapanga FOLLENI kwao! Wako vizuri balaaaa! Wamejipanga! kuna jimama mtaani kwetu lina saluni tu linapamba maharusi, lowest income per week ni 1M. wakati mie kazini kwangu kabla sijasusa kufanya kazi yeyote sijui nitaufikia lini huo mshahara kwa MWEZI MZIMA!!!
SO KUTOENDA SHULE HAIGUARANTEE UTAKUW TEGEMEZI, NA KWENDA SHULE SIO KUTOKA KIMAISHA! MJINI MIPANGO!
Malkia wangu nimezikosa busara zako kwa muda mrefu sana, kila siku nasikia makelele ya walewale tu.
Nashangaa...haamini kama kuna wanawake/wadada waliojitoa kwenye shule ya mwalimu kipofu.Mawazo potofu
Unadhani kila mdada hajielew?
Hata mimi sijutii kuwa na wewe Malkia wangu, nikuonapo tu siku yangu inakuwa nzuri ajabu.mie siku hizi msomaji tu nimeusoma upembuzi wako yakinifu pale juu aisee
sijuti kuwa na wewe My king
Hata mimi sijutii kuwa na wewe Malkia wangu, nikuonapo tu siku yangu inakuwa nzuri ajabu.
Simaanishi nafanya au nashaur mfanye ili kuolewa lakun kumbuka hata uwe n mali kiasi gani, uwe n kioa unachokihitaj at da end of da day utatakiwa kua n mumeo,, sasa unazan unavojirahisi ivo kila mwanaume anakupitia utapata mtu wa kuendana n ww wa kukuweka ndani?? Me nimeshauri wadada tujiheshmu kwa kutolea mfano wa kua n wakaka wa kila aina ila sijasema hujieshmu ili upate ndoa
Nimejaa tele ndani ya jiji la Mecky Sadiq.nafurahi kusikia hivi.......safari zimepungua sa hizi nahitaji kukuona tena
Kwanini?Kwa hiki ulichokiandika, sidhani wewe ni mdada.
With exception of all that you had posted before this, you spoke well. Thumb up.Kuna vitu UNACHANGANYA! SHULE SIO KIPATO ASILANIIIIIIIIIIIII!!!!!!!!!!
Kuna watu tunakaribia ku apply PHD ila ndo TUNASHNDA TUNAANGALI TELEMUNDO my heart beats for Lola, tunaishi mjini kwa MAHEABU MAKALI na HISANI NENE za wadau! Jitu lina MASTERS linaagiza hela NYUMBANI KWA DADY NA MAMY!
Ila kuna ma FIGHTER STD 7 unapanga FOLLENI kwao! Wako vizuri balaaaa! Wamejipanga! kuna jimama mtaani kwetu lina saluni tu linapamba maharusi, lowest income per week ni 1M. wakati mie kazini kwangu kabla sijasusa kufanya kazi yeyote sijui nitaufikia lini huo mshahara kwa MWEZI MZIMA!!!
SO KUTOENDA SHULE HAIGUARANTEE UTAKUW TEGEMEZI, NA KWENDA SHULE SIO KUTOKA KIMAISHA! MJINI MIPANGO!
Nimejaa tele ndani ya jiji la Mecky Sadiq.
Ndiyo maana huwa nasema anayekumiliki amepata mke bora.
Usihofu Malkia wangu nipo kwa ajili yako, mengine tukutane kule.poa this weekend sio mbaya
Miye cheko lako tu hoiiii...heheheheheheheehheiya bestito
acha nicheke tu hapa maana wamilikishwaji
na wamilikishaji na watakamiliki ni hao hao
wasiojimilikisha
Hata mimi sijutii kuwa na wewe Malkia wangu, nikuonapo tu siku yangu inakuwa nzuri ajabu.
Miye cheko lako tu hoiiii...
....ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani.mbeee
yesuuu wangu ungejua unapigwa changa lamacho kiaina
bestito ungeaga mapema kwani mkeka usiouazima si wingi wa mchanga
Kutembelea nyumba za watu ni mpaka nipate ruhusa ya Malkia wangu Heaven on Earth.heheheheheeiya
karibu ila stopppppppppp:A S 27:
..yah nasra ivy...lakini wakina dada siku hizi naona kama wanapapara sanani kweli. Ila sometimes men are couser of this.
It hard to know a good man. Damn
mbeee
yesuuu wangu ungejua unapigwa changa lamacho kiaina
bestito ungeaga mapema kwani mkeka usiouazima si wingi wa mchanga