Kwenu nyie madada

Huo ndio uanaume sasa
Tatizo vijana wa .com wameharibiwa na utandawazi. Yaani hata kuzoza tu, kwao wanaona eti ni mada kabisa..... na wana andika na uzi kabisa....tehteehh
 
Kabisa tena na ndio maana baada kujuana na watu baadae story hazipandi tena.
Hivi unaonaje JF wakaweka hiki kipengele cha umri hadharani kwenye page za wadada km jinsi walivyoweka majina & lini alijiunga?
 
Umri was mtu ni privacy yake


Siyo lazima atangaze hadharani akishamshukuru Mungu inatosha...Siyo lazima atutangazie ss
Kama unataka kwenda pm we nenda itapendeza kama utauliza umri huko pm pia
Sasa kama ni siri analeta mtandaoni ili iweje?
 
Daaah...!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…