Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,950
- 183,444
Sirudi jirani.C nilikwambia bonge ka wa jini mkata kamba Sasa nenda urud kama ulivukuja
Sirudi jirani.C nilikwambia bonge ka wa jini mkata kamba Sasa nenda urud kama ulivukuja
Ha ha ha pole wifi hebu kunywa Fanta hapo upunguze hasiraKama kuna mahali walitoka na bado wanaendelea kwenda kwanini walinitafuta... mxxxiuuuuuu... Nahisi hasira mie!
huku mawifi wanakuchora tu..., maana wanajuaga kuwa kaka yao yuko wapi kwingine, we unavyojibidiisha wao wanakuenjoy kiana [emoji12] [emoji12]Khaaa eti busy sijaolewa naenda kujifanyisha mikazi kwa wakwe, sijui napeleka zawadi seeeee. Na ninavyopenda kufanya kazi sasa hehe
Ha ha ha ha mtajuana wenyewe na wifi bongeSirudi jirani.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji134] [emoji134]Ha hanha mikono imejaa sugu af unasema We sio washing machine kaa ufue hapo sie tuangalie series wwnyewe
Mi kwakweli napenda nyumbani kwangu niishi na watu wanaosaidia kazi, na hivi hg sina ukiona unaloweza kufanya fanya, ila kukaa muda wooote umenyooka kama una jipu hapana asee hata awe nani sitampendaKazi kujambia makochi tu na kutongoza hg...
Kila.hg unayeweka anaaga kwa harassment
hahaha wivu muhimu sana bana..., hakuna kuruhusu mazingira ya shetani kumpitia mtuKhaa wivu huo si wa nchi hii
Nyumban kwa blaza tenaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji134] [emoji134]
Haha yani unajipindaa kumbe wewe ni wifi wa 7, God forbid. Mwisho wa siku unakuja kuambiwa "kabila letu na la kwenu wakioana watoto wanakufaga, so hamtoweza kuoana". Ila zawadi zako walipokea tu as if wewe ni kabila laohuku mawifi wanakuchora tu..., maana wanajuaga kuwa kaka yao yuko wapi kwingine, we unavyojibidiisha wao wanakuenjoy kiana [emoji12] [emoji12]
Hata kucheka sikucheka nikamwambia beba hao watoto walete kwangu, ila siwezi kuja mie, nilichukiaUnajikuta kuna majibu yanakujia kichwani unatamani umpe sema ndio vile tena inabidi tu umchekee kinafiki utafute nawe kisingizio. Kweli maisha bila unafiki hayaendi.
ndo hivo tena mambo ya compaign, ujifuze kukubali matokeo ukute kuna mwenzio alikuwa na bidii zaidi.Haha yani unajipindaa kumbe wewe ni wifi wa 7, God forbid. Mwisho wa siku unakuja kuambiwa "kabila letu na la kwenu wakioana watoto wanakufaga, so hamtoweza kuoana". Ila zawadi zako walipokea tu as if wewe ni kabila lao
Hao mawifi wangefundwa wangejua kutupeti peti bwana.Hahhaa mabinti wa siku hizi hamjafundwa kabisa
Ha ha ha ha ha ha hamkifika kwa mashemeji mnistue.., habari ya njemba ingine kuangalia makalio ya mke wangu anavyopita pita siyawezi kbsaaaa..., mi nashindwa kumsifia mke wangu vzr bana.....,
Zaidi pale nnapoukumbuka wimbo wa Manfongo
hiyo ya mawifi nyie endeleeni tu mnawezanaga wenyewe.
Kwa kweli namshukuru Mungu, muda wa kampeni sinaga kabisa. Mungu asiponipa Kibali kwenu basi tena, ila kujihangaisha kuimpress wakwe sijui mawifi sijajaaliwa mnyaki mie, labda ningekuwa nimezaliwa na huo moyo ningefanya teh .ndo hivo tena mambo ya compaign, ujifuze kukubali matokeo ukute kuna mwenzio alikuwa na bidii zaidi.
Ongeza bidii punguza jeuri [emoji4] [emoji4]
Mie na wifi yangu bonge hatuna shida.Ha ha ha ha mtajuana wenyewe na wifi bonge
Nyie angalieni tu maana akili zenu zitakuwa zimelingana mtu na kaka yake. Nitafanyaje sasa na ndio maji shayavulia nguo. Ila za shemeji sifui hata kwa bunduki.Nyumban kwa blaza tenaa
Hivi hayo unayafanya kabla ya utambulisho rasmi(posa)!!!!!Haha yani unajipindaa kumbe wewe ni wifi wa 7, God forbid. Mwisho wa siku unakuja kuambiwa "kabila letu na la kwenu wakioana watoto wanakufaga, so hamtoweza kuoana". Ila zawadi zako walipokea tu as if wewe ni kabila lao
Yaani uache mji wako ukakae na watoto wa wifi!! Ye yuko busy na shughuli!! Hakuona hata chembe ya uduwanzi ktk hilo!!!Hata kucheka sikucheka nikamwambia beba hao watoto walete kwangu, ila siwezi kuja mie, nilichukia