Huko kwenu Wapo?!

Mahondaw

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
67,020
168,014
Hawa watu wapo??

1. Attention seekers.- ile watu mmetuliaa sehemu mfano kanisani mko bize na uwepo wa mungu wao wanakuja late ili muwaangalie wao wapo?? , mtu uko bize na mambo yako anakushobokea tu makusudi walau umsemeshe hata ka neno kamoja aridhike wapo?? na wanaochelewa ofisini ili muwaangalie mawowowo !!!????

2. Ndugu zake na Bashite wapo?? Wale feki wapo?? Wale wa kanda ya ziwa??? Nikimaanisha wala Sato wapo??

3. Wanaume wasiojua mapenzi wapo? wale wapanda mlima wapo?! Hata wakitembea utafikiri ndo wanapanda mlima wapo?! Kumbe ni flat road wapo?? ule ukanda wa kas wapo???

4.Vipi kwa wanaojua mapenzi wapo?? Eeeh eeeh wapo?? Ule ukanda wa mashariki wapo?? Basi tuwapigie makofi wapo!!?? Au wape tano kimya kimya wapo?? Hata ukiwapigia kelele imooooooooooooooooooo

5. Dis minders...wapo?! !! - Wale watu wa kupuuzia vitu/watu visivyo na maana katika maisha yao wapo?? hata uwaseme uwatukane kwa sauti na wakakusikia walaaaa hawahangaiki na wewe ndokwanzaaa wanakudhaaaarau wapo??

6.Tunaobebwa na avatars??!!!!

7.Wanaorespect time wapo?? - Wale walio makini sana na muda They do what is right for the right time and right moment wapo??

8.Wanaokumind moyoni/ rohoni ila jukwaani wanakudis wapo??

9.Wanaoumia kukuona umefanikiwa wapo?? Wanafanya kila njia kukuharibia wapo??. Wanaofurahia matatizo/ kuanguka kwako wapo!?

10.Wanaotaka mashemeji zao wapo- wanaotamani kukupata??

11.Na vinyamshungushu je wapo??

12.Vipi multiple id's nao? Eeeh eeeh wapo??? member waliopotea wapo?? Au tuseme waliokufa?? Na kufufuka kivingine wapo?? na kuonekana wapya kumbe ni waliokubuhu wapo?? Aaaaaaaaa wapo??

13.Wanaoendekeza sana Sket/ wadada wapo?

14.Na je vipi kwa wanaoshobokea suruali nao wapo??

15.kuhusu team free p wapo??

16.Na wanaojali watu wao - responsible men/ women wapo??

17.Na irresponsible ones je wapo??

18.Walioumizwa na mapenzi??- they follow their hearts but they forget to carry their brain with them wapo??

19.Wanaokufatilia kimya kimya wapo??

20.Vipi kuhusu wanaume suruali huko wapo??

21.Na vibosile je??

22Wanaoblock watu wapo??

23 .Na wanaoblokiwa kwa usumbufu??

24. Vipi kuhusu silent killers?? Wapo?? - Watu wa kucheza na pm kuliko jukwaani wapo?!

25 Na wa kucheza kotekote jukwaani na pm??

26.Vipi kuhusu wasioshobokea pm wapo?? Na wasiojibu pm??

27.Vipi kuhusu team snitch kwenu wapo? Hawa ndumilakuwili hawa wapo??

28. Wenye gegedo classic wapo ?? Wanaokufanya unene lugha zote wapo?? Na wenye kinyume hao je wapo?? Wale wapaka shombo wale wapo??

29 Team Wasafi wapo?? - Wanaojifanya sistaduu/ brothermen wapo?? Na kumbe mavi kunuka wapo?? Wanaojifanya nje Wasafi wapo?? Na kumbe ndani wananuka wapo?? Warundika vyupi/ boxer wapo?? Na kurudia chupi / boxer bila kufua wapo?? Na hilo joto la huko chini wapo?? Na hiyo mipafyumu yenu?? wale wanuka vikwapa/ midomo wapo??

30.Na washamba wenzangu namiehapa wapo?!
Eeh eeeh wapo? !!!??

......................wapo??
.......................wapo??
.......................wapo??
.........................wapo???
.........................wapo??
..........................wapo??

Ongezea
 
30. Wale wanafiki waliomtukana Jk na kumuona dhaifu "wapo" leo wanamsifia wapo wengi tu
 
Back
Top Bottom