Satuuuu
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 1,849
- 1,994
SiasaKuna upinzani upi Tanzania!!
Upinzani wakinafiki
Kutwa kula matapishi yao
Kuna upinzani usaka Tonge!!
SiasaKuna upinzani upi Tanzania!!
Upinzani wakinafiki
Kutwa kula matapishi yao
Kuna upinzani usaka Tonge!!
Saanane waulize Mbowe na Kubenea1.Na mimi nauliza kwanin Lema azuiliwe dhamana
2. Bashite inakaaje
3. Bring bAck our saanane
4. Zile maiti za mtoni niwakina nani mbona hamna majibu
5. Rushwa kwa wanaccm bungen toeni majibu
6. insu ya kitwanga vip vifaa mmesha vinunua tayar polis
7. Suala la kuvifutilia mbal vyama pinzan
8.Kuwakomoa wafanya biashara kod kila kukicha .wakati wananchi awanunui bidhaa kutokana na hakuna pesa
Mwendo kasi ilitakiwa ten years before,Mnapitwa na wakati ndo maana mnanunua Bomberdier za kupanda mama SalmaUnasoma bure
Unapanda mwendo kasi lkn bado Una hubiri hamna maendeleo
Na bado hawafiki bungeni muda wote wa sessionKuna wabunge wa ccm wanaingia bungeni day one hadi bunge linamaliza miaka 5 hajawahi kuchangia jambo lolote la maendeleo ya taifa letu
Kama mke wa lusinde vileMajibu nikuwa
Tanzania imeingiliwa na Kizazi cha hovyo
Kisicho jua kutumia akili kufikiri
Kila kitu kufuata mkumbo!!
Chadema imejaa vijana wasio jua Kuhoji wala kupinga
Wana amini Mbowe ni Mungu
Nchi ina mtihani mkubwa sana
Huu uzi nao una sifa ya kuwemo sehemu kama hii? Ukibaki mpaka kesho nitajua kweli JF imekuwa kichaka cha mazwazwa.Amani ya bwana .
Maswali haya yalikuwa yanaumiza sana kichwa watu makini na wanaojali maslahi ya .
- Kwanini chadema wasimamishe mgombea urais waliyemtukana wao wenyewe kuwa amefilisi nchi kwa ufisadi?
- Kwanini kila anachotamka Mbowe, hata liwe jambo la kipuuzi kabisa lakini wafuasi wake wanafuata?
- Kwanini Mbowe alipouza chamá kwa mafisadi, bavicha walimshangilia sana?
- Kwanini matumizi ya ruzuku ya chadema hayajulikani lakini bavicha hamna anayehoji?
- Kwanini chadema hakina ofisi kwa miaka 25 lakini hamna bavicha anayehoji?
- Kwanini bavicha wako tayari kuchagua fisadi, muuza unga, jiwe kuliko binadamu aliye timamu kwa maslahi ya taifa?
- Kwanini bavicha wanatetea wachawi, majambazi, mafisadi na wauza madawa ya kulevya ilimradi tu wameamliwa na Mbowe kushangilia?
- Kwanini bavicha wanamtukana mtu kwa ukwepaji kodi, ufisadi lkn mtu huyo huyo akihamia kwao wanamshangilia tena?
- Kwanini chadema ni kimbilio la wachafu na waovu wote?
- Kwanini bavicha wako tayari kudeki barabara ili fisadi apite?
Jibu ni kwamba mwenyekiti wao alishawajulia kuwa ukiwalisha ngada, proper reasoning inaondoka, kinachobaki ni kushangilia tu!
Mwenyekiti aliamua kufanya biashara ya ngada ili kuwageuza mazezeta wafuasi wake. Limbwata la Dj kwa wafuasi wake ni ngada.
Siri ni kuwalewesha ngada tu, then unabadili gia angani jinsi unavyojisikia huku ukishagiliwa bila kuhojiwa.
Kwa maana nyingine kuondoa madawa ya kulevya ni sawa na kuiua chadema, kwa sababu baada ya madawa kuisha, hangover za bavicha zitaisha, hivyo wataanza kuhoji maamuzi ya mwenyekiti na hivyo kuuwa chama.
Siri ya kwa nini chadema wanatetea madawa ya kulevya ndio hiyo.
Bashite huyu Mr. Zero?Kwani huyo Bashite atawaongezea kura?
Kwani huyo Bashite atawaongezea kura?
Vijana wa CCM walishawahi kuhoji nini labda tuanzie hapo.Majibu nikuwa
Tanzania imeingiliwa na Kizazi cha hovyo
Kisicho jua kutumia akili kufikiri
Kila kitu kufuata mkumbo!!
Chadema imejaa vijana wasio jua Kuhoji wala kupinga
Wana amini Mbowe ni Mungu
Nchi ina mtihani mkubwa sana
Kumbe mnaiga vijana wa ccm??Vijana wa CCM walishawahi kuhoji nini labda tuanzie hapo.
wacha maneno lizaboni weka vyeti vya Daudi Bashitesiamini kama ndani ya CHADEMA kuna mtu anatumia kiwango cha kufikiri japo kwa asilimia 20
Hata mi nahisi ni hivyo!Amani ya bwana .