Kwenu CCM, siri yao sasa imefichuka

Kwenu CCM, siri yao sasa imefichuka

Mimi nakumbuka kipindi kile wema yupo CCM kwenye kampeni aliwahi itwa malaya[emoji23][emoji23] baada ya ile video yake na Steve Nyerere wakimdhihaki Lowassa kusambaa mitandaoni, ila leo wanamsafisha!! Na anapokelewa vizuri balaa

Kwani uongo siyo malaya?
 
Kabisa tunataka vyeti, tena aje na yule kaka yake aliyekuwa akimlipa ada kumshawishi ajiunge CHADEMA, Freeman Mbowe. wote wawili waje na vyeti vyao vya form four!
Msijitoe ufahamu uvccm nyinyi mwambieni bashite hivi mbowe si muajiriwa wa serikali wananchi wenyewe waliompigia kura wamelizika na zero yake,na hajanunua elimu ya mtu pamoja na jina lake,bashite kanunua elimu ya mtu na jina,halafu analipwa na serikali kwa viwango vya elimu ambayo hakustahili kuifikia hapo alipo,hatukatai kua anafanya vizuri kwenye u RC anafanya vizuri sana,tunaomba aseme tu yeye alifeli form four ,halafu aendelee na uRC wake huku akilipwa mshahara wa std seven,kuliko kuidanganya serikali ka anavyofanya
 
Majibu nikuwa
Tanzania imeingiliwa na Kizazi cha hovyo
Kisicho jua kutumia akili kufikiri
Kila kitu kufuata mkumbo!!
Chadema imejaa vijana wasio jua Kuhoji wala kupinga
Wana amini Mbowe ni Mungu
Nchi ina mtihani mkubwa sana
Nje baibui ndani bikini.
 
Poa haina shida ila ukawa wote wanamalinda muulize bashite kama anayo
 
Hawa watu hawatumii ubongo
Hii ni hatari kwa nchi kuwa na vijana
Wanao shikiria ujinga na kuacha mambo muhimu
CCM inashikilia mambo ya muhimu kama serikali kuweka pingamizi za kijinga kwenye dhamana ya lema? Kutwa kukimbizana na wapinzani eti uchochezi huu ni upambavu mwingine amabao haungii akilini, kama mko makini na mnaleta mabadiliko ya kweli basi wapinzani wapongezwe kwa kuchochea mabadiliko ya kweli. Unaanzaje kuchochea kitu ambacho hakipo mnaelewa maana ya kuchochea? Wanachochea nini hasa tuanzie hapo...
 
Ficha upumbavu wako basi, CCM inashikilia mambo ya muhimu kama serikali kuweka pingamizi za kijinga kwenye dhamana ya lema? Kutwa kukimbizana na wapinzani eti uchochezi huu ni upambavu mwingine amabao haungii akilini, kama mko makini na mnaleta mabadiliko ya kweli basi wapinzani wapongezwe kwa kuchochea mabadiliko ya kweli. Unaanzaje kuchochea kitu ambacho hakipo mnaelewa maana ya kuchochea? Wanachochea nini hasa tuanzie hapo...
Kuna upinzani upi Tanzania!!
Upinzani wakinafiki
Kutwa kula matapishi yao
Kuna upinzani usaka Tonge!!
 
Majibu nikuwa
Tanzania imeingiliwa na Kizazi cha hovyo
Kisicho jua kutumia akili kufikiri
Kila kitu kufuata mkumbo!!
Chadema imejaa vijana wasio jua Kuhoji wala kupinga
Wana amini Mbowe ni Mungu
Nchi ina mtihani mkubwa sana

Wewe nawe una support ujinga; hebu jiulize Mbowe ana fedha nyingi kiasi gani kuwalisha watu Milioni 6 madawa ya Kulevya wakamchagua Lowassa. Hiyo ni simple reasoning haihitaji hata akili ya baby class !
 
Majibu nikuwa
Tanzania imeingiliwa na Kizazi cha hovyo
Kisicho jua kutumia akili kufikiri
Kila kitu kufuata mkumbo!!
Chadema imejaa vijana wasio jua Kuhoji wala kupinga
Wana amini Mbowe ni Mungu
Nchi ina mtihani mkubwa sana
"Nchi ina mtihani mkubwa sana" hili la mitihani ya nchi, ilekeza swali hili kwa Sozonje na CCM kwani wao ndio waliokabithiwa nchi?
 
Msijitoe ufahamu uvccm nyinyi mwambieni bashite hivi mbowe si muajiriwa wa serikali wananchi wenyewe waliompigia kura wamelizika na zero yake,na hajanunua elimu ya mtu pamoja na jina lake,bashite kanunua elimu ya mtu na jina,halafu analipwa na serikali kwa viwango vya elimu ambayo hakustahili kuifikia hapo alipo,hatukatai kua anafanya vizuri kwenye u RC anafanya vizuri sana,tunaomba aseme tu yeye alifeli form four ,halafu aendelee na uRC wake huku akilipwa mshahara wa std seven,kuliko kuidanganya serikali ka anavyofanya

Kumbe Mbowe hatakiwi awe na cheti cha form four eenh? Halafu wale wapiga kura wake si wananchi wa Tanzania. Hapa hatuzungumzii ile ziro ya Mbowe! Tunazungumzia udanganyifu alioufanya wa kujiunga na kidato cha tano katika shule ya serikali wakati hajawahi kumaliza kidato cha nne. Wewe unafahamu Mbowe alimalizia kidato cha nne wapi? Kama Mbowe anaruhusiwa kufanya udanganyifu halafu Bashite haruhusiwi kufanya udanganyifu basi poa.
 
Mkuu, mbona wamejazana CHADEMA?

Watu wanaojitambua na wenye confidence nina uhakika wako CHADEMA. Upande mwingine kuna watu wanaoishi kwa hofu,kutokuwa na uhakika wa kesho yao kwa sababu wanayemtegemea hatabiriki, wako watu wanaokwenda wasikopenda ila maadamu mkono unaenda kinywani ni bora liende
 
Ninachojua mimi katika nchi hii hu
Mimi nakumbuka kipindi kile wema yupo CCM kwenye kampeni aliwahi itwa malaya[emoji23][emoji23] baada ya ile video yake na Steve Nyerere wakimdhihaki Lowassa kusambaa mitandaoni, ila leo wanamsafisha!! Na anapokelewa vizuri balaa
Huwezi kufanya uhalifu ukiwa UPINZANI halafu ukaendelea kufanya siasa na ukawa salama na kazi zako, ni ngumu sana ila ukiwa CCM inawezekana kabisa ndio maana wakati fulani aliyekuwa waziri mkuu alitamka bayana kuwa ukitaka biashara yako isonge mbele katika nchi hii jiunge na CCM vinginevyo biashara yako itachacha katika imani yangu naamini ukiona mtu anakimbilia UPINZANI najua hanashaka na matendo yake kwani vinginevyo ataumbuka. ndio maana wengine hata wafanyweje watabaki huko huko.
 
Majibu nikuwa
Tanzania imeingiliwa na Kizazi cha hovyo
Kisicho jua kutumia akili kufikiri
Kila kitu kufuata mkumbo!!
Chadema imejaa vijana wasio jua Kuhoji wala kupinga
Wana amini Mbowe ni Mungu
Nchi ina mtihani mkubwa sana
Kama ninyi mnavyoamini huyo malaika wenu asiyejaribiwa zaidi ya kuombewa.
Kama MNA ushahidi kuwa mbowe ni muuza madawa ya kulevya na Lowasa ni fisadi wapelekeni mahakamani. Hapa jf hakuna msaada.
Haya ndio mawazo ya wenye vyeti feki kujenga hoja kinyesi kilichonyeshewa. Mtatimiza kujenga uchumi wa viwanda vya viroba na gongo labda vinginevyo Hanna hoja.
 
Back
Top Bottom