Kwenu CCM, siri yao sasa imefichuka

Kwenu CCM, siri yao sasa imefichuka

Amani ya bwana .

Maswali haya yalikuwa yanaumiza sana kichwa watu makini na wanaojali maslahi ya .

  1. Kwanini chadema wasimamishe mgombea urais waliyemtukana wao wenyewe kuwa amefilisi nchi kwa ufisadi?
  2. Kwanini kila anachotamka Mbowe, hata liwe jambo la kipuuzi kabisa lakini wafuasi wake wanafuata?
  3. Kwanini Mbowe alipouza chamá kwa mafisadi, bavicha walimshangilia sana?
  4. Kwanini matumizi ya ruzuku ya chadema hayajulikani lakini bavicha hamna anayehoji?
  5. Kwanini chadema hakina ofisi kwa miaka 25 lakini hamna bavicha anayehoji?
  6. Kwanini bavicha wako tayari kuchagua fisadi, muuza unga, jiwe kuliko binadamu aliye timamu kwa maslahi ya taifa?
  7. Kwanini bavicha wanatetea wachawi, majambazi, mafisadi na wauza madawa ya kulevya ilimradi tu wameamliwa na Mbowe kushangilia?
  8. Kwanini bavicha wanamtukana mtu kwa ukwepaji kodi, ufisadi lkn mtu huyo huyo akihamia kwao wanamshangilia tena?
  9. Kwanini chadema ni kimbilio la wachafu na waovu wote?
  10. Kwanini bavicha wako tayari kudeki barabara ili fisadi apite?

Jibu ni kwamba mwenyekiti wao alishawajulia kuwa ukiwalisha ngada, proper reasoning inaondoka, kinachobaki ni kushangilia tu!

Mwenyekiti aliamua kufanya biashara ya ngada ili kuwageuza mazezeta wafuasi wake. Limbwata la Dj kwa wafuasi wake ni ngada.
Siri ni kuwalewesha ngada tu, then unabadili gia angani jinsi unavyojisikia huku ukishagiliwa bila kuhojiwa.

Kwa maana nyingine kuondoa madawa ya kulevya ni sawa na kuiua chadema, kwa sababu baada ya madawa kuisha, hangover za bavicha zitaisha, hivyo wataanza kuhoji maamuzi ya mwenyekiti na hivyo kuuwa chama.
Siri ya kwa nini chadema wanatetea madawa ya kulevya ndio hiyo.
It make sense!
 
Majibu nikuwa
Tanzania imeingiliwa na Kizazi cha hovyo
Kisicho jua kutumia akili kufikiri
Kila kitu kufuata mkumbo!!
Chadema imejaa vijana wasio jua Kuhoji wala kupinga
Wana amini Mbowe ni Mungu
Nchi ina mtihani mkubwa sana
We umewahi kuhoji nini huko Ccm ?
 
Hoja iliyo mezan n mungu wa darisalama # bashite a verify vyet vyake na sio kututoa kwenye mstar kwa vihoja uchwala vyako!
 
kumbe mpo wengi mnao support uu ujinga alio post uyu mtu

kueni Na reasonable point sio kupost Tu ilimrad kuchafuana
 
Msipoteze muda kubishana na Uvccm hao sindo wakina bashite.
 
Koromije katoka huko huko, uvfcm unadhani wana hoja hao zaidi ya kutetea ujinga.
 
Amani ya bwana .

Maswali haya yalikuwa yanaumiza sana kichwa watu makini na wanaojali maslahi ya .

  1. Kwanini chadema wasimamishe mgombea urais waliyemtukana wao wenyewe kuwa amefilisi nchi kwa ufisadi?
  2. Kwanini kila anachotamka Mbowe, hata liwe jambo la kipuuzi kabisa lakini wafuasi wake wanafuata?
  3. Kwanini Mbowe alipouza chamá kwa mafisadi, bavicha walimshangilia sana?
  4. Kwanini matumizi ya ruzuku ya chadema hayajulikani lakini bavicha hamna anayehoji?
  5. Kwanini chadema hakina ofisi kwa miaka 25 lakini hamna bavicha anayehoji?
  6. Kwanini bavicha wako tayari kuchagua fisadi, muuza unga, jiwe kuliko binadamu aliye timamu kwa maslahi ya taifa?
  7. Kwanini bavicha wanatetea wachawi, majambazi, mafisadi na wauza madawa ya kulevya ilimradi tu wameamliwa na Mbowe kushangilia?
  8. Kwanini bavicha wanamtukana mtu kwa ukwepaji kodi, ufisadi lkn mtu huyo huyo akihamia kwao wanamshangilia tena?
  9. Kwanini chadema ni kimbilio la wachafu na waovu wote?
  10. Kwanini bavicha wako tayari kudeki barabara ili fisadi apite?

Jibu ni kwamba mwenyekiti wao alishawajulia kuwa ukiwalisha ngada, proper reasoning inaondoka, kinachobaki ni kushangilia tu!

Mwenyekiti aliamua kufanya biashara ya ngada ili kuwageuza mazezeta wafuasi wake. Limbwata la Dj kwa wafuasi wake ni ngada.
Siri ni kuwalewesha ngada tu, then unabadili gia angani jinsi unavyojisikia huku ukishagiliwa bila kuhojiwa.

Kwa maana nyingine kuondoa madawa ya kulevya ni sawa na kuiua chadema, kwa sababu baada ya madawa kuisha, hangover za bavicha zitaisha, hivyo wataanza kuhoji maamuzi ya mwenyekiti na hivyo kuuwa chama.
Siri ya kwa nini chadema wanatetea madawa ya kulevya ndio hiyo.
Ndg yangu umepotea.
Hujui vijiwe vingi vyenye bendela za CCM wanauza gongo viroba bangi na mirungi??
Fanya utafiti usikurupuke na uwongo wa Lumumba!!
Subiri bunge la April utaleta majibu hapa!!
 
Msishangae huyu mi moja ya wale wasaniii waliolipwa anaendelea kutumbuiza...!!
 
Mbowe hachomoki kwa Makonda.

Madawa yake lazima yaozee ufipa
 
Mimi nakumbuka kipindi kile wema yupo CCM kwenye kampeni aliwahi itwa malaya baada ya ile video yake na Steve Nyerere wakimdhihaki Lowassa kusambaa mitandaoni, ila leo wanamsafisha!! Na anapokelewa vizuri balaa

Wewe mbona ni mtoto wa nje na baba yako alikukubali
 
Back
Top Bottom