Kwenu CCM, siri yao sasa imefichuka

Kwenu CCM, siri yao sasa imefichuka

Amani ya bwana .

Maswali haya yalikuwa yanaumiza sana kichwa watu makini na wanaojali maslahi ya .

  1. Kwanini chadema wasimamishe mgombea urais waliyemtukana wao wenyewe kuwa amefilisi nchi kwa ufisadi?
  2. Kwanini kila anachotamka Mbowe, hata liwe jambo la kipuuzi kabisa lakini wafuasi wake wanafuata?
  3. Kwanini Mbowe alipouza chamá kwa mafisadi, bavicha walimshangilia sana?
  4. Kwanini matumizi ya ruzuku ya chadema hayajulikani lakini bavicha hamna anayehoji?
  5. Kwanini chadema hakina ofisi kwa miaka 25 lakini hamna bavicha anayehoji?
  6. Kwanini bavicha wako tayari kuchagua fisadi, muuza unga, jiwe kuliko binadamu aliye timamu kwa maslahi ya taifa?
  7. Kwanini bavicha wanatetea wachawi, majambazi, mafisadi na wauza madawa ya kulevya ilimradi tu wameamliwa na Mbowe kushangilia?
  8. Kwanini bavicha wanamtukana mtu kwa ukwepaji kodi, ufisadi lkn mtu huyo huyo akihamia kwao wanamshangilia tena?
  9. Kwanini chadema ni kimbilio la wachafu na waovu wote?
  10. Kwanini bavicha wako tayari kudeki barabara ili fisadi apite?

Jibu ni kwamba mwenyekiti wao alishawajulia kuwa ukiwalisha ngada, proper reasoning inaondoka, kinachobaki ni kushangilia tu!

Mwenyekiti aliamua kufanya biashara ya ngada ili kuwageuza mazezeta wafuasi wake. Limbwata la Dj kwa wafuasi wake ni ngada.
Siri ni kuwalewesha ngada tu, then unabadili gia angani jinsi unavyojisikia huku ukishagiliwa bila kuhojiwa.

Kwa maana nyingine kuondoa madawa ya kulevya ni sawa na kuiua chadema, kwa sababu baada ya madawa kuisha, hangover za bavicha zitaisha, hivyo wataanza kuhoji maamuzi ya mwenyekiti na hivyo kuuwa chama.
Siri ya kwa nini chadema wanatetea madawa ya kulevya ndio hiyo.
wewe pia tukuulize kwanini ccm wamechemsha katika mikataba YOTE ya Madini na gasi MNAWACHEKEA,Kwanini kwa zaidi ya miaka 40 hakuna maendeleo na bado mnavaa mashati ya kijani
 
Hawa watu hawatumii ubongo
Hii ni hatari kwa nchi kuwa na vijana
Wanao shikiria ujinga na kuacha mambo muhimu
Hongera kwa kutumia ubongo na kuacha mashimo kila kona ma gas mchina anabeba na bado tunaishia kununua mtungi kwa bei mbaya kilo 15 kwa tsh 52,000/-
 
Amani ya bwana .

Maswali haya yalikuwa yanaumiza sana kichwa watu makini na wanaojali maslahi ya .

  1. Kwanini chadema wasimamishe mgombea urais waliyemtukana wao wenyewe kuwa amefilisi nchi kwa ufisadi?
  2. Kwanini kila anachotamka Mbowe, hata liwe jambo la kipuuzi kabisa lakini wafuasi wake wanafuata?
  3. Kwanini Mbowe alipouza chamá kwa mafisadi, bavicha walimshangilia sana?
  4. Kwanini matumizi ya ruzuku ya chadema hayajulikani lakini bavicha hamna anayehoji?
  5. Kwanini chadema hakina ofisi kwa miaka 25 lakini hamna bavicha anayehoji?
  6. Kwanini bavicha wako tayari kuchagua fisadi, muuza unga, jiwe kuliko binadamu aliye timamu kwa maslahi ya taifa?
  7. Kwanini bavicha wanatetea wachawi, majambazi, mafisadi na wauza madawa ya kulevya ilimradi tu wameamliwa na Mbowe kushangilia?
  8. Kwanini bavicha wanamtukana mtu kwa ukwepaji kodi, ufisadi lkn mtu huyo huyo akihamia kwao wanamshangilia tena?
  9. Kwanini chadema ni kimbilio la wachafu na waovu wote?
  10. Kwanini bavicha wako tayari kudeki barabara ili fisadi apite?

Jibu ni kwamba mwenyekiti wao alishawajulia kuwa ukiwalisha ngada, proper reasoning inaondoka, kinachobaki ni kushangilia tu!

Mwenyekiti aliamua kufanya biashara ya ngada ili kuwageuza mazezeta wafuasi wake. Limbwata la Dj kwa wafuasi wake ni ngada.
Siri ni kuwalewesha ngada tu, then unabadili gia angani jinsi unavyojisikia huku ukishagiliwa bila kuhojiwa.

Kwa maana nyingine kuondoa madawa ya kulevya ni sawa na kuiua chadema, kwa sababu baada ya madawa kuisha, hangover za bavicha zitaisha, hivyo wataanza kuhoji maamuzi ya mwenyekiti na hivyo kuuwa chama.
Siri ya kwa nini chadema wanatetea madawa ya kulevya ndio hiyo.
Yaaani kuna majitu yakikaa yanawaza uharo,yakitembea uharo,yakiongea uharo,yakiandika ni uharo,jitu linaandika pumba bila hata kujua kuwa humu wapo wenye akili timamu,lkn yy analeta uzezeta hapa.
 
Nimewauliza hivi, huyo Bashite atawaongezea kura?
Wakati unauliza hayo, fuatilia matokeo ya chaguzi 3 zilizopita. BASHITE kwa upinzani ni mtaji sana. Mlihoji operesheni Sangara. Mlihoji kumchukua Lowassa. Mnahoji kila kitu ila ukweli mnao na unauma.
 
Majibu nikuwa
Tanzania imeingiliwa na Kizazi cha hovyo
Kisicho jua kutumia akili kufikiri
Kila kitu kufuata mkumbo!!
Chadema imejaa vijana wasio jua Kuhoji wala kupinga
Wana amini Mbowe ni Mungu
Nchi ina mtihani mkubwa sana
Mfano Chenge aliekula pesa chafu ya rada mmempa hadi uenyekiti wa bunge. Kama sio mungu wenu ni nani? Na huyu anaejifananisha na mungu huku ana kashfa ya kughushi nae ni Chadema? Waliokamatwa kuhusu madawa ni Chadema?

Rekodi zi wazi. Wafuata mkumbo ni CCM. Ni kizazi kibaya sana maana kimeambukizwa ushetani na watu dizaini ya hao walioficha pesa za rada visiwa vya Jersey.
 
Amani ya bwana .

Maswali haya yalikuwa yanaumiza sana kichwa watu makini na wanaojali maslahi ya .

  1. Kwanini chadema wasimamishe mgombea urais waliyemtukana wao wenyewe kuwa amefilisi nchi kwa ufisadi?
  2. Kwanini kila anachotamka Mbowe, hata liwe jambo la kipuuzi kabisa lakini wafuasi wake wanafuata?
  3. Kwanini Mbowe alipouza chamá kwa mafisadi, bavicha walimshangilia sana?
  4. Kwanini matumizi ya ruzuku ya chadema hayajulikani lakini bavicha hamna anayehoji?
  5. Kwanini chadema hakina ofisi kwa miaka 25 lakini hamna bavicha anayehoji?
  6. Kwanini bavicha wako tayari kuchagua fisadi, muuza unga, jiwe kuliko binadamu aliye timamu kwa maslahi ya taifa?
  7. Kwanini bavicha wanatetea wachawi, majambazi, mafisadi na wauza madawa ya kulevya ilimradi tu wameamliwa na Mbowe kushangilia?
  8. Kwanini bavicha wanamtukana mtu kwa ukwepaji kodi, ufisadi lkn mtu huyo huyo akihamia kwao wanamshangilia tena?
  9. Kwanini chadema ni kimbilio la wachafu na waovu wote?
  10. Kwanini bavicha wako tayari kudeki barabara ili fisadi apite?

Jibu ni kwamba mwenyekiti wao alishawajulia kuwa ukiwalisha ngada, proper reasoning inaondoka, kinachobaki ni kushangilia tu!

Mwenyekiti aliamua kufanya biashara ya ngada ili kuwageuza mazezeta wafuasi wake. Limbwata la Dj kwa wafuasi wake ni ngada.
Siri ni kuwalewesha ngada tu, then unabadili gia angani jinsi unavyojisikia huku ukishagiliwa bila kuhojiwa.

Kwa maana nyingine kuondoa madawa ya kulevya ni sawa na kuiua chadema, kwa sababu baada ya madawa kuisha, hangover za bavicha zitaisha, hivyo wataanza kuhoji maamuzi ya mwenyekiti na hivyo kuuwa chama.
Siri ya kwa nini chadema wanatetea madawa ya kulevya ndio hiyo.
Ndio maana umetandikwa ban
 
Mimi nakumbuka kipindi kile wema yupo CCM kwenye kampeni aliwahi itwa malaya baada ya ile video yake na Steve Nyerere wakimdhihaki Lowassa kusambaa mitandaoni, ila leo wanamsafisha!! Na anapokelewa vizuri balaa
Ccm kula matapishi yao ni kawaida yenu mlio waita oil chafu walipo hamia cdm leo hii wamerudi ccm mnawaita mashujaa
 
Majibu nikuwa
Tanzania imeingiliwa na Kizazi cha hovyo
Kisicho jua kutumia akili kufikiri
Kila kitu kufuata mkumbo!!
Chadema imejaa vijana wasio jua Kuhoji wala kupinga
Wana amini Mbowe ni Mungu
Nchi ina mtihani mkubwa sana
VP mpambano na Betina umekwisha
 
Yaaani kuna majitu yakikaa yanawaza uharo,yakitembea uharo,yakiongea uharo,yakiandika ni uharo,jitu linaandika pumba bila hata kujua kuwa humu wapo wenye akili timamu,lkn yy analeta uzezeta hapa.
Ndo maana limekula Ban
 
Majibu nikuwa
Tanzania imeingiliwa na Kizazi cha hovyo
Kisicho jua kutumia akili kufikiri
Kila kitu kufuata mkumbo!!
Chadema imejaa vijana wasio jua Kuhoji wala kupinga
Wana amini Mbowe ni Mungu
Nchi ina mtihani mkubwa sana
Wewe unajua kitu gani zaidi ya kuishia kucheza mdundiko hapo lumumba?
 
Wema Sepetu akipata ubunge nitathibitisha pasi na shaka kuwa viti hivyo CHADEMA vinatolewa kwa watu maalum
Kuna wabunge wa ccm wanaingia bungeni day one hadi bunge linamaliza miaka 5 hajawahi kuchangia jambo lolote la maendeleo ya taifa letu
 
Unasoma bure
Unapanda mwendo kasi lkn bado Una hubiri hamna maendeleo
maendeleo unayajua wewe?wape watu uhuru kwanza wafanye mambo yao kwa uhuru na democracy hapo ndo maendeleo yanaanzia.unawezaje kuwapatia watoto wako kila wanachohitaji lkn unawapiga marufuku kutoka nje yani wakae ndani tu na kila unaloamua wewe walifatishe bila kuhoji?hebu tumieni akili zenu vizuri acheni unafki.
 
Back
Top Bottom