Kwenu CCM, siri yao sasa imefichuka

Kwenu CCM, siri yao sasa imefichuka

Nashangaa Kumshangiria wema!!
Tanzania hakuna upinzani kuna Makando kando ya Upinzani
Mm naona kama mnajitekenya wenyewe. Hivi mtu mwenye akili timamu unaweza kumwambia BAVICHA hawahoji Bali uvccm wanahoji? Tokea lini uvccm walishahoji aidha ndani ya chama au serikali, CCM imejaza misukule ninyi mnaona na vijana? Si ninyi ndo kila siku tunaoña mnashangiria tu hata kama magufuli siku akisema misukule yote ya CCM iuliwe mtauliwa tu. Kama mnahoji kwa nn hamjawahi kuhoji juu ya kauli ya kwamba mahakama ya mafisadi imekosa kesi ya kusikiliza na wakati Lowasa bado hajashitakiwa? Kama mnahoji kwa nn hamjawahi kuhoji juu ya chenge kupewa umwenyekiti WA bunge? Mbona hamjahoji kuhusu yule wa hela za mboga? Mbona hamjahoji kuhusu lugumi? Mbona hamjahoji rais kuteua wenye tuhuma za kufoji vyeti? NK.
 
Majibu nikuwa
Tanzania imeingiliwa na Kizazi cha hovyo
Kisicho jua kutumia akili kufikiri
Kila kitu kufuata mkumbo!!
Chadema imejaa vijana wasio jua Kuhoji wala kupinga
Wana amini Mbowe ni Mungu
Nchi ina mtihani mkubwa sana
Awamu ya tano vyama vya upinzani hawapo huru na kama CCM hamuogopi upinzani ruhusuni mikutano muone moto unavyowashwa vita ya ufisadi ipo na Mengi yataibuliwa.
 
Amani ya bwana .

Maswali haya yalikuwa yanaumiza sana kichwa watu makini na wanaojali maslahi ya .

  1. Kwanini chadema wasimamishe mgombea urais waliyemtukana wao wenyewe kuwa amefilisi nchi kwa ufisadi?
  2. Kwanini kila anachotamka Mbowe, hata liwe jambo la kipuuzi kabisa lakini wafuasi wake wanafuata?
  3. Kwanini Mbowe alipouza chamá kwa mafisadi, bavicha walimshangilia sana?
  4. Kwanini matumizi ya ruzuku ya chadema hayajulikani lakini bavicha hamna anayehoji?
  5. Kwanini chadema hakina ofisi kwa miaka 25 lakini hamna bavicha anayehoji?
  6. Kwanini bavicha wako tayari kuchagua fisadi, muuza unga, jiwe kuliko binadamu aliye timamu kwa maslahi ya taifa?
  7. Kwanini bavicha wanatetea wachawi, majambazi, mafisadi na wauza madawa ya kulevya ilimradi tu wameamliwa na Mbowe kushangilia?
  8. Kwanini bavicha wanamtukana mtu kwa ukwepaji kodi, ufisadi lkn mtu huyo huyo akihamia kwao wanamshangilia tena?
  9. Kwanini chadema ni kimbilio la wachafu na waovu wote?
  10. Kwanini bavicha wako tayari kudeki barabara ili fisadi apite?

Jibu ni kwamba mwenyekiti wao alishawajulia kuwa ukiwalisha ngada, proper reasoning inaondoka, kinachobaki ni kushangilia tu!

Mwenyekiti aliamua kufanya biashara ya ngada ili kuwageuza mazezeta wafuasi wake. Limbwata la Dj kwa wafuasi wake ni ngada.
Siri ni kuwalewesha ngada tu, then unabadili gia angani jinsi unavyojisikia huku ukishagiliwa bila kuhojiwa.

Kwa maana nyingine kuondoa madawa ya kulevya ni sawa na kuiua chadema, kwa sababu baada ya madawa kuisha, hangover za bavicha zitaisha, hivyo wataanza kuhoji maamuzi ya mwenyekiti na hivyo kuuwa chama.
Siri ya kwa nini chadema wanatetea madawa ya kulevya ndio hiyo.
wee utakuwa ni house boy wa GSM au kuadi wa masogange Yaani unga mnauza wenyewe kisha mnakuja na Sinema za kuwahadaa watu mnataka watanzania wawaamini kweli? Hizo mbinu za kutangaza watu kwenye TV zimewakimbiza wauza unga Sugu ni wakati watanzania wamulaumu Makonda kwa kuwashitua wauza Unga Rafiki zake wakimbie kwenda kujificha kwanza na kujipanga upya.
 
Mtoa mada elimu yako please!
Mleta mada ni Daud Albert hana vyeti bali wapo kazini Usiku na mchana kutengeneza uongo wa kuwahadaa watanzania juu ya vyeti vyake.
 
You are not a politician.see what ccm has done to counter Wema'departure.
 
Mm naona kama mnajitekenya wenyewe. Hivi mtu mwenye akili timamu unaweza kumwambia BAVICHA hawahoji Bali uvccm wanahoji? Tokea lini uvccm walishahoji aidha ndani ya chama au serikali, CCM imejaza misukule ninyi mnaona na vijana? Si ninyi ndo kila siku tunaoña mnashangiria tu hata kama magufuli siku akisema misukule yote ya CCM iuliwe mtauliwa tu. Kama mnahoji kwa nn hamjawahi kuhoji juu ya kauli ya kwamba mahakama ya mafisadi imekosa kesi ya kusikiliza na wakati Lowasa bado hajashitakiwa? Kama mnahoji kwa nn hamjawahi kuhoji juu ya chenge kupewa umwenyekiti WA bunge? Mbona hamjahoji kuhusu yule wa hela za mboga? Mbona hamjahoji kuhusu lugumi? Mbona hamjahoji rais kuteua wenye tuhuma za kufoji vyeti? NK.
Kwa hiyo bavicha haina utofauti na uvccm?
 
Awamu ya tano vyama vya upinzani hawapo huru na kama CCM hamuogopi upinzani ruhusuni mikutano muone moto unavyowashwa vita ya ufisadi ipo na Mengi yataibuliwa.
Ungekuwa siyo huru ungepata nafasi ya kuandika uharo wako hapa?

Hizo gharama za kufanyia mikutano ya hadhara kwa nini msitumie kujenga ofisi za chadema?
 
Mleta mada ni Daud Albert hana vyeti bali wapo kazini Usiku na mchana kutengeneza uongo wa kuwahadaa watanzania juu ya vyeti vyake.
Mbona Mbowe hana vyeti lakini kutwa nzima unasugua mgongo wake?
 
Bashite walikuwa wanamshangilia sana baada ya kupata kiharusi hawataki kumnyanyua
 
Amani ya bwana .

Maswali haya yalikuwa yanaumiza sana kichwa watu makini na wanaojali maslahi ya .

  1. Kwanini chadema wasimamishe mgombea urais waliyemtukana wao wenyewe kuwa amefilisi nchi kwa ufisadi?
  2. Kwanini kila anachotamka Mbowe, hata liwe jambo la kipuuzi kabisa lakini wafuasi wake wanafuata?
  3. Kwanini Mbowe alipouza chamá kwa mafisadi, bavicha walimshangilia sana?
  4. Kwanini matumizi ya ruzuku ya chadema hayajulikani lakini bavicha hamna anayehoji?
  5. Kwanini chadema hakina ofisi kwa miaka 25 lakini hamna bavicha anayehoji?
  6. Kwanini bavicha wako tayari kuchagua fisadi, muuza unga, jiwe kuliko binadamu aliye timamu kwa maslahi ya taifa?
  7. Kwanini bavicha wanatetea wachawi, majambazi, mafisadi na wauza madawa ya kulevya ilimradi tu wameamliwa na Mbowe kushangilia?
  8. Kwanini bavicha wanamtukana mtu kwa ukwepaji kodi, ufisadi lkn mtu huyo huyo akihamia kwao wanamshangilia tena?
  9. Kwanini chadema ni kimbilio la wachafu na waovu wote?
  10. Kwanini bavicha wako tayari kudeki barabara ili fisadi apite?

Jibu ni kwamba mwenyekiti wao alishawajulia kuwa ukiwalisha ngada, proper reasoning inaondoka, kinachobaki ni kushangilia tu!

Mwenyekiti aliamua kufanya biashara ya ngada ili kuwageuza mazezeta wafuasi wake. Limbwata la Dj kwa wafuasi wake ni ngada.
Siri ni kuwalewesha ngada tu, then unabadili gia angani jinsi unavyojisikia huku ukishagiliwa bila kuhojiwa.

Kwa maana nyingine kuondoa madawa ya kulevya ni sawa na kuiua chadema, kwa sababu baada ya madawa kuisha, hangover za bavicha zitaisha, hivyo wataanza kuhoji maamuzi ya mwenyekiti na hivyo kuuwa chama.
Siri ya kwa nini chadema wanatetea madawa ya kulevya ndio hiyo.

Umemaliza au utarudi tena baadae! Mi nitajibu hii hoja baada ya kumalizia yote, naamini utazidi kujazia kadri wadau watakavyokujibu!!!
 
0b16c5281136db47a6e1bdbf0cf7a078.jpg

Jumapili kuna ugeni kutoka Kolomije katika kanisa la Ufunuo
 
siamini kama ndani ya CHADEMA kuna mtu anatumia kiwango cha kufikiri japo kwa asilimia 20
Basi kwa hiki ulichoandika hapa, kinaonyesha wewe hata uwezo wa kifikiri huna!
Unawaza kwa kutumia hilo tundu huko nyuma...
 
Uchaguzi umeshamalizika. Subirini tena 2020. Sasa tunataka utekelezaji wa sera zilizoahidiwa. Viwanda vingapi vimejengwa tunapoelekea mwaka wa pili????
 
Nimepoteza muda bure kusoma ushuzi wa mwendawazimu... kwani upuuzi gani wa ccm ambao uvccm hawaushangilii?!..
bora amepigwa bun
Nashangaa Kumshangiria wema!!
Tanzania hakuna upinzani kuna Makando kando ya Upinzani
we mtoto hebu tuliza hicho kikalio chako hata shombo haijakutoka unakurupuka kama sizonje mmeambukizwa ugonjwa mubayya sana.
 
Amani ya bwana .

Maswali haya yalikuwa yanaumiza sana kichwa watu makini na wanaojali maslahi ya .

  1. Kwanini chadema wasimamishe mgombea urais waliyemtukana wao wenyewe kuwa amefilisi nchi kwa ufisadi?
  2. Kwanini kila anachotamka Mbowe, hata liwe jambo la kipuuzi kabisa lakini wafuasi wake wanafuata?
  3. Kwanini Mbowe alipouza chamá kwa mafisadi, bavicha walimshangilia sana?
  4. Kwanini matumizi ya ruzuku ya chadema hayajulikani lakini bavicha hamna anayehoji?
  5. Kwanini chadema hakina ofisi kwa miaka 25 lakini hamna bavicha anayehoji?
  6. Kwanini bavicha wako tayari kuchagua fisadi, muuza unga, jiwe kuliko binadamu aliye timamu kwa maslahi ya taifa?
  7. Kwanini bavicha wanatetea wachawi, majambazi, mafisadi na wauza madawa ya kulevya ilimradi tu wameamliwa na Mbowe kushangilia?
  8. Kwanini bavicha wanamtukana mtu kwa ukwepaji kodi, ufisadi lkn mtu huyo huyo akihamia kwao wanamshangilia tena?
  9. Kwanini chadema ni kimbilio la wachafu na waovu wote?
  10. Kwanini bavicha wako tayari kudeki barabara ili fisadi apite?

Jibu ni kwamba mwenyekiti wao alishawajulia kuwa ukiwalisha ngada, proper reasoning inaondoka, kinachobaki ni kushangilia tu!

Mwenyekiti aliamua kufanya biashara ya ngada ili kuwageuza mazezeta wafuasi wake. Limbwata la Dj kwa wafuasi wake ni ngada.
Siri ni kuwalewesha ngada tu, then unabadili gia angani jinsi unavyojisikia huku ukishagiliwa bila kuhojiwa.

Kwa maana nyingine kuondoa madawa ya kulevya ni sawa na kuiua chadema, kwa sababu baada ya madawa kuisha, hangover za bavicha zitaisha, hivyo wataanza kuhoji maamuzi ya mwenyekiti na hivyo kuuwa chama.
Siri ya kwa nini chadema wanatetea madawa ya kulevya ndio hiyo.
unarudi lini tuje tukupokee.. MAPOVU YAMEKUTOKA MPAKA UMEKOSEA NJIA
 
Kijana hana hata wasiwasi ndio kwanza anapiga kazi
Chama kimejaa uzushi na kick
Kiongoze Tanzania!!
Labda waliopo wafe woote waje wapya

DUH!!! amezungusha masomo yooote!!!🙄🙁

MWAFWAAA!!!
upload_2017-3-2_7-48-55.png
 
Back
Top Bottom