Mwasita Moja
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,903
- 2,580
Amani ya bwana .
Maswali haya yalikuwa yanaumiza sana kichwa watu makini na wanaojali maslahi ya .
Jibu ni kwamba mwenyekiti wao alishawajulia kuwa ukiwalisha ngada, proper reasoning inaondoka, kinachobaki ni kushangilia tu!
Mwenyekiti aliamua kufanya biashara ya ngada ili kuwageuza mazezeta wafuasi wake. Limbwata la Dj kwa wafuasi wake ni ngada.
Siri ni kuwalewesha ngada tu, then unabadili gia angani jinsi unavyojisikia huku ukishagiliwa bila kuhojiwa.
Kwa maana nyingine kuondoa madawa ya kulevya ni sawa na kuiua chadema, kwa sababu baada ya madawa kuisha, hangover za bavicha zitaisha, hivyo wataanza kuhoji maamuzi ya mwenyekiti na hivyo kuuwa chama.
Siri ya kwa nini chadema wanatetea madawa ya kulevya ndio hiyo.
Maswali haya yalikuwa yanaumiza sana kichwa watu makini na wanaojali maslahi ya .
- Kwanini chadema wasimamishe mgombea urais waliyemtukana wao wenyewe kuwa amefilisi nchi kwa ufisadi?
- Kwanini kila anachotamka Mbowe, hata liwe jambo la kipuuzi kabisa lakini wafuasi wake wanafuata?
- Kwanini Mbowe alipouza chamá kwa mafisadi, bavicha walimshangilia sana?
- Kwanini matumizi ya ruzuku ya chadema hayajulikani lakini bavicha hamna anayehoji?
- Kwanini chadema hakina ofisi kwa miaka 25 lakini hamna bavicha anayehoji?
- Kwanini bavicha wako tayari kuchagua fisadi, muuza unga, jiwe kuliko binadamu aliye timamu kwa maslahi ya taifa?
- Kwanini bavicha wanatetea wachawi, majambazi, mafisadi na wauza madawa ya kulevya ilimradi tu wameamliwa na Mbowe kushangilia?
- Kwanini bavicha wanamtukana mtu kwa ukwepaji kodi, ufisadi lkn mtu huyo huyo akihamia kwao wanamshangilia tena?
- Kwanini chadema ni kimbilio la wachafu na waovu wote?
- Kwanini bavicha wako tayari kudeki barabara ili fisadi apite?