Basi bwana ni mke wa mtu.. mie hadi nimataka kupigwa na kupelekwa pasipo julikana, shahidi wa hili jambo mie mwenyewe. Nime ahirisha kuleta na bandiko langu ndoa. Nasubiri waachane kwanza.
Jumapili Njema
Wababa na Wamama = Shikamoni
Wakaka na Wadada = Habari zenu
Bahati mbaya humu ndio naweza kua mtoto, mngekuwepo wadogo zangu mngeniamkia na mimi.
SIKU NJEMA YENYE BARAKA IWE KWENU