Kweli Yanga mnamuacha Kiiza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli Yanga mnamuacha Kiiza?

Discussion in 'Sports' started by Ulimakafu, Jun 1, 2013.

 1. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2013
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,595
  Likes Received: 553
  Trophy Points: 280
  Mpaka dakika hii siamini uongozi wa timu ya Yanga kama wako 'serious' kwa taarifa zilizopo sana kuwa hawatampa mkataba mpya ngui mpiganaji Hamis Kiiza 'Diego'. Nina hakika tutakuja juta mnyama wakimchukua.Unaacha jembe unaingiza Kabange na Berko?Utani huu.
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2013
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  wanasubiri aje azam tumnoe ili mmuhitaji tena kwa mbwembwe kama ngasa damn...
   
 3. MUSONI

  MUSONI JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2013
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 550
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Wasipomchukua ni fito tuuuu...nani anamtaka Berco bishororo huyo wamesahau alivyotutesa mechi ya Mwanza na Simba. ....!! Kiiza lazima asajiriwe.
   
 4. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2013
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,164
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Mkuu Ulimakafu unamkumbuka Said Swed Scud wewe?Scud yule wa enzi za Abas Gulamali?unakumbuka alivyokua anaifunga Simba anavyotaka?unakumbuka ndio mchezaji wa kwanza wa ligi ya ndani kumiliki gari dogo la kuendea mazoezini?unakumbuka Gulamal aliwahi kutoa chozi kutokana na burudani ya mshikaji uwanjani?lakini kilichofatia ni kuiringia Yanga?akisema mazoezi hayana hadhi na sasa yeye na mazoezi sasa basi isipokua atakua anacheza mechi tuu?unakumbuka nini kilifuatia baada ya hapo?alifukuzwa jangwani zikiwa zimebaki dk chache kuumana na Simba na Yanga akaua mtu,baada ya kutimliwa akarudi zake Mirambo FC na mpira ukafa.

  Kiiza anajiona star na hadhi yake sii ya $35,000 ambazo Yanga walikua tayari kumpa na ambazo wachezaji karibu wote wa Yanga wamepewa.Lakini pia kwa ushauri wa coach kasema kwamba kama hataki kusaini kwa pesa hiyo wamwache maana kuna Ngasa,Nizar,Kabange na Msuva wanaoweza kucheza vizuri zaidi.

  Hapa Yanga wanabaki kwenye falsafa yao kwamba hawana desturi ya kumbembeleza mchezaji!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Makoye Matale

  Makoye Matale JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2013
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 6,482
  Likes Received: 448
  Trophy Points: 180
  Aah, kumbe issue ni pesa!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2013
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,164
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Yes mkuu.
  Yanga wamemuwekea mezani $35,000 yeye kachomoa anataka $50,000!!!!!
  Ngasa kalamba $30,000 tuu,sasa yeye na Ngassa nani jembe?
   
 7. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2013
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 789
  Trophy Points: 280

  May 18 mwaka 1991 Saidi Sued anapachikwa jina la Scud na Mtangazaji Charles Hillary baada ya kutupia goli la pili na Simba kuondoka uwanjani wakiwa wamelowana kwenye sehemu ya wowowo...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2013
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,164
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Lakini Yanga walimtimua.
   
 9. Makoye Matale

  Makoye Matale JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2013
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 6,482
  Likes Received: 448
  Trophy Points: 180
  Ngassa ni jembe, kama kachukua $30,000, Kiiza anastahili $25,000 kama kawekewa $35,000 hataki, LET HIM GO. Yanga ilikuwepo kabla ya Kiiza kuzaliwa na itaendelea kuwepo bila Kiiza. Go, go, go Kiiza.
   
 10. NGANU

  NGANU JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2013
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Dah atakuwa amedanganywa na mzee wa BASTOLA kuwa atampa zaidi ya $ 50,000.

  Chezea msomali wewe.

  MWACHE AONDOKE.
   
 11. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2013
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,296
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Hatuhitaji galasa la yanga lililojichokea. Tuna mipango yetu madhubuti. Tunasuka kikosi endelevu. Average age miaka 23. Tulia muone after 2yrs mtampiga manji na kandambili kama mengi

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 12. mito

  mito JF-Expert Member

  #12
  Jun 1, 2013
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,169
  Likes Received: 1,300
  Trophy Points: 280
  kuna tetesi kuwa niyonzima kapewa $50,000 ndo maana kiiza naye anatikisa kiberiti kutaka kiasi hicho!

  hata mimi nina mtizamo kama wako mkuu, hizo $35,000 alizotengewa bado ni nyingi mno, angepewa tu 25,000, akikataa waachane naye. akikaa kule ngasa na huku msuva then katikati tegete na bahanuzi huku wakilishwa na niyonzima mbona fowadi nzuri tu hiyo
   
 13. M

  Masuke JF-Expert Member

  #13
  Jun 1, 2013
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,604
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Kumbe na nyie huwa mnaishiwa? na mnaenda kucheza ligi ya mabingwa, kuweni makini la sivyo mtakuwa mkifungwa tu kama hamtaleta fowadi ya maana.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #14
  Jun 1, 2013
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,164
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Hahahahaha!
  Mkuu tutaonana sudan.
   
 15. mito

  mito JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2013
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,169
  Likes Received: 1,300
  Trophy Points: 280
  Hili ni wazo makini, mi pia nina mtizamo kama wako. Yanga wakipata fowadi (scorer) angalau mmoja mwenye nguvu itakuwa tishio, wangeachana na the likes of kiiza, kabange sijui beko halafu hizo hela wakainvest kumpata mshambuliaji wa maana!
   
 16. M

  Masuke JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2013
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,604
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Kwa majembe tunayoyapigia misele yakisaini pale Msimbazi muombe tusikutane kule Sudan, tukikutana lazima tuwapige tano nje ya nchi.
   
 17. M

  Masuke JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2013
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,604
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Naona wanataka kutupa raha sisi wa upande wa pili kama wataendelea na fowadi zao hizo hizo za Kiiza, Bahanuzi, Tegete na Kavumbagu, sisi hatutawahurumia eti kwa sababu ni timu ya nyumbani, mkikutana na timu kama za SA au uarabuni au Africa ya Magharibi sisi itakuwa ni meno yote thelathini na nje mbili.
   
 18. Makoye Matale

  Makoye Matale JF-Expert Member

  #18
  Jun 1, 2013
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 6,482
  Likes Received: 448
  Trophy Points: 180
  Ni kweli mkuu: Tujikumbushe kidogo:-
  TZ: Simba 0-1 Libolo
  ANGL: Libolo 4-0 Simba.

  Mwenzako akinyolewa, wewe tia maji kichwa chako.
   
 19. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2013
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  ni goli moja tu mkuu ndio alilofunga..
   
 20. Makoye Matale

  Makoye Matale JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2013
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 6,482
  Likes Received: 448
  Trophy Points: 180
  Kiiza aachwe, siyo tishio kama ilivyokuwa kwa Okwi. Mimi Yanga damu nikisikia Okwi yumo nilikuwa nakosa amani, tangu aondoke ni raha tupu. Hebu tuwe wakweli ni Wanasimba wangapi wanakumbwa na hofu wakimwona Kiiza yuko uwanjani? Hana hadhi ya kuichezea Yanga, kiwango kimeshuka, ni heri ya Ssentongo kuliko Kiiza.
   
Loading...