Kweli yamenikuta mwenzenu

Kweli yamenikuta mwenzenu

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,589
Nawapa hay wanajf kwa siku ingine tena ya leo, imenibidi niseme yaliyojaa moyoni mwangu kwani kuna kitu kinakera sana acha na leo nikitapike hapa katika kolamu hii nilikuwa sitaki kukisema ila acha nikiseme kwani tunamaliza mwaka nakuwa na kitu kinachokukera usivuke nacho kwa mwaka mwinngine.
Ni hii tabia ya wanadamu hasa WANAUME wanaanzisha mahusiano kisha wanasepa, hii tabia yao imenikera sana na ndo maana nimeona niandike hapa, si wanaume wote bali ni baadhi wanatabia za kitoto na zisizoeleweka kabisa, yaani mtu anaanzisha uhusiano kama akiona amedumu na wewe mwezi mmoja au zaidi basi kile alichotafuta kwako kama amekipata utaona analeta chokochoko za hapa na pale na kisha kusepa si ameshatimiza lile kusudio alolitaka kwani abaki na wewe kwa madhumuni gani tena, wengine wanasema maneno ya kashfa kwa marafiki azao kwamba angalie dude lile pale nimelichuna kisha nimeliacha solemba. Jamani makaka zetu tabia hiyo sio mbaya kwani mnawaumiza wadada wetu bure. Ili jambo imebidi niliandike hapa kwani limenikera sana ingawaje halijanitokea mimi ila kuna mtu limemtokea na ni rafiki wa moyoni. Sipendi tabia yenu wanaume hasa wale wanaonzia na herufi hizi: J, G, I, M, A, na K sio busara kumtenda mwenzio kiasi hicho na Mungu hapendi tabia za ajabu namna hiyo. Nawaomba makaka , mababu, mababa zetu muache tabia hiyo ni mbaya sana.
 
wale wanaonzia na herufi hizi: J, G, I, M, A, na K

hiyo tabia kila aliye na moyo haipendi ila hapo kwenye herufi unaenda chaka, it daznt mata
 
Jamani makaka zetu tabia hiyo siyo mbaya. Nimenukuu kutoka katika sehemu ya ujumbe wako.
 
Nawapa hay wanajf kwa siku ingine tena ya leo, imenibidi niseme yaliyojaa moyoni mwangu kwani kuna kitu kinakera sana acha na leo nikitapike hapa katika kolamu hii nilikuwa sitaki kukisema ila acha nikiseme kwani tunamaliza mwaka nakuwa na kitu kinachokukera usivuke nacho kwa mwaka mwinngine.
Ni hii tabia ya wanadamu hasa WANAUME wanaanzisha mahusiano kisha wanasepa, hii tabia yao imenikera sana na ndo maana nimeona niandike hapa, si wanaume wote bali ni baadhi wanatabia za kitoto na zisizoeleweka kabisa, yaani mtu anaanzisha uhusiano kama akiona amedumu na wewe mwezi mmoja au zaidi basi kile alichotafuta kwako kama amekipata utaona analeta chokochoko za hapa na pale na kisha kusepa si ameshatimiza lile kusudio alolitaka kwani abaki na wewe kwa madhumuni gani tena, wengine wanasema maneno ya kashfa kwa marafiki azao kwamba angalie dude lile pale nimelichuna kisha nimeliacha solemba. Jamani makaka zetu tabia hiyo sio mbaya kwani mnawaumiza wadada wetu bure. Ili jambo imebidi niliandike hapa kwani limenikera sana ingawaje halijanitokea mimi ila kuna mtu limemtokea na ni rafiki wa moyoni. Sipendi tabia yenu wanaume hasa wale wanaonzia na herufi hizi: J, G, I, M, A, na K sio busara kumtenda mwenzio kiasi hicho na Mungu hapendi tabia za ajabu namna hiyo. Nawaomba makaka , mababu, mababa zetu muache tabia hiyo ni mbaya sana.

Umewachwa na mai boifrendi ndio unapiga mikelele hivyo ! acha kuwachuna sana wata kakaaa japo kidogo,shida yenu kila siku mizinga ndio maana wanasepa.
 
Ujumbe umefika kwa vicheche wa kiume! Mi simo na herufi yangu haipo kabisa! Watakaofanyiwa mambo ya namna hiyo nawakaribisha waje kwangu nikawariwaze ili wakayasaau yalowatokea kwa ma x- wao!
 
ni kweli tupu ndugu ila wanaonzia na hizo herufi ndo wamezidi jamani Suprise
 
Last edited by a moderator:
Sometime mizinga ikizidi inakimbiza wa2 nayo,unapiga mizinga utadhani kuna vita bwana sasa unategemea nini???
 
Sometimes yakikutokea ya hivyo angalia ni wapi umejikwaa;
Mfano mimi ni mpenzi wako nakununulia SM - unawapigia wengine;
Nakuwekea Voucher - unanibeep
Nakununulia nguo ya ndani - unawavulia wengine;
Unategemea nini kutoka kwangu! Sometimes madem mna mambo ya ajabu tena nyie mnaojifanya mna shughuli zenu na mmeenda shule / na videgree vyenu vya ajabu ajabu!
 
Eti tabia hyo syo MBAYA .Sasa kama syo mbaya unalalamika nini? Na nyie mumezidi cku hizi mnaendekeza njaa na tamaa imewajaa mnataka mambo makubwa kuliko hali za kiuchumi za wapenz wenu.Kila siku vizinga visivyo na idadi.Ebooo! Fahamuni na sisi tamaa zenu zinatukera ndo mana tunakula hzo mbunye zenu then tunasepa.Nani anataka presha maisha haya yalivo magumu jua la saa 2 linaunguza kama la saa 7?Alaf tuongezeane stress?Ah kula mbunye then tambaa.Big up kwa maplayer boys woote.Teh teh teh
 
Nawapa hay wanajf kwa siku ingine tena ya leo, imenibidi niseme yaliyojaa moyoni mwangu kwani kuna kitu kinakera sana acha na leo nikitapike hapa katika kolamu hii nilikuwa sitaki kukisema ila acha nikiseme kwani tunamaliza mwaka nakuwa na kitu kinachokukera usivuke nacho kwa mwaka mwinngine.
Ni hii tabia ya wanadamu hasa WANAUME wanaanzisha mahusiano kisha wanasepa, hii tabia yao imenikera sana na ndo maana nimeona niandike hapa, si wanaume wote bali ni baadhi wanatabia za kitoto na zisizoeleweka kabisa, yaani mtu anaanzisha uhusiano kama akiona amedumu na wewe mwezi mmoja au zaidi basi kile alichotafuta kwako kama amekipata utaona analeta chokochoko za hapa na pale na kisha kusepa si ameshatimiza lile kusudio alolitaka kwani abaki na wewe kwa madhumuni gani tena, wengine wanasema maneno ya kashfa kwa marafiki azao kwamba angalie dude lile pale nimelichuna kisha nimeliacha solemba. Jamani makaka zetu tabia hiyo sio mbaya kwani mnawaumiza wadada wetu bure. Ili jambo imebidi niliandike hapa kwani limenikera sana ingawaje halijanitokea mimi ila kuna mtu limemtokea na ni rafiki wa moyoni. Sipendi tabia yenu wanaume hasa wale wanaonzia na herufi hizi: J, G, I, M, A, na K sio busara kumtenda mwenzio kiasi hicho na Mungu hapendi tabia za ajabu namna hiyo. Nawaomba makaka , mababu, mababa zetu muache tabia hiyo ni mbaya sana.

kwenye hizo herufi nimo.
 
Sipendi tabia yenu wanaume hasa wale wanaonzia na herufi hizi: J, G, I, M, A, na K....

Kwanza nikwambie tu kwamba si kila mwanaume mwenye jina linaloanza na herufi ulizozitaja hapo yupo hivyo usemavyo. Utapoteza bahati zako bure kwa kuing'ang'ania dhana hiyo na kuiweka akilini mwako.

Pili, naomba niwaambie dada zangu kwamba muache kujirahisisha sana kwa wanaume. We umejuana na mwanaume ndani ya mwezi mmoja umeshampa kila kitu?...kuweni serious na wasumbufu kidogo, usikubali kirahisi rahisi tu, muwaangalie na type za wanaume wenyewe mnao-date nao

Tatu, jifunze kuisoma phsycology ya mtu..si kila mwanaume akufuatae anakupenda. Wanaume wengi tunaongozwa na matamanio. So unatakiwa kusort out nani anaukupenda na yupi anakutamani, sitaki kulizungumzia hili coz ni darasa tofauti kabisa.

Pole sana na kwa niaba ya rafikio wa moyoni, lakini mbona kichwa cha habari kinaashiria kama wewe ndo muathirika wa hili?
 
Tatizo madada zetu mmezidi, unamfahamu jamaa kwa siku moja tu...una mfanya RED CROSS...
 
ni kweli tupu ndugu ila wanaonzia na hizo herufi ndo wamezidi jamani Suprise

Na nyie wadada muache tabia ya kutkubalia kirahisi. Wengine wetu kutongoza ni hobby, lakini unashangaa unamtongoza mdada kiutani tu kujifurahisha, mara keshakubali natunda anakupa...aarghrrrr.... Mnatuchosha wenzenu, na kumbukeni tuna ndoa zetu...
Badilikeni bana...
 
Nawapa hay wanajf kwa siku ingine tena ya leo, imenibidi niseme yaliyojaa moyoni mwangu kwani kuna kitu kinakera sana acha na leo nikitapike hapa katika kolamu hii nilikuwa sitaki kukisema ila acha nikiseme kwani tunamaliza mwaka nakuwa na kitu kinachokukera usivuke nacho kwa mwaka mwinngine.
Ni hii tabia ya wanadamu hasa WANAUME wanaanzisha mahusiano kisha wanasepa, hii tabia yao imenikera sana na ndo maana nimeona niandike hapa, si wanaume wote bali ni baadhi wanatabia za kitoto na zisizoeleweka kabisa, yaani mtu anaanzisha uhusiano kama akiona amedumu na wewe mwezi mmoja au zaidi basi kile alichotafuta kwako kama amekipata utaona analeta chokochoko za hapa na pale na kisha kusepa si ameshatimiza lile kusudio alolitaka kwani abaki na wewe kwa madhumuni gani tena, wengine wanasema maneno ya kashfa kwa marafiki azao kwamba angalie dude lile pale nimelichuna kisha nimeliacha solemba. Jamani makaka zetu tabia hiyo sio mbaya kwani mnawaumiza wadada wetu bure. Ili jambo imebidi niliandike hapa kwani limenikera sana ingawaje halijanitokea mimi ila kuna mtu limemtokea na ni rafiki wa moyoni. Sipendi tabia yenu wanaume hasa wale wanaonzia na herufi hizi: J, G, I, M, A, na K sio busara kumtenda mwenzio kiasi hicho na Mungu hapendi tabia za ajabu namna hiyo. Nawaomba makaka , mababu, mababa zetu muache tabia hiyo ni mbaya sana.

chezea wanaume wa kweli!!! wanamega na kusepa tuu!!!
alafu wewe herufi zote hizo maana umekuwa wamegwa sana nini? acha kutoa papuchi
 
Sipendi tabia yenu wanaume hasa wale wanaonzia na herufi hizi: J, G, I, M, A, na K....

Kwanza nikwambie tu kwamba si kila mwanaume mwenye jina linaloanza na herufi ulizozitaja hapo yupo hivyo usemavyo. Utapoteza bahati zako bure kwa kuing'ang'ania dhana hiyo na kuiweka akilini mwako.

Pili, naomba niwaambie dada zangu kwamba muache kujirahisisha sana kwa wanaume. We umejuana na mwanaume ndani ya mwezi mmoja umeshampa kila kitu?...kuweni serious na wasumbufu kidogo, usikubali kirahisi rahisi tu, muwaangalie na type za wanaume wenyewe mnao-date nao

Tatu, jifunze kuisoma phsycology ya mtu..si kila mwanaume akufuatae anakupenda. Wanaume wengi tunaongozwa na matamanio. So unatakiwa kusort out nani anaukupenda na yupi anakutamani, sitaki kulizungumzia hili coz ni darasa tofauti kabisa.

Pole sana na kwa niaba ya rafikio wa moyoni, lakini mbona kichwa cha habari kinaashiria kama wewe ndo muathirika wa hili?

Kwa mfano mimi kutongoza ni hobby, na nachukia sana pale nikitongoza kiutani tu, tayari napewa... japo nikipewa nakula tu shingo upande...
 
Sipendi tabia yenu wanaume hasa wale wanaonzia na herufi hizi:J, G, I, M, A, na K sio busara kumtenda mwenzio kiasi hicho na Mungu hapendi tabia za ajabu namna hiyo. Nawaomba makaka , mababu, mababa zetu muache tabia hiyo ni mbaya sana.

Yaani umeachwa na wanaume 6 tu unakuja kuchonga JF! Mbona wachache hao...kaongeze ongeze wafike ka 20 hivi then come and make your point!
 
Sipendi tabia yenu wanaume hasa wale wanaonzia na herufi hizi: J, G, I, M, A, na K....

Kwanza nikwambie tu kwamba si kila mwanaume mwenye jina linaloanza na herufi ulizozitaja hapo yupo hivyo usemavyo. Utapoteza bahati zako bure kwa kuing'ang'ania dhana hiyo na kuiweka akilini mwako.

Pili, naomba niwaambie dada zangu kwamba muache kujirahisisha sana kwa wanaume. We umejuana na mwanaume ndani ya mwezi mmoja umeshampa kila kitu?...kuweni serious na wasumbufu kidogo, usikubali kirahisi rahisi tu, muwaangalie na type za wanaume wenyewe mnao-date nao

Tatu, jifunze kuisoma phsycology ya mtu..si kila mwanaume akufuatae anakupenda. Wanaume wengi tunaongozwa na matamanio. So unatakiwa kusort out nani anaukupenda na yupi anakutamani, sitaki kulizungumzia hili coz ni darasa tofauti kabisa.

Pole sana na kwa niaba ya rafikio wa moyoni, lakini mbona kichwa cha habari kinaashiria kama wewe ndo muathirika wa hili?

Kwa akili ya kibinadamu sio rahisi kumjua mwanaume kama anataka kumega na kusepa! Hiyo ni kuomba Mungu usikutane na wanaume wa type hizo!

Mwanaume akipania mwanamke ana mbinu nyingi za kumfanya huyo mwanamke aamini kuwa amependwa!
 
Yaani umeachwa na wanaume 6 tu unakuja kuchonga JF! Mbona wachache hao...kaongeze ongeze wafike ka 20 hivi then come and make your point!

Hahahaaaa..... Hao sita unaona wachache??
 
Kwa mfano mimi kutongoza ni hobby, na nachukia sana pale nikitongoza kiutani tu, tayari napewa... japo nikipewa nakula tu shingo upande...

Umenena! hawa madem hata ukimtania yeye anachukulia serious! akilitega unaligonga; akiendelea kufanya mazoea ndo anakutana na vituko vya kufa mtu!
 
Nawapa hay wanajf kwa siku ingine tena ya leo, imenibidi niseme yaliyojaa moyoni mwangu kwani kuna kitu kinakera sana acha na leo nikitapike hapa katika kolamu hii nilikuwa sitaki kukisema ila acha nikiseme kwani tunamaliza mwaka nakuwa na kitu kinachokukera usivuke nacho kwa mwaka mwinngine.
Ni hii tabia ya wanadamu hasa WANAUME wanaanzisha mahusiano kisha wanasepa, hii tabia yao imenikera sana na ndo maana nimeona niandike hapa, si wanaume wote bali ni baadhi wanatabia za kitoto na zisizoeleweka kabisa, yaani mtu anaanzisha uhusiano kama akiona amedumu na wewe mwezi mmoja au zaidi basi kile alichotafuta kwako kama amekipata utaona analeta chokochoko za hapa na pale na kisha kusepa si ameshatimiza lile kusudio alolitaka kwani abaki na wewe kwa madhumuni gani tena, wengine wanasema maneno ya kashfa kwa marafiki azao kwamba angalie dude lile pale nimelichuna kisha nimeliacha solemba. Jamani makaka zetu tabia hiyo sio mbaya kwani mnawaumiza wadada wetu bure. Ili jambo imebidi niliandike hapa kwani limenikera sana ingawaje halijanitokea mimi ila kuna mtu limemtokea na ni rafiki wa moyoni. Sipendi tabia yenu wanaume hasa wale wanaonzia na herufi hizi: J, G, I, M, A, na K sio busara kumtenda mwenzio kiasi hicho na Mungu hapendi tabia za ajabu namna hiyo. Nawaomba makaka , mababu, mababa zetu muache tabia hiyo ni mbaya sana.

Pole kwa yote yalotokea ndugu yetu ila ndo unajifunza hivyo next time uwe makini zaidi na wanaume.ila pia nashukuru mi jina langu halianzi na herufi ulizotaja hapo juu,means sihusiki kabisa ktk huo mtandao.
 
Back
Top Bottom