Kweli yamenikuta mwenzenu

Kweli yamenikuta mwenzenu

nilimfurahia dem mmoja ambaye nilimtongoza kwa takriban kama miezi 6 bila kuambulia chochote. siku 1 aliamua kunambia ukweli ... alisema hivi ... "Nikwambie kitu ... sina imani kama nikishakuvulia utaendelea kunithamini .... bora tuendelee na urafiki wa kawaida"

Hadi sasa tunaheshimiana kama kaka na dada; kwake naenda - kwangu anakuja, ila hakuna chochote kinachoendelea baada ya majibu hayo! Jifunzeni nyie viumbe wa kike!
 
Mleta hoja tafadhali na hizo herufi ulizoziainisha utatuharibia na sisi wengine kwa wapenzi wetu! Naomba utoe hizo herufi maana hazina uhusiano wowote na ukisemacho.
 
Hayatuhusu. Lakini hata hivyo pole sana. Ndio dunia. Hayajaanza leo, yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwepo.
 
wale wanaonzia na herufi hizi: J, G, I, M, A, na K

hiyo tabia kila aliye na moyo haipendi ila hapo kwenye herufi unaenda chaka, it daznt mata

Thank God wa kwangu haanzii initials hizo, hivyo ametulia so eti Eiyer eeh?
 
Last edited by a moderator:
Dahh! Sister umeni gusa kwakiac flani, mm ni muucka mkuu kwa kec uliyo leta leo kijiweni. Japo c mpenzi wa jukwaa hili, ila nimeona bora nichangie kwa kua umenigusa kunako . Dada unajua kwanini huwa 2na fanya hivyo? sababu kuu ni hizi. 1 wanawake wengi ( c wote ) hawanza na mbwembwe nyingii ( mwanzo wa mapenzi ) lakini baadae hupunguaza kuanzia mvuto, mapenziyenyewe kwaujumla utakuta mwanzo mlikua mkifanya mara tatu (goli3 ) lakini baadae hatailo moja kwambinde. 2 tamaaya vitu vya gharama 3 unatakiwa utambue kua hutakiwi kula chakula aina moja kila cku binafc cpendi kugonga dem mmojatuuuu! Utafikali namba zzagali , ninipo pata dem mpya huwa na jickia kweli hata bao8 twende
 
Sipendi tabia yenu wanaume hasa wale wanaonzia na herufi hizi: J, G, I, M, A, na K....

Kwanza nikwambie tu kwamba si kila mwanaume mwenye jina linaloanza na herufi ulizozitaja hapo yupo hivyo usemavyo. Utapoteza bahati zako bure kwa kuing'ang'ania dhana hiyo na kuiweka akilini mwako.

Pili, naomba niwaambie dada zangu kwamba muache kujirahisisha sana kwa wanaume. We umejuana na mwanaume ndani ya mwezi mmoja umeshampa kila kitu?...kuweni serious na wasumbufu kidogo, usikubali kirahisi rahisi tu, muwaangalie na type za wanaume wenyewe mnao-date nao

Tatu, jifunze kuisoma phsycology ya mtu..si kila mwanaume akufuatae anakupenda. Wanaume wengi tunaongozwa na matamanio. So unatakiwa kusort out nani anaukupenda na yupi anakutamani, sitaki kulizungumzia hili coz ni darasa tofauti kabisa.

Pole sana na kwa niaba ya rafikio wa moyoni, lakini mbona kichwa cha habari kinaashiria kama wewe ndo muathirika wa hili?

Kuna wanaume wengine wanatongoza kama sehemu ya kufanya mazoezi asije sahau na ukiingia kwenye kumi na nane zake umekwisha, tatizo na mabinti wengine wakimpenda mwanamume atajilengesha weee jamaa likiamua kufanya kweli kisha likasepa unalilaumu wakati wewe ndio chanzo (wanaume ni wapo active through out the year hivyo binti ukijiheshimu hata namna ya kuku-approach inakuwa ngumu lakini ukimpigisha story ambazo kwa namna moja ama nyingine zitaonyesha upo huru kwake atakulamba tu though kuna ambao wana staha watakupotezea lakini nao mwisho wa siku huwa mnawapa majina mara anaringa au mwanaume suruali kwa kuwa mnaamini mwanaume yoyote ni mlaini mbele ya mwanamke)

Kikubwa ngono iwe ni hatua ya mwisho sana na jitahidi kumringiringia kwenye ngono uone mwisho wake maana wakati mwingine mabinti huwa wanaona wasipotoa labda mwanaume ataingia mitini wakati kama amedata atavumilia tu. (washauri tu na wao wawashobokee kiana wanaume hata kama wamevutiwa nao kiundani)
 
Mleta hoja tafadhali na hizo herufi ulizoziainisha utatuharibia na sisi wengine kwa wapenzi wetu! Naomba utoe hizo herufi maana hazina uhusiano wowote na ukisemacho.

Kuna wale wenye majina mawili sijui inakuaje, kuna la nyumbani na la shule (la ubatizo), demu wa mtaani anakujua kwa jina hili na mliekutana shule anakujua kwa hili, kweli hapa kwenye herufi ameingia chaka na ukifanya utafiti ni mtu wa kusoma nyota za kwenye magazeti
 
daaah afadhali jina langu halimo kwenye list
 
Yaani umeachwa na wanaume 6 tu unakuja kuchonga JF! Mbona wachache hao...kaongeze ongeze wafike ka 20 hivi then come and make your point!

we dokta umenifurahisha , ujue hadi kanakili hao maana yake kila herufi ni repetitive so tukiweka mara nne kashazidi idadi yako ya 20,nb wagonwa wanaendeleaje
 
By Shori MN

Sio tabia nzuri lakn nafkr hawa wanafidia mabaya wanawake wanayotendea wanaume kwa kuwachuna.
50 kwa 50
 
Aliyekuambia mwanamke anataniwa ni nani kwenye mambo yahusuyo moyo?????????

Hujui vitu karibia vyote vikubwa au vilivyofanikiwa sana vingi vilianza kiutani utani? angalia kwa makini vitu vinavyoanzaga siriaz saaana, huwa vinaishiaje? Japo simaanishi tusiwe siriaz, ama trying to make a point, wanawake wengi hawataniwi, wamebarikiwa kuamini sana kwa hio wakati mwingine ni ngumu kwa wengi wao kututofautisha pale ambapo tunamaanisha au laa. I stand to be corrected.

Umenena! hawa madem hata ukimtania yeye anachukulia serious! akilitega unaligonga; akiendelea kufanya mazoea ndo anakutana na vituko vya kufa mtu!
 
Nawapa hay wanajf kwa siku ingine tena ya leo, imenibidi niseme yaliyojaa moyoni mwangu kwani kuna kitu kinakera sana acha na leo nikitapike hapa katika kolamu hii nilikuwa sitaki kukisema ila acha nikiseme kwani tunamaliza mwaka nakuwa na kitu kinachokukera usivuke nacho kwa mwaka mwinngine.
Ni hii tabia ya wanadamu hasa WANAUME wanaanzisha mahusiano kisha wanasepa, hii tabia yao imenikera sana na ndo maana nimeona niandike hapa, si wanaume wote bali ni baadhi wanatabia za kitoto na zisizoeleweka kabisa, yaani mtu anaanzisha uhusiano kama akiona amedumu na wewe mwezi mmoja au zaidi basi kile alichotafuta kwako kama amekipata utaona analeta chokochoko za hapa na pale na kisha kusepa si ameshatimiza lile kusudio alolitaka kwani abaki na wewe kwa madhumuni gani tena, wengine wanasema maneno ya kashfa kwa marafiki azao kwamba angalie dude lile pale nimelichuna kisha nimeliacha solemba. Jamani makaka zetu tabia hiyo sio mbaya kwani mnawaumiza wadada wetu bure. Ili jambo imebidi niliandike hapa kwani limenikera sana ingawaje halijanitokea mimi ila kuna mtu limemtokea na ni rafiki wa moyoni. Sipendi tabia yenu wanaume hasa wale wanaonzia na herufi hizi: J, G, I, M, A, na K sio busara kumtenda mwenzio kiasi hicho na Mungu hapendi tabia za ajabu namna hiyo. Nawaomba makaka , mababu, mababa zetu muache tabia hiyo ni mbaya sana.

ulipotaja hizo herufi sijakuelewa ladyfurahia,hivi kuna utafiti uliofanya then ukaconclude kuwa wanaume wenye majina sijui yanayoanzia au ishilia na hizo herufi ndio wenye matatizo zaidi?au umeamua kuconclude baada ya kupata infor. from a single sample ambayo kwa akili yako umedhani ana represent tabia za watu wote?pia inawezekana sio rafiki yako ni wewe mwenyewe.
USHAURI
Inawezekana ni kwako au kwa wanawake wenzako,msipende kutoa tamu/tupu zenu kabla ya ndoa,kwa nini mnakua cheap hivyo?achaneni na tabia ya umaharaghe ya mbeya.
NB
Kwenye swala lako la herufi,umenigusa sana mimi kibol kwasababu jina langu pia linaanza na herufi k lakini sina tabia hizo ulizoziainisha.
 
Last edited by a moderator:
Eti tabia hyo syo MBAYA .Sasa kama syo mbaya unalalamika nini? Na nyie mumezidi cku hizi mnaendekeza njaa na tamaa imewajaa mnataka mambo makubwa kuliko hali za kiuchumi za wapenz wenu.Kila siku vizinga visivyo na idadi.Ebooo! Fahamuni na sisi tamaa zenu zinatukera ndo mana tunakula hzo mbunye zenu then tunasepa.Nani anataka presha maisha haya yalivo magumu jua la saa 2 linaunguza kama la saa 7?Alaf tuongezeane stress?Ah kula mbunye then tambaa.Big up kwa maplayer boys woote.Teh teh teh

MKUU HIYO KALI. teh teh teh!
 
7bu zinazofanywa muachwe ni kukoxa ubunifu ktk suala zima la mapenz. Ukimpa bf wako v2 adimu kila cku unabun v2 vipya vya kumfanya ainjoy mapenz. C rahic kukupga chini
 
Nawapa hay wanajf kwa siku ingine tena ya leo, imenibidi niseme yaliyojaa moyoni mwangu kwani kuna kitu kinakera sana acha na leo nikitapike hapa katika kolamu hii nilikuwa sitaki kukisema ila acha nikiseme kwani tunamaliza mwaka nakuwa na kitu kinachokukera usivuke nacho kwa mwaka mwinngine.
Ni hii tabia ya wanadamu hasa WANAUME wanaanzisha mahusiano kisha wanasepa, hii tabia yao imenikera sana na ndo maana nimeona niandike hapa, si wanaume wote bali ni baadhi wanatabia za kitoto na zisizoeleweka kabisa, yaani mtu anaanzisha uhusiano kama akiona amedumu na wewe mwezi mmoja au zaidi basi kile alichotafuta kwako kama amekipata utaona analeta chokochoko za hapa na pale na kisha kusepa si ameshatimiza lile kusudio alolitaka kwani abaki na wewe kwa madhumuni gani tena, wengine wanasema maneno ya kashfa kwa marafiki azao kwamba angalie dude lile pale nimelichuna kisha nimeliacha solemba. Jamani makaka zetu tabia hiyo sio mbaya kwani mnawaumiza wadada wetu bure. Ili jambo imebidi niliandike hapa kwani limenikera sana ingawaje halijanitokea mimi ila kuna mtu limemtokea na ni rafiki wa moyoni. Sipendi tabia yenu wanaume hasa wale wanaonzia na herufi hizi: J, G, I, M, A, na Kande kavu sio busara kumtenda mwenzio kiasi hicho na Mungu hapendi tabia za ajabu namna hiyo. Nawaomba makaka , mababu, mababa zetu muache tabia hiyo ni mbaya sana.

Hapo kwenye red dada tusitaniane aisee!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom