Kweli yamenikuta mwenzenu

Kweli yamenikuta mwenzenu

thanks asante kwa kunitumia video ila sipenda kuiponda post yangu ni kweli hayo yametokea kabisa ndugu acheni tabia hzo ninyi wanaume sio vizuri kabisa na Mungu apendi
Nakutakia xmass njema
 
asante kwa hii video ya song hili natumai wengi wakiona hapa watajirekebisha na kuchukua hatua ya ziada kuachana na hii tabia nakushukuru sana kwa kunitumia video hii mpendwa ila inafaa sana Ruttashobolwa, Baba V na nitonye na watu8
 
Last edited by a moderator:
thanks asante kwa kunitumia video ila sipenda kuiponda post yangu ni kweli hayo yametokea kabisa ndugu acheni tabia hzo ninyi wanaume sio vizuri kabisa na Mungu apendi
Nakutakia xmass njema

wanawake bana...eti wakti mnagegedana hamsemi tuache mungu hapendi....ili mkisha gegwdwa na kubwaga ndio mnakumbuka kuwa mungu hapendi....loh!!! acheni double standards zenu
 
hakuna mtu anayedanganywa nyie ndo wadanganyifu wakubwa sana tu, mwogopeni Munguhapendi tabia hizo jamani Museven
 
Last edited by a moderator:
nilikosea kuandika kwa jinsi nilivyoboreka na hiyo tabia ndo mana niliandika kinyume na hayo herufi nimefanya utafiti ndo herufi zinazoongoza sana hapa bongo tanzania na nje ya tz KIDUDU
 
Last edited by a moderator:
NILIKOSEA KUANDIKA ILIKUWA INAAMAANISHA HIVI: 'MAKAKA ZETU TABIA HIYO NI MBAYA MUACHE KABISA' NI KUTOKANA NA KUBOREKA NA TABIA HIYO NDO MANA NILIANDIKA KINYUME BADALA YA HIVYO. SIJAPENDA TABIA YENU NYIE MAKAKA ZETU HAIMPENDEZI MUNGU KABISA TENA SANA

XMASS NJEMA chama2chawa
 
Kwa mfano mimi kutongoza ni hobby, na nachukia sana pale nikitongoza kiutani tu, tayari napewa... japo nikipewa nakula tu shingo upande...

hahahaha acha masihara swahiba, eti unakula shingo upande
 
una MATATIZO YA KISAIKOLOJIA na wahitaji msaada wa ziada njoo nikufundishe namna ya kuishi n a watu wewe na namna ya kuchukuliana na kuhistimiliana yaelekea mdomo wakko ni mchafu wahitaji dawa ya colgate na sio whitedent itakumentol tu wewe acha nitakupa darasa lako la bagparty na kukufunda ili uelekee kunako fani

xmass njema mzabzab
 
NILIKOSEA KUANDIKA ILIKUWA INAAMAANISHA HIVI: 'MAKAKA ZETU TABIA HIYO NI MBAYA MUACHE KABISA' NI KUTOKANA NA KUBOREKA NA TABIA HIYO NDO MANA NILIANDIKA KINYUME BADALA YA HIVYO. SIJAPENDA TABIA YENU NYIE MAKAKA ZETU HAIMPENDEZI MUNGU KABISA TENA SANA

XMASS NJEMA chama2chawa

so wote wenye majina yanayoanzia na hizo herufi walisha kuonja wakasepa?
 
una MATATIZO YA KISAIKOLOJIA na wahitaji msaada wa ziada njoo nikufundishe namna ya kuishi n a watu wewe na namna ya kuchukuliana na kuhistimiliana yaelekea mdomo wakko ni mchafu wahitaji dawa ya colgate na sio whitedent itakumentol tu wewe acha nitakupa darasa lako la bagparty na kukufunda ili uelekee kunako fani

xmass njema mzabzab

hujajibu swali....
 
Nawapa hay wanajf kwa siku ingine tena ya leo, imenibidi niseme yaliyojaa moyoni mwangu kwani kuna kitu kinakera sana acha na leo nikitapike hapa katika kolamu hii nilikuwa sitaki kukisema ila acha nikiseme kwani tunamaliza mwaka nakuwa na kitu kinachokukera usivuke nacho kwa mwaka mwinngine.
Ni hii tabia ya wanadamu hasa WANAUME wanaanzisha mahusiano kisha wanasepa, hii tabia yao imenikera sana na ndo maana nimeona niandike hapa, si wanaume wote bali ni baadhi wanatabia za kitoto na zisizoeleweka kabisa, yaani mtu anaanzisha uhusiano kama akiona amedumu na wewe mwezi mmoja au zaidi basi kile alichotafuta kwako kama amekipata utaona analeta chokochoko za hapa na pale na kisha kusepa si ameshatimiza lile kusudio alolitaka kwani abaki na wewe kwa madhumuni gani tena, wengine wanasema maneno ya kashfa kwa marafiki azao kwamba angalie dude lile pale nimelichuna kisha nimeliacha solemba. Jamani makaka zetu tabia hiyo sio mbaya kwani mnawaumiza wadada wetu bure. Ili jambo imebidi niliandike hapa kwani limenikera sana ingawaje halijanitokea mimi ila kuna mtu limemtokea na ni rafiki wa moyoni. Sipendi tabia yenu wanaume hasa wale wanaonzia na herufi hizi: J, G, I, M, A, na K sio busara kumtenda mwenzio kiasi hicho na Mungu hapendi tabia za ajabu namna hiyo. Nawaomba makaka , mababu, mababa zetu muache tabia hiyo ni mbaya sana.

Wanaofanya hivyo wanafanya kwa sababu wanaogopa kutulia na mtu mmoja,sababu pia wanahofia kuumizwa,siku hizi karibu kila mtu aliye kwenye uhusiano wa mapenzi anacheat,so kujiepushia maumivu wanaume tunaona bora kuwa hivyo.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom