chezea wanaume wa kweli!!! wanamega na kusepa tuu!!!
alafu wewe herufi zote hizo maana umekuwa wamegwa sana nini? acha kutoa papuchi
hahahaha huyu kashagegedwa na kubwagwa...sasa poor judgement yake anataka kublame alphabets!!!!
Hapo kwenye red umeniacha kidogo, au ulisahau kuandika? na hapo kwenye blue fafanua kwanza ndo ntachangia au wote wa J, G, I, M, A, na K wameku dadedidodu?Nawapa hay wanajf kwa siku ingine tena ya leo, imenibidi niseme yaliyojaa moyoni mwangu kwani kuna kitu kinakera sana acha na leo nikitapike hapa katika kolamu hii nilikuwa sitaki kukisema ila acha nikiseme kwani tunamaliza mwaka nakuwa na kitu kinachokukera usivuke nacho kwa mwaka mwinngine.
Ni hii tabia ya wanadamu hasa WANAUME wanaanzisha mahusiano kisha wanasepa, hii tabia yao imenikera sana na ndo maana nimeona niandike hapa, si wanaume wote bali ni baadhi wanatabia za kitoto na zisizoeleweka kabisa, yaani mtu anaanzisha uhusiano kama akiona amedumu na wewe mwezi mmoja au zaidi basi kile alichotafuta kwako kama amekipata utaona analeta chokochoko za hapa na pale na kisha kusepa si ameshatimiza lile kusudio alolitaka kwani abaki na wewe kwa madhumuni gani tena, wengine wanasema maneno ya kashfa kwa marafiki azao kwamba angalie dude lile pale nimelichuna kisha nimeliacha solemba. Jamani makaka zetu tabia hiyo sio mbaya kwani mnawaumiza wadada wetu bure. Ili jambo imebidi niliandike hapa kwani limenikera sana ingawaje halijanitokea mimi ila kuna mtu limemtokea na ni rafiki wa moyoni. Sipendi tabia yenu wanaume hasa wale wanaonzia na herufi hizi: J, G, I, M, A, na K sio busara kumtenda mwenzio kiasi hicho na Mungu hapendi tabia za ajabu namna hiyo. Nawaomba makaka , mababu, mababa zetu muache tabia hiyo ni mbaya sana.
Jamani makaka zetu tabia hiyo siyo mbaya. Nimenukuu kutoka katika sehemu ya ujumbe wako.
Umewachwa na mai boifrendi
ndio unapiga mikelele hivyo ! acha kuwachuna sana wata kakaaa japo
kidogo,shida yenu kila siku mizinga ndio maana wanasepa.
Umewachwa na mai boifrendi
ndio unapiga mikelele hivyo ! acha kuwachuna sana wata kakaaa japo
kidogo,shida yenu kila siku mizinga ndio maana wanasepa.
Nawapa hay wanajf kwa
siku ingine tena ya leo, imenibidi niseme yaliyojaa moyoni mwangu kwani
kuna kitu kinakera sana acha na leo nikitapike hapa katika kolamu hii
nilikuwa sitaki kukisema ila acha nikiseme kwani tunamaliza mwaka nakuwa
na kitu kinachokukera usivuke nacho kwa mwaka mwinngine.
Ni hii tabia ya wanadamu hasa WANAUME wanaanzisha mahusiano kisha
wanasepa, hii tabia yao imenikera sana na ndo maana nimeona niandike
hapa, si wanaume wote bali ni baadhi wanatabia za kitoto na
zisizoeleweka kabisa, yaani mtu anaanzisha uhusiano kama akiona amedumu
na wewe mwezi mmoja au zaidi basi kile alichotafuta kwako kama amekipata
utaona analeta chokochoko za hapa na pale na kisha kusepa si
ameshatimiza lile kusudio alolitaka kwani abaki na wewe kwa madhumuni
gani tena, wengine wanasema maneno ya kashfa kwa marafiki azao kwamba
angalie dude lile pale nimelichuna kisha nimeliacha solemba. Jamani
makaka zetu tabia hiyo sio mbaya kwani mnawaumiza wadada wetu bure. Ili
jambo imebidi niliandike hapa kwani limenikera sana ingawaje
halijanitokea mimi ila kuna mtu limemtokea na ni rafiki wa moyoni.
Sipendi tabia yenu wanaume hasa wale wanaonzia na herufi hizi: J, G,
I, M, A, na K sio busara kumtenda mwenzio kiasi hicho na
Mungu hapendi tabia za ajabu namna hiyo. Nawaomba makaka , mababu,
mababa zetu muache tabia hiyo ni mbaya sana.
Nawapa hay wanajf kwa siku ingine tena ya leo, imenibidi niseme yaliyojaa moyoni mwangu kwani kuna kitu kinakera sana acha na leo nikitapike hapa katika kolamu hii nilikuwa sitaki kukisema ila acha nikiseme kwani tunamaliza mwaka nakuwa na kitu kinachokukera usivuke nacho kwa mwaka mwinngine.
Ni hii tabia ya wanadamu hasa WANAUME wanaanzisha mahusiano kisha wanasepa, hii tabia yao imenikera sana na ndo maana nimeona niandike hapa, si wanaume wote bali ni baadhi wanatabia za kitoto na zisizoeleweka kabisa, yaani mtu anaanzisha uhusiano kama akiona amedumu na wewe mwezi mmoja au zaidi basi kile alichotafuta kwako kama amekipata utaona analeta chokochoko za hapa na pale na kisha kusepa si ameshatimiza lile kusudio alolitaka kwani abaki na wewe kwa madhumuni gani tena, wengine wanasema maaneno ya kashfa kwa marafiki azao kwamba angalie dude lile pale nimelichuna kisha nimeliacha solemba. Jamani makaka zetu tabia hiyo sio mbaya kwani mnawaumiza wadada wetu bure. Ili jambo imebidi niliandike hapa kwani limenikera sana ingawaje halijanitokea mimi ila kuna mtu limemtokea na ni rafiki wa moyoni. Sipendi tabia yenu wanaume hasa wale wanaonzia na herufi hizi: J, G, I, M, A, na K sio busara kumtenda mwenzio kiasi hicho na Mungu hapendi tabia za ajabu namna hiyo. Nawaomba makaka , mababu, mababa zetu muache tabia hiyo ni mbaya sana.
RED CROSS? IMF na WORLD BANK kabisa..as if money grows at the backyard tree....Tatizo madada zetu mmezidi, unamfahamu jamaa kwa siku moja tu...una mfanya RED CROSS...