Kweli wenye majina haya wanatabia hizo?

Kweli wenye majina haya wanatabia hizo?

lin je wakoje???kama ukweli upo ni % ndogo sana,weka na majina ya kiume
 
Eti ni kweli wenye majina haya wanatabia hizo?

0. JACQ => Huwa ni Mapepe hawajatulia...

1. PATRICIA => wote ni wapole but hupewa mimba ovyo ovyo...

2. DAMARI => wote huwa waZuri.

3. SARAH =>huwa na wanaume wengi....

4. MWAJUMA=>huwa wajuaji mbaya

5. JOYCE=> ni mafala kiasi.

6. ESTER=> hupenda Pesaa sana jiandaee watachop hizo pesa zako.

7. HELLEN=> wote ni ma player.

8. ANNE=> ni ma-drama queen.

9. Everlyne=> ni wanakuwaga wa cheshi

10. MAGRET=> ni wa-caring..sana wako lovely

11.VIOLA=>wanapenda sex hoo...

12.EDITH=>huwa ni watu waaminifu.

14.NORAH=>wanakuwa expensive.

15. SUSAN=>very romantic

16.Elizabeth=>co nervatives

17.Liz=>wanajua kung'ara poa sana.

18.ANGELINA=>Ni ngumu sana kuwapata hawa.

19.Rose=>hawa ni wachapa Kazii.

20.CARO=> Hawa huwa na mahasira tupu..

21.July/ janet=>wanapenda ndoa sanaaa...unalo

22.Sheryl=>huwa malazi hawaa jiangalie

23.Stacy=>huwa wanyanganyaji mabwana za watu...

24.Frida=>huwa wapishi wazuri sana...

25.Immaculate/ ivy=>huwa very economical hawa utawamudu..

26. MARIUM => Hao ni omba Upewe Ndugu...

27.REHEMA=>________

28.MWANAIDI=>________

29.FLORA => _______
30. IRENE
31.Pendo
32. Happy
33 Jesca
Mkuu..
Kwa hiyo tukitumia haya majina na sifa zake tuambiwe tuwape wana MMU majina yao halisi, kutokana na tabia zao wanazoonyesha humu jamvini je! TUTAFANIKIWA KUPATA REAL NAMES ZAO?

Binafsi kuna baadhi nawajua, mh...kama kweli vile
 
Nimewahi kusikia kina Happy ni wazuri lakini sasa tabia zao vicheche balaa
Pia kina Neema hawashikiki kwa umalaya
 
Etiiii umenitaja Mimi Nina nini hapooo namba... naona hujipendiii.umewahi kukojoa dagaa Michele? Sasa subirii alaaaa
 
bora langu halipo, hapo namba 6 kwa best yangu kuna kama kaukweli fulani....
 
FLORA, WAKALIMU HAPPY. WANAFKI SANA PENDO. Hawa ujisikia na Zalau ya hali ya juu.
 
Eti ni kweli wenye majina haya wanatabia hizo?

0. JACQ => Huwa ni Mapepe hawajatulia...

1. PATRICIA => wote ni wapole but hupewa mimba ovyo ovyo...

2. DAMARI => wote huwa waZuri.

3. SARAH =>huwa na wanaume wengi....

4. MWAJUMA=>huwa wajuaji mbaya

5. JOYCE=> ni mafala kiasi.

6. ESTER=> hupenda Pesaa sana jiandaee watachop hizo pesa zako.

7. HELLEN=> wote ni ma player.

8. ANNE=> ni ma-drama queen.

9. Everlyne=> ni wanakuwaga wa cheshi

10. MAGRET=> ni wa-caring..sana wako lovely

11.VIOLA=>wanapenda sex hoo...

12.EDITH=>huwa ni watu waaminifu.

14.NORAH=>wanakuwa expensive.

15. SUSAN=>very romantic

16.Elizabeth=>co nervatives

17.Liz=>wanajua kung'ara poa sana.

18.ANGELINA=>Ni ngumu sana kuwapata hawa.

19.Rose=>hawa ni wachapa Kazii.

20.CARO=> Hawa huwa na mahasira tupu..

21.July/ janet=>wanapenda ndoa sanaaa...unalo

22.Sheryl=>huwa malazi hawaa jiangalie

23.Stacy=>huwa wanyanganyaji mabwana za watu...

24.Frida=>huwa wapishi wazuri sana...

25.Immaculate/ ivy=>huwa very economical hawa utawamudu..

26. MARIUM => Hao ni omba Upewe Ndugu...

27.REHEMA=>________

28.MWANAIDI=>________

29.FLORA => _______
30. IRENE
31.Pendo
32. Happy
33 Jesca

Una utani na Emmanuel Mbasha wewe!
 
Mkuu..
Kwa hiyo tukitumia haya majina na sifa zake tuambiwe tuwape wana MMU majina yao halisi, kutokana na tabia zao wanazoonyesha humu jamvini je! TUTAFANIKIWA KUPATA REAL NAMES ZAO?

Binafsi kuna baadhi nawajua, mh...kama kweli vile

we unaitwa nani mkuu?
 
Back
Top Bottom