DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,974
Namba 3 si kweli mkuuuuuuuuuuu.......I decline!!!!!!
Jubilath je???
Bora la kwangu halipo
lin je wakoje???kama ukweli upo ni % ndogo sana,weka na majina ya kiume
Chausiku
Pili
Tatu
Hawa wana asili ya uchawi
Kasahau tu la kwako mnakuwaga wambea na miguu ina magaga sana.
Wamasai.bora natumia la kimasai
HAMNIKAMATI
Mamba we'wanapenda kujilipua na mabom hadharan
Huyu farkhina ni mmatumbi ka' mimi au? naona jina lina-sound kama Kimanga vile?
Pole sana.......!!!
Wanapenda kulia sana,wapo emotional na wakipenda wanakuwa ving'ang'anizi hawaachiki
mmh???eti akili unazo kweli???
Naitwa Dikembe mkuu....wewe je? jina lako liko kwenye list?we unaitwa nani mkuu?