Kweli watu wamejitoa kumchangia Lissu

Kweli watu wamejitoa kumchangia Lissu

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
17,211
Reaction score
41,788
Huu ni upendo au ni kukomoa? Sentensi hiyo isitafsiriwe vibaya,

Kuna mtu anaweza kuambiwa kuna majanga au mafuriko akachangia hiyo?

Kuna mambo bwana si yote lazima yaandikwe hata nawatakieni michango miema

Kutoa ni Moyo, Tumchangie mwenzetu

FB_IMG_1552664682903.jpg


IMG-20190315-WA0088.jpg
 
Kuna la kujifunza hapo. Ujiulize ni kwa nini wanatoa bila shuruti na walikuwa wanalilia wapatiwe njia za kuwasilisha michango yao. And, people are still longing for such means of contribution to be well informed to them. Watu wana uchungu, hasira na mengi mengineyo.
 
CHADEMA kwenye michango ndo wanatumiaga picha ya Lissu na Magongo lakin kwenye ziara za marekani hatuyaoni CHADEMA nyie CHADEMA mungu anawaona ujue
Mkuu hujafa hujaumbika Lissu hakuomba kupigwa risasi tunakuombea na wewe yakukute Mabaya Mungu hadhihakiwi Amen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
By Mange Kimambi

Tuendelee kumchangia Mh Tundu Lissu, Mpaka sasa zimefika M28 kwa mwezi March, kutoa ni moyo si utajiri.
.
.
Tafadhali tuma pesa kwenda #M_pesa 0754 616 564 au Tigopesa 0716445360 Jina FRANK MUGHWAI.......... Au kupitia benki ya #CRDB nambari ya akaunti 01J2043045300 TUNDU ANTIPAS LISSU.
Screenshot_20190315-223308.png
 
Huu ni upendo au ni kukomoa? Sentensi hiyo isitafsiriwe vibaya,

Kuna mtu anaweza kuambiwa kuna majanga au mafuriko akachangia hiyo?

Kuna mambo bwana si yote lazima yaandikwe hata nawatakieni michango miema

Kutoa ni Moyo, Tumchangie mwenzetu

View attachment 1046444

View attachment 1046442

Kuna msemo unasema, put your money where your mouth is.

Tafsiri yake ni kwamba, kama unataka kweli jambo fulani litokee, lifanyike au libadilike, weka pesa yako kuonyesha dhamira yako ni ya kweli. Maneno matupu hayavunji mfupa, no pun intended.
 
Back
Top Bottom