Kweli usafiri wa Bolt ni poa sana ukiwa Dar es Salaam

Nilibahatika kuja Dar es Salaam kwa safari ya kibinafsi na mojawapo la tatizo la Dar ni usafiri. Kwenye hoteli niliyofikia nikawauliza usafiri utakaonisaidia nikiwa Dar na wakanishauri nijiunge na bolt. Kwa kweli usafiri wa bolt ni poa sana.

Unaweza kusafiri na bolt toka Sinza na kwenda katikati ya Jiji unaweza kulipa kuanzia 6,000 mpaka 8,000 wakati taxi za kawaida unaweza kulipa mpaka 20,000. Kutoka Sinza mpaka airport nililipa 13,000 wakati taxi za kawaida ni Tshs.25,000. Kweli usafiri wa bolt una unafuu sana katika Jiji la Dar.
Unajiunga vipi. Naomba msaada wako
 
Nilibahatika kuja Dar es Salaam kwa safari ya kibinafsi na mojawapo la tatizo la Dar ni usafiri. Kwenye hoteli niliyofikia nikawauliza usafiri utakaonisaidia nikiwa Dar na wakanishauri nijiunge na bolt. Kwa kweli usafiri wa bolt ni poa sana.

Unaweza kusafiri na bolt toka Sinza na kwenda katikati ya Jiji unaweza kulipa kuanzia 6,000 mpaka 8,000 wakati taxi za kawaida unaweza kulipa mpaka 20,000.

Kutoka Sinza mpaka airport nililipa 13,000 wakati taxi za kawaida ni Tshs.25,000. Kweli usafiri wa bolt una unafuu sana katika Jiji la Dar.
Mimi kwa daladala buku tu nimeenda na kurudi....
 
Wewe hukai dar umejuaje kama dar kuna tatizo la usafiri na wewe sio mwenyeji wa dar ?
 
Honestly hata ukiwa na usafiri wako mwenyewe afu unapiga tungi I'd rather utumie Bolt au Uber. ndege JOHN ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Š๐Ÿ™Š
Watu wachokozi sn..kwamba ndege JOHN Kwa mlevi mbwa Hadi anapotea njia ya kwao kiasi cha kumshauri atumie bolt๐Ÿ˜…
Bila hiyo nusanusa watakulaza Central Sanaaaa.

Pia ukiwa mgeni mjini hapa badala ya kutafuta kuchuniwa gari na kuambulia matusi kisa unapotea potea tu na kushangaa barabarani bora upaki gari hotelini utumie Bolt au Uber Satoh Hirosh ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.
Unatafuta Makofi๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž..Mimi siyo mshamba kiasi cha kushangaa shangaa barabarani na kupotea kwenye hili jiji.Wewe km unatafuta dereva binafsi Mimi nipo,nazijua chocho zote za huu mji hata uniamshe saa nane usiku,sipotei popote
Its safer and more convinient.
 
Watu wachokozi sn..kwamba ndege JOHN Kwa mlevi mbwa Hadi anapotea njia ya kwao kiasi cha kumshauri atumie bolt๐Ÿ˜…

Unatafuta Makofi๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž..Mimi siyo mshamba kiasi cha kushangaa shangaa barabarani na kupotea kwenye hili jiji.Wewe km unatafuta dereva binafsi Mimi nipo,nazijua chocho zote za huu mji hata uniamshe saa nane usiku,sipotei popote
Nimemshauri tu ndege JOHN na wewe pia.๐Ÿƒ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ๐Ÿ™Š๐Ÿ™Š
 
Mkorofi sn wewe๐Ÿ˜…..huu siyo ushauri ni dhereuu!!
 
Naipenda inDriver ya Arusha.

1. Bei unajipangia ila ikiwa chini unaambiwa rate ur fare kwa 500 500
2. Unachagua mwenyewe aina ya gari
 
Nilibahatika kuja Dar es Salaam kwa safari ya kibinafsi na mojawapo la tatizo la Dar ni usafiri. Kwenye hoteli niliyofikia nikawauliza usafiri utakaonisaidia nikiwa Dar na wakanishauri nijiunge na bolt. Kwa kweli usafiri wa bolt ni poa sana.

Unaweza kusafiri na bolt toka Sinza na kwenda katikati ya Jiji unaweza kulipa kuanzia 6,000 mpaka 8,000 wakati taxi za kawaida unaweza kulipa mpaka 20,000.

Kutoka Sinza mpaka airport nililipa 13,000 wakati taxi za kawaida ni Tshs.25,000. Kweli usafiri wa bolt una unafuu sana katika Jiji la Dar.
Bolt unalipa pesa sawa na Boda tu.. kutoka Sinza kwenda Airport boda ya kawaida ni 15-20
 
Back
Top Bottom