Fahari ya kusini
JF-Expert Member
- Nov 26, 2022
- 427
- 1,668
Soon naenda kubadilisha mawazo yangu aisee nimeamini uislamu ndiyo dini ya haki kuliko hizo imani zingine hizo na nimemtaarifu mke wangu,watoto wangu,ukoo wangu wote leo ndiyo mwisho wa kuwa na hii imani ya uongo na uzushi so jumatatu watu wote wa nyumbani na ukoo wangu tunaenda msikitini na kubadilisha dini na kuwa na dini ya ukweli na haki uislamu Aisee
Nimekuwa najiuliza kwanini uislamu unapigwa vita? Hii kitu imenifikirisha na nikaja na conclusion ya kwamba mti wenye matunda ndiyo hupigwa mawe Kwasababu ni dini ya haki na ya ukweli kwanini dini zingine hazifanyiwi hivyo?
Na nakikri uislamu utashinda na utaendelea kusambaa dunia mzima
" Mimi jemaine alex paroko aliyehasi wa kanisa......jimbo la iringa"