Kweli tunaoishi Dar tunapitwa na Mengi huko mikoani

Hahah wao ni wasema kweli na wasema kweli ni wapenzi wa Mungu.
Nadhani walirefer dar ilivyoanza.. Sidhani kama walimaanisha hii dar ya sahivi ni kijiji cha wavuvi... Niliisoma pia hiyo makala,si BBC Swahili sio
 
Nakumbuka week 2 nyuma nilikua katika wilaya fulani, kiukweli maisha ya kule ni mazuri, kwa mwezi unaweza ukajikuta unatumia 50,000 tuu kwa kula kwani vitu ni rahisi sana.

Nilishangaa kilo ya kitimoto inauzwa 5,000 na mazao mengine yakiwa rahisi sana.

Kiukweli hata watu wa kule wana afya, wanavuta hewa safi na wanakula vizuri sana, dar kuna watu wanaishi maisha magumu sana ya kusikitisha.

Tutokeni kidogo tuone watu wanavyokula nchi sio tunajichimbia tuu hapa mjini tunakaangwa na joto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Karibuni mikoani,huku mambo poa.
 
Maisha sio kula tuu bro! Weee wa wapi?
 
Mikoani kuzuri tu bakini na Dar yenu
Dar ni mji wa wenye akili! Ukiwa lofa uwezi ishi huu mji au utaishi kwa tabu sana! Kama uuwezi sepa fasta utuondolee msongamano na kutumalizia hewa safi ya oxygen
 
haha mi niko zangu dar nakula zangu biskuti, juis ya miwa staki tabu.. jokes aside, mkoani raha sana yani hata ujenzi ni rahisi kulipa day worker unlike huku dar, af msosi bei chee sana mkoani, niliishi mkoa flani hivi dah kumetulia sana kama una nyumba yako, gari, chanzo cha kipato na savings zako dah huna stress ya maisha kabisa we ni kusafisha rungu tu na gambe

Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kabisa na ndo maisha yanavyotaka ivyo
 
Tatizo mikoani kuipata hiyo elfu 5000 ni shughuli,nilikaa mwanza miaka kadhaa iliyo pita,nilifanya kazi kiwanda cha samaki,unafanya kazi masaa 12 unalipwa elfu 4000,aise wewe aunidanganyi kuishi mikoani.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nakumbuka week 2 nyuma nilikua katika wilaya fulani, kiukweli maisha ya kule ni mazuri, kwa mwezi unaweza ukajikuta unatumia 50,000 tuu kwa kula kwani vitu ni rahisi sana.

Nilishangaa kilo ya kitimoto inauzwa 5,000 na mazao mengine yakiwa rahisi sana.

Kiukweli hata watu wa kule wana afya, wanavuta hewa safi na wanakula vizuri sana, dar kuna watu wanaishi maisha magumu sana ya kusikitisha.

Tutokeni kidogo tuone watu wanavyokula nchi sio tunajichimbia tuu hapa mjini tunakaangwa na joto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujasema ni wapi

1585925044374.png
 
Dar ni mji wa wenye akili! Ukiwa lofa uwezi ishi huu mji au utaishi kwa tabu sana! Kama uuwezi sepa fasta utuondolee msongamano na kutumalizia hewa safi ya oxygen
Nahii mentality yako ndio inaongeza maskini dar kwa kujipa moyo kesho itakua bora, dunia ni kubwa sana lakini akili yako inekwamia dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sihami Dar ng'oo! Nikienda mkoani hata wiki moja, narudi Dar nikiwa nimechakaa... Ngozi imepauka, nimekuwa mweusi tii.. Mkoani, hapana kwa kweli.
 
Tatizo mikoani kuipata hiyo elfu 5000 ni shughuli,nilikaa mwanza miaka kadhaa iliyo pita,nilifanya kazi kiwanda cha samaki,unafanya kazi masaa 12 unalipwa elfu 4000,aise wewe aunidanganyi kuishi mikoani.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwahio ukifanya hio hio kazi dar utalipwa mamilioni sio?
 
Nakumbuka week 2 nyuma nilikua katika wilaya fulani, kiukweli maisha ya kule ni mazuri, kwa mwezi unaweza ukajikuta unatumia 50,000 tuu kwa kula kwani vitu ni rahisi sana.

Nilishangaa kilo ya kitimoto inauzwa 5,000 na mazao mengine yakiwa rahisi sana.

Kiukweli hata watu wa kule wana afya, wanavuta hewa safi na wanakula vizuri sana, dar kuna watu wanaishi maisha magumu sana ya kusikitisha.

Tutokeni kidogo tuone watu wanavyokula nchi sio tunajichimbia tuu hapa mjini tunakaangwa na joto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ifakara booonge la Kambale 5,000/= nilifaidi Sana .
 
Sihami Dar ng'oo! Nikienda mkoani hata wiki moja, narudi Dar nikiwa nimechakaa... Ngozi imepauka, nimekuwa mweusi tii.. Mkoani, hapana kwa kweli.

Ukiwa mkoani unashindwa kutumia carolight hadi uende dar[emoji851][emoji851]

Sent using IPhone X
 
Acheni kupeana story zakutunga Mimi hapa dar silimi lakin sikos saving ya 10k hila mikoani kupata 10k mpaka ulime sana / dar watu awajachoka kama unavyosema.
Nyie ndio hamjui kweli maeneo mengine zaidi, aliekwambia mikoani kote wanalima ni nani? Kuna mijini tena pasafi kuliko hata manzese

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom