Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,177
- 14,155
Vipi mbona sekta yako ya wadada umeisahau....wapoje wa huko
Nakumbuka week 2 nyuma nilikua katika wilaya fulani, kiukweli maisha ya kule ni mazuri, kwa mwezi unaweza ukajikuta unatumia 50,000 tuu kwa kula kwani vitu ni rahisi sana.
Nilishangaa kilo ya kitimoto inauzwa 5,000 na mazao mengine yakiwa rahisi sana.
Kiukweli hata watu wa kule wana afya, wanavuta hewa safi na wanakula vizuri sana, dar kuna watu wanaishi maisha magumu sana ya kusikitisha.
Tutokeni kidogo tuone watu wanavyokula nchi sio tunajichimbia tuu hapa mjini tunakaangwa na joto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo liko hivi: sehemu hizo mzunguko wa fedha nao ni mdogo sana. Kuipata elfu kumi kwa siku ni ngumu sana ku-compare na Dar. Hiyo ndiyo inasababisha vitu unaviona rahisi kwa wewe uliyetoka Dar.... unless uwe na business/kazi yako Dar na inaweza kuendeshwa bila wewe kuwepo ili wewe upate nafasi ya kuishi huko na fedha uwe unatumiwa tu. Ukienda sehemu kama Puket, Thailand unakuta kuna wazee wengi wa kizungu ambao baada ya kustaafu wameamua kwenda kuishi huko. Unakuta mzee kama anapata pension ya dola elfu mbili kwa mwezi, Ulaya inaweza kuwa ndogo lakini akienda kule ni nyingi sana. Ana uwezo wa kukodisha nyumba, akaoa binti mbichi kabisa na kazi yake ikawa ni kula na kunywa na kupigana masaji na kisichana chake.Nakumbuka week 2 nyuma nilikua katika wilaya fulani, kiukweli maisha ya kule ni mazuri, kwa mwezi unaweza ukajikuta unatumia 50,000 tuu kwa kula kwani vitu ni rahisi sana.
Nilishangaa kilo ya kitimoto inauzwa 5,000 na mazao mengine yakiwa rahisi sana.
Kiukweli hata watu wa kule wana afya, wanavuta hewa safi na wanakula vizuri sana, dar kuna watu wanaishi maisha magumu sana ya kusikitisha.
Tutokeni kidogo tuone watu wanavyokula nchi sio tunajichimbia tuu hapa mjini tunakaangwa na joto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila kupapasa maneno hiyo ni Rungwe -Mbeya mkuu. Taaamu sana!!!¡Nakumbuka week 2 nyuma nilikua katika wilaya fulani, kiukweli maisha ya kule ni mazuri, kwa mwezi unaweza ukajikuta unatumia 50,000 tuu kwa kula kwani vitu ni rahisi sana.
Nilishangaa kilo ya kitimoto inauzwa 5,000 na mazao mengine yakiwa rahisi sana.
Kiukweli hata watu wa kule wana afya, wanavuta hewa safi na wanakula vizuri sana, dar kuna watu wanaishi maisha magumu sana ya kusikitisha.
Tutokeni kidogo tuone watu wanavyokula nchi sio tunajichimbia tuu hapa mjini tunakaangwa na joto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe we mwanaume wa darNakumbuka week 2 nyuma nilikua katika wilaya fulani, kiukweli maisha ya kule ni mazuri, kwa mwezi unaweza ukajikuta unatumia 50,000 tuu kwa kula kwani vitu ni rahisi sana.
Nilishangaa kilo ya kitimoto inauzwa 5,000 na mazao mengine yakiwa rahisi sana.
Kiukweli hata watu wa kule wana afya, wanavuta hewa safi na wanakula vizuri sana, dar kuna watu wanaishi maisha magumu sana ya kusikitisha.
Tutokeni kidogo tuone watu wanavyokula nchi sio tunajichimbia tuu hapa mjini tunakaangwa na joto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wilaya gani hiyo?Nakumbuka week 2 nyuma nilikua katika wilaya fulani, kiukweli maisha ya kule ni mazuri, kwa mwezi unaweza ukajikuta unatumia 50,000 tuu kwa kula kwani vitu ni rahisi sana.
Nilishangaa kilo ya kitimoto inauzwa 5,000 na mazao mengine yakiwa rahisi sana.
Kiukweli hata watu wa kule wana afya, wanavuta hewa safi na wanakula vizuri sana, dar kuna watu wanaishi maisha magumu sana ya kusikitisha.
Tutokeni kidogo tuone watu wanavyokula nchi sio tunajichimbia tuu hapa mjini tunakaangwa na joto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah wao ni wasema kweli na wasema kweli ni wapenzi wa Mungu.
Kweli aiseeHahah wao ni wasema kweli na wasema kweli ni wapenzi wa Mungu.
Hahahah nibkusafisha rungu tuu na kula maisha kama mbelehaha mi niko zangu dar nakula zangu biskuti, juis ya miwa staki tabu.. jokes aside, mkoani raha sana yani hata ujenzi ni rahisi kulipa day worker unlike huku dar, af msosi bei chee sana mkoani, niliishi mkoa flani hivi dah kumetulia sana kama una nyumba yako, gari, chanzo cha kipato na savings zako dah huna stress ya maisha kabisa we ni kusafisha rungu tu na gambe
Sent using Jamii Forums mobile app
InawezekanaBila kupapasa maneno hiyo ni Rungwe -Mbeya mkuu. Taaamu sana!!!¡
Ukiwa wilayani kabisa mzunguko unaridhisha japo sio kama darTatizo liko hivi: sehemu hizo mzunguko wa fedha nao ni mdogo sana. Kuipata elfu kumi kwa siku ni ngumu sana ku-compare na Dar. Hiyo ndiyo inasababisha vitu unaviona rahisi kwa wewe uliyetoka Dar.... unless uwe na business/kazi yako Dar na inaweza kuendeshwa bila wewe kuwepo ili wewe upate nafasi ya kuishi huko na fedha uwe unatumiwa tu. Ukienda sehemu kama Puket, Thailand unakuta kuna wazee wengi wa kizungu ambao baada ya kustaafu wameamua kwenda kuishi huko. Unakuta mzee kama anapata pension ya dola elfu mbili kwa mwezi, Ulaya inaweza kuwa ndogo lakini akienda kule ni nyingi sana. Ana uwezo wa kukodisha nyumba, akaoa binti mbichi kabisa na kazi yake ikawa ni kula na kunywa na kupigana masaji na kisichana chake.
Huko kilo 5,000 umeme, maji, barabara, Minara ya simu kila kitu poa hospital za kumwagaKwani hata Dar kiti moto so ipo ? Ni 10,000 - 50,000@Kg kutegemea unainunua wapi . Vipi hicho kijiji kuna kitu moto ya 12,000@Kg ? Tafsiri yake ni kwamba huko watu wanaishi kwa kuwasha vibatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakuletea mrejeshoVipi mbona sekta yako ya wadada umeisahau....wapoje wa huko
By the way dar ina takribani watu ml6 na kumbuka hao kwa asilimia Karibu 75 hasakuzaliwa dar. Endelea kujiongopeaNakumbuka week 2 nyuma nilikua katika wilaya fulani, kiukweli maisha ya kule ni mazuri, kwa mwezi unaweza ukajikuta unatumia 50,000 tuu kwa kula kwani vitu ni rahisi sana.
Nilishangaa kilo ya kitimoto inauzwa 5,000 na mazao mengine yakiwa rahisi sana.
Kiukweli hata watu wa kule wana afya, wanavuta hewa safi na wanakula vizuri sana, dar kuna watu wanaishi maisha magumu sana ya kusikitisha.
Tutokeni kidogo tuone watu wanavyokula nchi sio tunajichimbia tuu hapa mjini tunakaangwa na joto
SijakuelewaBy the way dar ina takribani watu ml6 na kumbuka hao kwa asilimia Karibu 75 hasakuzaliwa dar. Endelea kujiongopea