Applicant
JF-Expert Member
- Feb 12, 2020
- 1,962
- 1,757
Nakumbuka week 2 nyuma nilikua katika wilaya fulani, kiukweli maisha ya kule ni mazuri, kwa mwezi unaweza ukajikuta unatumia 50,000 tuu kwa kula kwani vitu ni rahisi sana.
Nilishangaa kilo ya kitimoto inauzwa 5,000 na mazao mengine yakiwa rahisi sana.
Kiukweli hata watu wa kule wana afya, wanavuta hewa safi na wanakula vizuri sana, dar kuna watu wanaishi maisha magumu sana ya kusikitisha.
Tutokeni kidogo tuone watu wanavyokula nchi sio tunajichimbia tuu hapa mjini tunakaangwa na joto.
Sent using Jamii Forums mobile app