Travis samwel
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 215
- 42
Wakat Nchi nyingne za wenzetu wakiwekeza katika soka cc huku kwetu bdo kabisaaaa nasema hvyo kwa sababu ukiangalia katika mechi ya jana kati ya Taifa star na Ivory coast jezi wa wachezaji wa Taifa star hasa fulana zao sehem ya kora utaona kuwa ni nguo zinazovaliwa sana na wachezaj hawa kwan maaana baada ya mechi basi hufuliwa na kuwekwa kusubiria mechi nyngne, kama jezi za Timu ya Taifa tu zinatushinda je kwel tunaweza kuwekeza ktk soka jamaniiiiiii???? Nawasilisha kwenu wadau