Stars kufuzu AFCNO; Ligi ya Tanzania ni Ligi bora Afrika

Vyamavingi

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,745
5,446
Kumekuwa na mjadala na kutofautiana kwingi kuhusu ubora wa Ligi ya NBC.

Kufuatia Taifa Stars kufuzu kwenda fainali za AFCO 2024 huko Ivory Coast, bila kujali kiwango tulichoonyesha katika hatua za makundi naamini ligi yetu ni miongoni mwa ligi bora Afrika. Hoja kuu niliyoizingatia kukubali kuwa ligi yetu ni bora ni kuwa Taifa Stars imefuzu ikiwa na wachezaji wengi zaidi wanaocheza ligi ya NBC. Beno, Job, Mwamnyeto, Ibrahim Baka, Mzamilu, Kibu, Sopu, Boko; hao wote ni wachezaji wa ndani waliocheza mechi ya jana dhidi ya Algeria. Wachezaji wanaocheza nje ya nchi kwenye mechi ya jana ni Nova, Mnoga, na Msuva.

Nawaachia wachambuzi wa soka waje na takwimu kutufahamisha ni timu gani imefuzu michuano hiyo ikiwa na wachezaji wengi zaidi wanaocheza timu za ndani ya nchi. Kwa kuzingatia hilo ubishi juu ya ubora wa ligi ya NBC katika Afrika huenda ukaisha rasmi.

Nahitimisha kwa kusema kuwa huenda ligi ya NBC iko juu ya hiyo nafasi ya 5 tunaoambiwa ipo.

Vv

Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
 
Kwa kiasi chake Ligi yetu imepaa,na ninafikiri ndani ya miaka ijayo itakuwa Bora zaidi

Kikubwa,timu zetu hasa Simba na Yanga ziwe na wachezaji wengi wazawa
 
Mitandoa ya kijamii pia naona inamchango mkubwa sana kunogesha ligi yetu,
tofauti na miaka ya nyuma watu wengi walikuwa hawajui nini kinachoendelea...

Now wazee, vijaa, wadada, watoto wanajua mpk ratiba,wanaushabiki mkubwa sana
 
Kumekuwa na mjadala na kutofautiana kwingi kuhusu ubora wa Ligi ya NBC.

Kufuatia Taifa Stars kufuzu kwenda fainali za AFCO 2024 huko Ivory Coast, bila kujali kiwango tulichoonyesha katika hatua za makundi naamini ligi yetu ni miongoni mwa ligi bora Afrika. Hoja kuu niliyoizingatia kukubali kuwa ligi yetu ni bora ni kuwa Taifa Stars imefuzu ikiwa na wachezaji wengi zaidi wanaocheza ligi ya NBC. Beno, Job, Mwamnyeto, Ibrahim Baka, Mzamilu, Kibu, Sopu, Boko; hao wote ni wachezaji wa ndani waliocheza mechi ya jana dhidi ya Algeria. Wachezaji wanaocheza nje ya nchi kwenye mechi ya jana ni Nova, Mnoga, na Msuva.

Nawaachia wachambuzi wa soka waje na takwimu kutufahamisha ni timu gani imefuzu michuano hiyo ikiwa na wachezaji wengi zaidi wanaocheza timu za ndani ya nchi. Kwa kuzingatia hilo ubishi juu ya ubora wa ligi ya NBC katika Afrika huenda ukaisha rasmi.

Nahitimisha kwa kusema kuwa huenda ligi ya NBC iko juu ya hiyo nafasi ya 5 tunaoambiwa ipo.

Vv

Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
Hivi Samatta kilimkumba nini? Le kepteein...
 
Back
Top Bottom