one wisow
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,327
- 1,918
Mkuu avatar yako mbaya samahani lakini[emoji31][emoji31][emoji25]Ndio maana mimi huwa ni mzito sana kutoa ushauri wa kimahusiano
Mkuu avatar yako mbaya samahani lakini[emoji31][emoji31][emoji25]Ndio maana mimi huwa ni mzito sana kutoa ushauri wa kimahusiano
Umeicheki alladin?Yeaaah moana naikubali kuliko zote za Disney mm napenda zaidi za Dreamwork Pictures..
Yaani hapa umenifanya niangalie upya..imefika kwenye wimbo wa where you are View attachment 1239479
Lucky you!Mbeya?
I'm in Dar!
Kiukweli nimeshindwa maybe wasap😭😭😭😭natumia simu haiwezi kukubali, hebu jaribu kutuma audio yenyewe hapa.
Aladin ya 1999 Nimeicheki ninayo kwenye external.. pia ya mwaka huu ninayo.Umeicheki alladin?
Sio animation lkn ni moja ya kazi zao ninazozikubali.
Natumaini hiyo miadi itakuwa ni ya darsa tu mtumishi wa BWANA.!!
Who told you I live in Mbeya??Lucky you!
You can enjoy as many swims as you you want
DaahKiukweli nimeshindwa maybe wasap
Hiyo ya mwaka huu ni nini??Aladin ya 1999 Nimeicheki ninayo kwenye external.. pia ya mwaka huu ninayo.
Muvi kacheza will SmithHiyo ya mwaka huu ni nini??
Oohh okayMuvi kacheza will Smith
sikuwahi kujua hata kale ka jina maana yakedaamn'..!! Kajina ni katamu.! Hukuwahi kupata maana yake CONTROLA.??
Mimi pia ni addictor wa 'uniqueness'..!! Napenda sana zile za 1 in a million.. With do sth about it.. tuombe tu kheri kiukweli..!!sikuwahi kujua hata kale ka jina maana yake
ila sidhani kama katakua kana maana mbaya
i liked ka upekee kake kale ka jina,u can imagine Hata wanafunzi tuwe 500
Atakua yeye peke ake tu yani
its a time na wewe SweetieLee utoke kwenye uzungu huoooo☺
Ok nilikuwa nazungumzia ya mwaka huu.Aladin ya 1999 Nimeicheki ninayo kwenye external.. pia ya mwaka huu ninayo.
Si ndio mambo yetu yaleee nilikwambiaaaMimi pia ni addictor wa 'uniqueness'..!! Napenda sana zile za 1 in a million.. With do sth about it.. tuombe tu kheri kiukweli..!!
Haha. Last paragraph iko too personal my dia 'controller' imenigusa kwa namna 1 ama nyingine..!!
Kande alitie nazi hasa, likoleee!!Si ndio mambo yetu yaleee nilikwambiaaa
Tafuta mpishi apike kande liiive aliunge liungike
then akkuletea litandike kama hutokula tenaaaa
Ukishiba tuuu ukahakikisha kweli nimeshiba
Naomba tutafutane tuanze kazi yetu ya chagua chagua (something unique)
😀 😍 😛🤫👌....
wapishi bora wengi hivyo aaaahKande alitie nazi hasa, likoleee!!
Wapishi wapo kibao ila napaswa nitafute mpishi bora kwanza..!!
tutatafuta jina unique mwaya usiogope.!!
Nimekusamehe mkuu, lakini pia unatakiwa umuombe msamaha Mungu aliyeniumbaMkuu avatar yako mbaya samahani lakini[emoji31][emoji31][emoji25]
Nipo mbona.