Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,941
- 236,645
Yesu wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]na mimi nimtumie zako??
Usithubutu
Yesu wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]na mimi nimtumie zako??
[emoji22][emoji22]hamna sikuonaNimesahau ilikuwa uzi upi.
Nikajua ulishaona[emoji1787]
[emoji28][emoji28]oohh okayYesu wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usithubutu
Ukilazimisha hisia maana yake ni nini Mkuu Jay,Ila kiukweli mm naona ni Bora kulazimisha hisia kuliko kuforce kuwa na mtu mana bada ya hapo ni maumivu mno.... Yani unakaa na m2 linakufanya kana kwamba wewe ni low class kwake ila likifika saa lina Shida linajiliza ili lipate msaada, sema na mimi nikishakuchukia nimekuchukia sina namna nitakupenda tena
Boss Carleen kuna ile mtoto wa wa2 anakufeel mbaya humpi chochote ila akikuona tu kashalowa, afu unaangalia unasema hii sio type yangu kabsaa ila anafanya wema sana kwako hakuombi hela ata... mimi izo situation nimekutana nazo zaid ya mara 5... Sasa kuna yule sasa unamjali unamcare unampa attention zote ila hewa anadanganya anakupenda kumbe yupo after material things... Mimi cku iz napiga chini hao mapretender najiforce kua na huyu anaenipenda hata kama ana sura ya babaUkilazimisha hisia maana yake ni nini Mkuu Jay,
Ahsante,Boss Carleen kuna ile mtoto wa wa2 anakufeel mbaya humpi chochote ila akikuona tu kashalowa, afu unaangalia unasema hii sio type yangu kabsaa ila anafanya wema sana kwako hakuombi hela ata... mimi izo situation nimekutana nazo zaid ya mara 5... Sasa kuna yule sasa unamjali unamcare unampa attention zote ila hewa anadanganya anakupenda kumbe yupo after material things... Mimi cku iz napiga chini hao mapretender najiforce kua na huyu anaenipenda hata kama ana sura ya baba
Exactly, haya maisha ni mafupi sana kujipa stress kwa ajili ya mtu..Haya maisha ujue yanapita hakuna atakaekua handsome, beautiful, rich, educated milele, Know your value hayupo anaestahili kukuumiza ovyo ukikaa na anaekupenda utaenjoy vzr tu mana hivi vya kukosa reciprocal vinaumiza mno at the end pia hua mwisho wake mara nyingi ni maumivu tuAhsante,
Nitajifunza hili toka kwako,
It's better uwe na mtu anayekupenda kuliko unayempenda wewe, inapunguza sana maumivu likitokea lolote lile.!!