Kumbe ulikuwa na Lizarazu. Basi jana tunakuulizia na yeye yupo hata hatuambii.Kule kwa moto kule..nilijikuta nashindwa kutoka.
Mimi na Lizarazu tulikuwa kumnanga mwkiti wa chama Cha wanaojiita wazalendo[emoji85]
Wazelendo ndio pona yako, ukimnanga mwenyekiti wa wanyonge umekwisha.