Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
Jukwaa gani hilo lililokuvutia likakufanya uhame huku MMU??Nipo mbona.
Ila nilihama jukwaa kwa muda
Jukwaa gani hilo lililokuvutia likakufanya uhame huku MMU??Nipo mbona.
Ila nilihama jukwaa kwa muda
La siasa[emoji13]Jukwaa gani hilo lililokuvutia likakufanya uhame huku MMU??
La siasa[emoji13]
Nipo Ila hatuonani.Mwana mpotevu
Na nimeshatoa taarifa kituo cha polisi ndio anajitokeza.
Ulienda jukwaa la "great thinkers "?Nipo mbona.
Ila nilihama jukwaa kwa muda
[emoji23][emoji23][emoji23]Na nimeshatoa taarifa kituo cha polisi ndio anajitokeza.
Nipo Ila hatuonani.
Haha.
Wako wapi mkuu, mbona mie siwaoni?!!
Nilivamia huko[emoji12]Ulienda jukwaa la "great thinkers "?
Ulikuwa unajadili nini huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilipotelea siasani kule.
Ndiyo...ila humu nipo Muda wote.Tunapishana
Kweli Leo umemuweza Sana[emoji3526]"Duuuh!! Hizi takwimu umezitoa wapi mama!?"
Lizarazu leo nimekupata. Unaniuliza takwimu nimezitoa wapi?
I gonna give you the taste of your own medicine.[emoji23][emoji23]
"Tatizo lako na mlilonalo wengi mnapenda kutumia wanaume wachache mabrazemeni wa huko mijini mnakoishi kama ndio representative sample ya wanaume wote nchini."
Zile za kusema wanawake wasomi na wanaofanya kazi huwa mnatumia za watu wangapi eti hadi kufikia conclusion mnayoifikia? Utasema kwamba haujasema ni wote lakini hapa na mimi pia sijasema ni wanaume wote ila nimeipa asilimia kubwa. Takwimu nilizo zitumia ni zile zile zako unazozitumiaga kwa wanawake "wasomi na wanaofanya kazi" and not to mention all.
Najua arguing ni chakula chako kipendwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na hapa utabisha mpaka ila Wanaume asilimia kubwa sana wanadanga kwenye mahusiano yao. Wamekuwa urojo urojo kazi ngumu hawataki na hawajasoma. Wananyoa viduku na kuweka nywele dawa na kutengeneza miili kisha wanaingia kazini kudanga na kutafuta miteremko.
Kule kwa moto kule..nilijikuta nashindwa kutoka.Ulikuwa unajadili nini huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Usiende kule ni hatari kwa usalama wako.
B huyo kaniambia tukeshe.!!
Hawezi kuniambukiza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Lizarazu kashakuambukiza ubishi mdogo wangu??