Kweli pale penye maumivu, ndo utamu ulipo

Kweli pale penye maumivu, ndo utamu ulipo

Then that other side of me that you have known today is the real me

I'm one among those JF members who fake not only identities in here but also personalities
Sijui kama utaweza kuipakua kwa kupitia youtube kama unatumia PC
 
Kwanini unaenda mvua?? Uko shambani nini?[emoji1787][emoji1787]
Haha..!!
Ningekuwa mbarikiwa sana kama ningekuwa shambani,
there must be a reason why nipende mvua, read between the lines..!! 😂 😂
 
namkumbuka mdada mmoja nikiwa shule mrembo sijapata ona

mtoto yule aliumbwa siku MUNGU hana stress

wakuitwa NYEGORO

i
think NYEGORO(if she is a girl) would be the choice "real deal"
daamn'..!! Kajina ni katamu.! Hukuwahi kupata maana yake CONTROLA.??
 
Duuuh!! Hizi takwimu umezitoa wapi mama!?

Kwamba wanaume wengi siku hizi hawapendi kazi ngumu lakini gym(kunyanyua vyuma vizito) wanaenda tena kila siku!? Hahaha hii noma sana.

Tatizo lako na mlilonalo wengi mnapenda kutumia wanaume wachache mabrazemeni wa huko mijini mnakoishi kama ndio representative sample ya wanaume wote nchini.

Kwamba wanaume wa kweli waliobaki wasipenda kudanga ni kama asilimia 20, asee basi dunia imevaa sketi.
"Duuuh!! Hizi takwimu umezitoa wapi mama!?"
Lizarazu leo nimekupata. Unaniuliza takwimu nimezitoa wapi?
I gonna give you the taste of your own medicine.[emoji23][emoji23]

"Tatizo lako na mlilonalo wengi mnapenda kutumia wanaume wachache mabrazemeni wa huko mijini mnakoishi kama ndio representative sample ya wanaume wote nchini."

Zile za kusema wanawake wasomi na wanaofanya kazi huwa mnatumia za watu wangapi eti hadi kufikia conclusion mnayoifikia? Utasema kwamba haujasema ni wote lakini hapa na mimi pia sijasema ni wanaume wote ila nimeipa asilimia kubwa. Takwimu nilizo zitumia ni zile zile zako unazozitumiaga kwa wanawake "wasomi na wanaofanya kazi" and not to mention all.

Najua arguing ni chakula chako kipendwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na hapa utabisha mpaka ila Wanaume asilimia kubwa sana wanadanga kwenye mahusiano yao. Wamekuwa urojo urojo kazi ngumu hawataki na hawajasoma. Wananyoa viduku na kuweka nywele dawa na kutengeneza miili kisha wanaingia kazini kudanga na kutafuta miteremko.
 
Hi guys,

Mwajionaje na hali? How's weekend outta there?? Natumaini mnaendelea tu poa, so am I..!!

Nimejiuliza nikashindwa kupata jibu hivi ni kwanini pale tunapoumizwa na kupatesekea sana ndo pahala amani yetu ya mioyo inapopatikana? Mtu ashauriwe hata kirumi bado atarudi tu mulemule!

Nitasemea haya matukio machache kati ya mengi yaliyopo.!!

Tukio la 1: Nilikuwa nina rafiki yangu ana mtu wake walikuwa wanapendana sana, (hii ni tofauti na ile niliwahi iletea bandiko humu maana wale waliachana)..! Sasa this couple wameishi kwa muda kweli wakiwa kwenye mapenzi yale ya kihindi na kifilipino kabisa!
Kama kawaida kashetani kakaingilia kati, dada akaanza kupigwa, mwanzoni vilikuwa vipigo romantic vile ambavyo haviumi sana, ila as days passes by akaanza pigwa kweli ile ya mikanda mpaka kuvimba na imagine ni keupe pee..!!

Sasa kipigo kikubwa kabisa huyu rafiki yangu huyu akawa ananificha maana nilishamshauri sana ila anampotezea kidogo then anarudi, kapigwa mpaka ngozi haifai imeharibika, halafu kakaa humo ndani mwanaume anamkanda mwenyewe, hajasema kwa yeyote yule! kaja nitumia picha baadaye kabisa, kiukweli nililia nikaleta noma sana..!!
Akanambia kaniomba msamaha nimeshamsamehe, wakati hapo me nina hasira kama vile nimepigwa mimi,.
Matokeo yake binti sahii ana mimba ya yule mshkaji kuuubwa, nakaribia zangu kuwa auntie.

Tukio la 2: Nina jirani yangu wa kiume huwa ananichukulia kama dada yake, he was dating this girl yaani ako humble na ni wife material hasa jamani, mstaarabu mpaka basii! Anakuja anamfanyia kila kitu kijana wa watu,

Mwisho wa siku, this guy nafsi inamsuta maana binti wa watu kawiva kwa ndoa naye hana mpango wa kuoa leo wala kesho wala mwakani kwa mipango yake, so akaona kama anamchelewesha dada wa watu kupata mtu sahihi na wakati binti tayari anajua huyu ndo mumewe,

Ikabidi amuite amuambie ukweli akipata mtu sahihi aolewe tu, sababu yeye wazazi wake wamegoma aoe mkoa aliopo tofauti na kabila lao (hapa alidanganya). Dada wa watu alilia kidogo achizike,

Kijana akaniomba dada please talk to her, me hapa nitampotezea tu muda.! Wengine ushauri ndo vitengo vyetu, nikaongea na yule dada jamani mpaka nikaona ushauri unanirudia.!! Zile za muache tu MUNGU atakupatia mtu sahihi..!!

Haya mwana kiranga mie baada ya siku chache naamka asubuhi, napishana na binti na kanga yake moja koridoni asubuhi na mapema.! Washarudiana.!!

Tukio la mwisho: Ndugu yangu anamdate huyo kaka ni mnywaji kupindukia, inafikia pahala pesa za mrembo ndo zinatumika kula bata na rafiki zake, na akirudi anamuhadithia walivyolewa!

Mrembo anaenda kwake ndo anaitake care ile nyumba kama yake, akitoka hapo analalamika guy hamsaidii wala kumjali kwa chochote kile hata siku moja! Binti yeye ndo anadangwa anavumilia kisa kaahidiwa ndoa so anahisi anapimwa uvumilivu.!

Anakuja analalamika, unamshauri weeh' mpaka maneno ya busara yanakuishia, siku 2 3 kesharudi na hakuambii mpaka apigwe tukio tena!

Ukimuuliza hivi tulikubalianaje?? Anakujibu 'sasa mumie me nitafanyaje'..?? So, I was like okay, this time pambana tu, muombee atabadilika.!!

Nilichojifunza saa hii, mtu akiniletea kesi yake ya mahusiano namuambia kuwa mvumilivu tu utayashinda, Kumshauri mtu tena eti 'achana naye', Miiimi?? Hapana kila mtu sasa hivi anyanyasike zake tu mpaka aondoke mwenyewe, nimekoma..!!

Ni mwendo wa 'maumivu per day', kila mtu aubebe msalaba wake mpaka Golgotha..

Nice Weekend dears!
we vp hauna mtu?
 
Na mimi naona karibu nitakuwa mhanga wa hili soon. Ukitoa ushauri halafu wakarudiana, hasa kama ushauri wako ulikuwa hasi, we ndiyo unaonekana mbaya. Kama ni lazima utoe ushauri basi fanya hivyo kwa moyo mweupe. Be objective na mengine mwachie Mungu. Inakera !!!
Haha..!
Shukrani sana SYB, na ndo maana sahii naelewa kwanini ulifanya vile ulivyofanya.!! I real admire the positivity in you.!!
 
Uliposema utamu mawazo yangu yote yalihamia kunako, ningejua hichi ndo unataka kuandika nisingepoteza muda wangu kusoma
Pole sana mkuu.! Maisha siku zote huwa hayakupi kile unataka bali kile unachostahili.
 

Attachments

  • tapatalk_1570477049603.gif
    tapatalk_1570477049603.gif
    324 KB · Views: 12
Back
Top Bottom