Kweli pale penye maumivu, ndo utamu ulipo

Kweli pale penye maumivu, ndo utamu ulipo

Wooow nitafurah sana ukiibadiri hivo..nakapenda sana haka kadada. Karibia mara 3 kwa wiki hua namuangalia moana muvi yake..
Nyimbo zake karibia nazisikiliza kila siku..hadi nimeifanya ringtone. I love the Girl.
View attachment 1239408View attachment 1239409
Bora wewe mara tatu kwa wiki, mimi kila siku huwa naiangalia na nimedownload nyimbo za humo kama 10 hivi na huwa nazisikiliza karibu kila siku hadi watu wanasema nimerogerezewa lakini hapana aiseee hapa disney wameniweza and I declare it one of the best animations to ever grace the industry.
 
Bora wewe mara tatu kwa wiki, mimi kila siku huwa naiangalia na nimedownload nyimbo za humo kama 10 hivi na huwa nazisikiliza karibu kila siku hadi watu wanasema nimerogerezewa lakini hapana aiseee hapa disney wameniweza and I declare it one of the best animations to ever grace the industry.
Nakubaliana nawe mkuu. Moana ni animation nzuri sana stori na mazingira yake..very adorable.
Japo watu wanaikuza zaidi Frozen na Zootopia
 
Nilishaachaga kushauri watu sababu hizi hizi.
Mapenzi ni uwehu!
 
Good for you!!! I am proud of you for putting yourself first. Also I am glad that you abandoned the old policy of life which made most of us pedantic noodlehead.
I am 100% sure that no one on this earth who can make you question your value.

As for me, I have reached a point where I want to call up every toxic boy I've ever dated and thank them for showing me the dark side of relationships. From this point onwards If someone doesn't value me, I don't value him.

I don't waste my precious time on someone who ain't worth it. I hope you ain't gonna link this with "feminism".
Hapo kwenye 'pedantic noodlehead'🤣🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]oh let me call a doctor to bring you back to life

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]girl don't tell me you think I'm always serious
Plz hurry... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah I thought that, but now I know another side of you.
 
Halafu hawanaga maana hawa viumbe mwisho wa siku utaonekana wewe m baya
Hi guys,

Mwajionaje na hali? How's weekend outta there?? Natumaini mnaendelea tu poa, so am I..!!

Nimejiuliza nikashindwa kupata jibu hivi ni kwanini pale tunapoumizwa na kupatesekea sana ndo pahala amani yetu ya mioyo inapopatikana? Mtu ashauriwe hata kirumi bado atarudi tu mulemule!

Nitasemea haya matukio machache kati ya mengi yaliyopo.!!

Tukio la 1: Nilikuwa nina rafiki yangu ana mtu wake walikuwa wanapendana sana, (hii ni tofauti na ile niliwahi iletea bandiko humu maana wale waliachana)..! Sasa this couple wameishi kwa muda kweli wakiwa kwenye mapenzi yale ya kihindi na kifilipino kabisa!
Kama kawaida kashetani kakaingilia kati, dada akaanza kupigwa, mwanzoni vilikuwa vipigo romantic vile ambavyo haviumi sana, ila as days passes by akaanza pigwa kweli ile ya mikanda mpaka kuvimba na imagine ni keupe pee..!!

Sasa kipigo kikubwa kabisa huyu rafiki yangu huyu akawa ananificha maana nilishamshauri sana ila anampotezea kidogo then anarudi, kapigwa mpaka ngozi haifai imeharibika, halafu kakaa humo ndani mwanaume anamkanda mwenyewe, hajasema kwa yeyote yule! kaja nitumia picha baadaye kabisa, kiukweli nililia nikaleta noma sana..!!
Akanambia kaniomba msamaha nimeshamsamehe, wakati hapo me nina hasira kama vile nimepigwa mimi,.
Matokeo yake binti sahii ana mimba ya yule mshkaji kuuubwa, nakaribia zangu kuwa auntie.

Tukio la 2: Nina jirani yangu wa kiume huwa ananichukulia kama dada yake, he was dating this girl yaani ako humble na ni wife material hasa jamani, mstaarabu mpaka basii! Anakuja anamfanyia kila kitu kijana wa watu,

Mwisho wa siku, this guy nafsi inamsuta maana binti wa watu kawiva kwa ndoa naye hana mpango wa kuoa leo wala kesho wala mwakani kwa mipango yake, so akaona kama anamchelewesha dada wa watu kupata mtu sahihi na wakati binti tayari anajua huyu ndo mumewe,

Ikabidi amuite amuambie ukweli akipata mtu sahihi aolewe tu, sababu yeye wazazi wake wamegoma aoe mkoa aliopo tofauti na kabila lao (hapa alidanganya). Dada wa watu alilia kidogo achizike,

Kijana akaniomba dada please talk to her, me hapa nitampotezea tu muda.! Wengine ushauri ndo vitengo vyetu, nikaongea na yule dada jamani mpaka nikaona ushauri unanirudia.!! Zile za muache tu MUNGU atakupatia mtu sahihi..!!

Haya mwana kiranga mie baada ya siku chache naamka asubuhi, napishana na binti na kanga yake moja koridoni asubuhi na mapema.! Washarudiana.!!

Tukio la mwisho: Ndugu yangu anamdate huyo kaka ni mnywaji kupindukia, inafikia pahala pesa za mrembo ndo zinatumika kula bata na rafiki zake, na akirudi anamuhadithia walivyolewa!

Mrembo anaenda kwake ndo anaitake care ile nyumba kama yake, akitoka hapo analalamika guy hamsaidii wala kumjali kwa chochote kile hata siku moja! Binti yeye ndo anadangwa anavumilia kisa kaahidiwa ndoa so anahisi anapimwa uvumilivu.!

Anakuja analalamika, unamshauri weeh' mpaka maneno ya busara yanakuishia, siku 2 3 kesharudi na hakuambii mpaka apigwe tukio tena!

Ukimuuliza hivi tulikubalianaje?? Anakujibu 'sasa mumie me nitafanyaje'..?? So, I was like okay, this time pambana tu, muombee atabadilika.!!

Nilichojifunza saa hii, mtu akiniletea kesi yake ya mahusiano namuambia kuwa mvumilivu tu utayashinda, Kumshauri mtu tena eti 'achana naye', Miiimi?? Hapana kila mtu sasa hivi anyanyasike zake tu mpaka aondoke mwenyewe, nimekoma..!!

Ni mwendo wa 'maumivu per day', kila mtu aubebe msalaba wake mpaka Golgotha..

Nice Weekend dears!
 
Nakubaliana nawe mkuu. Moana ni animation nzuri sana stori na mazingira yake..very adorable.
Japo watu wanaikuza zaidi Frozen na Zootopia
Umeona eenh watu wanapata wakati mgumu sana kuamua zipi nzuri maana nzuri zimekuwa nyingi ila kwangu mimi the best of all times ni the lion king, tangled, frozen na moana hizo nyingine naona za kawaida sana
 
Umeona eenh watu wanapata wakati mgumu sana kuamua zipi nzuri maana nzuri zimekuwa nyingi ila kwangu mimi the best of all times ni the lion king, tangled, frozen na moana hizo nyingine naona za kawaida sana
Yeaaah moana naikubali kuliko zote za Disney mm napenda zaidi za Dreamwork Pictures..
Yaani hapa umenifanya niangalie upya..imefika kwenye wimbo wa where you are
20191020_203016.jpeg
 
You're gonna make me change my username to Moana you know, by the way I see me in her character-wise.

Adventurous, Ocean lover, because the line where the sky meets the sea calls me, and no one knows how far it goes.
Adventurous, ocean lover, and you still in Mbeya????

What the hell are you doing there then???
 
Back
Top Bottom