Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 14,390
- 30,924
Haha.
Wewe huyu?? Labda mpaka nikurudishe darasani then nikupe short course ya 'mwandiko'..!!
I'm down kupewa darasa na wewe, tuanze kupanga miadi ya kupata hiyo ilm.
Haha.
Wewe huyu?? Labda mpaka nikurudishe darasani then nikupe short course ya 'mwandiko'..!!
toa ushauri kwa wote wawili na kwa wakati mmoja, na ushauri wako usiwe na maamuziHi guys,
Mwajionaje na hali? How's weekend outta there?? Natumaini mnaendelea tu poa, so am I..!!
Nimejiuliza nikashindwa kupata jibu hivi ni kwanini pale tunapoumizwa na kupatesekea sana ndo pahala amani yetu ya mioyo inapopatikana? Mtu ashauriwe hata kirumi bado atarudi tu mulemule!
Nitasemea haya matukio machache kati ya mengi yaliyopo.!!
Tukio la 1: Nilikuwa nina rafiki yangu ana mtu wake walikuwa wanapendana sana, (hii ni tofauti na ile niliwahi iletea bandiko humu maana wale waliachana)..! Sasa this couple wameishi kwa muda kweli wakiwa kwenye mapenzi yale ya kihindi na kifilipino kabisa!
Kama kawaida kashetani kakaingilia kati, dada akaanza kupigwa, mwanzoni vilikuwa vipigo romantic vile ambavyo haviumi sana, ila as days passes by akaanza pigwa kweli ile ya mikanda mpaka kuvimba na imagine ni keupe pee..!!
Sasa kipigo kikubwa kabisa huyu rafiki yangu huyu akawa ananificha maana nilishamshauri sana ila anampotezea kidogo then anarudi, kapigwa mpaka ngozi haifai imeharibika, halafu kakaa humo ndani mwanaume anamkanda mwenyewe, hajasema kwa yeyote yule! kaja nitumia picha baadaye kabisa, kiukweli nililia nikaleta noma sana..!!
Akanambia kaniomba msamaha nimeshamsamehe, wakati hapo me nina hasira kama vile nimepigwa mimi,.
Matokeo yake binti sahii ana mimba ya yule mshkaji kuuubwa, nakaribia zangu kuwa auntie.
Tukio la 2: Nina jirani yangu wa kiume huwa ananichukulia kama dada yake, he was dating this girl yaani ako humble na ni wife material hasa jamani, mstaarabu mpaka basii! Anakuja anamfanyia kila kitu kijana wa watu,
Mwisho wa siku, this guy nafsi inamsuta maana binti wa watu kawiva kwa ndoa naye hana mpango wa kuoa leo wala kesho wala mwakani kwa mipango yake, so akaona kama anamchelewesha dada wa watu kupata mtu sahihi na wakati binti tayari anajua huyu ndo mumewe,
Ikabidi amuite amuambie ukweli akipata mtu sahihi aolewe tu, sababu yeye wazazi wake wamegoma aoe mkoa aliopo tofauti na kabila lao (hapa alidanganya). Dada wa watu alilia kidogo achizike,
Kijana akaniomba dada please talk to her, me hapa nitampotezea tu muda.! Wengine ushauri ndo vitengo vyetu, nikaongea na yule dada jamani mpaka nikaona ushauri unanirudia.!! Zile za muache tu MUNGU atakupatia mtu sahihi..!!
Haya mwana kiranga mie baada ya siku chache naamka asubuhi, napishana na binti na kanga yake moja koridoni asubuhi na mapema.! Washarudiana.!!
Tukio la mwisho: Ndugu yangu anamdate huyo kaka ni mnywaji kupindukia, inafikia pahala pesa za mrembo ndo zinatumika kula bata na rafiki zake, na akirudi anamuhadithia walivyolewa!
Mrembo anaenda kwake ndo anaitake care ile nyumba kama yake, akitoka hapo analalamika guy hamsaidii wala kumjali kwa chochote kile hata siku moja! Binti yeye ndo anadangwa anavumilia kisa kaahidiwa ndoa so anahisi anapimwa uvumilivu.!
Anakuja analalamika, unamshauri weeh' mpaka maneno ya busara yanakuishia, siku 2 3 kesharudi na hakuambii mpaka apigwe tukio tena!
Ukimuuliza hivi tulikubalianaje?? Anakujibu 'sasa mumie me nitafanyaje'..?? So, I was like okay, this time pambana tu, muombee atabadilika.!!
Nilichojifunza saa hii, mtu akiniletea kesi yake ya mahusiano namuambia kuwa mvumilivu tu utayashinda, Kumshauri mtu tena eti 'achana naye', Miiimi?? Hapana kila mtu sasa hivi anyanyasike zake tu mpaka aondoke mwenyewe, nimekoma..!!
Ni mwendo wa 'maumivu per day', kila mtu aubebe msalaba wake mpaka Golgotha..
Nice Weekend dears!
You are offline, I gotta goIt was my pleasure.
HahaahahahahahahahahahaahahahaWanaume siku hizi wasio na hela wanaloga wapate wanawake wenye hela halafu "wadange". Unashangaa upo na limtu linakuchuna tuu na kukufanyia vituko vyote na kumuacha huwezi.
Trust me, this is straight from the horse's mouth.
Kama sio kulogana ni nini[emoji23][emoji23][emoji23]
"please don't give your all to someone who can't give the same" - khaled.
I got new policy of life and abandoned the old one.
Now days my life is more of reciprocality than magnanimous sentiment.
I am trying by all means to make everything going in mutually beneficial contingency towards anyone i get to associate with.
My definition of love is combination of feelings and actions that are mutually felt and done by both parties in the same exact dimension.
I don't give my feelings away without being assured i will get the same complimentarily.
We have to live by calculating everything we do including those incalculable ones for the sake of our well-being.
😂😂😂😂oh let me call a doctor to bring you back to lifeWhat????? I wasn't expecting this.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]I shouldn't have been laughing at this for that long. I cant breathe, I am dying.
I never thought that sometimes you make really wholesome comics.
I second youGood for you!!! I am proud of you for putting yourself first. Also I am glad that you abandoned the old policy of life which made most of us pedantic noodlehead.
I am 100% sure that no one on this earth who can make you question your value.
As for me, I have reached a point where I want to call up every toxic boy I've ever dated and thank them for showing me the dark side of relationships. From this point onwards If someone doesn't value me, I don't value him.
I don't waste my precious time on someone who ain't worth it. I hope you ain't gonna link this with "feminism".
My moanaI second you
😅😅😅😅hell yeah dudeY'all gonna kill me today with this gangsters english. Let's whoop it up on this crazy weekend.[emoji23][emoji23]
She betrayed us, that girl ain't loyal.A luta continua. Btw where is Saint anne?
Ahaha but that's Pua right there
And thank you (in maui voice)Ahaha but that's Pua right there
Well anyway let me just say you're welcome
namkumbuka mdada mmoja nikiwa shule mrembo sijapata onaHaha,
And that's my Prince in shining armor..!! Sasa CONTROLA unaweza kutoa lako la moyoni..!!
Ndio nimeanza kubaguliwa [emoji22][emoji22]Yaani awe na tatizo kweli wewe usijue?
You're gonna make me change my username to Moana you know, by the way I see me in her character-wise.And thank you (in maui voice)
Love you my moana
Lizarazu wewe ni mwanaume mimi ni mwanamke.. Ndio nawajua hawa wanaume vizuri.Lakini hao wanaume wasiotaka kufanya kazi na kutegemea wanawake ni asilimia ndoooogo sana, na hao sidhani kama bado wanastahili kuwekwa kwenye kundi la wanaume.
Mimi naamini mwanaume kutosoma haiwezi kumzuia kutoboa kimaisha mpaka kufikia hatua ya kuona udangaji ndio njia pekee ya kuishi.
Huo muda wa kufikiria eti umloge mtu hili awe kitega uchumi wako kuna wengine kama wewe wanautumia kufanya vibarua vinavyowapa uhakika wa kunywa uji na chapati jioni.
Wooow nitafurah sana ukiibadiri hivo..nakapenda sana haka kadada. Karibia mara 3 kwa wiki hua namuangalia moana muvi yake..You're gonna make me change my username to Moana you know, by the way I see me in her character-wise.
Adventurous, Ocean lover, because the line where the sky meets the sea calls me, and no one knows how far it goes.
Ooh I dunno, lemme scan.You are offline, I gotta go